kanyasu
JF-Expert Member
- Feb 9, 2009
- 234
- 18
Kwa mala ya kwanza niliposikia Dr slaa ameteuliwa kuwa mgombea wa urais kupitia chadema niliamini zile zama za ujanja ujanja wa chadema zinaelekea kuisha,yapo mabo sas yananifanya nianze kupoteza imani na daktari huyu mlumi na msomi sana aliyejaliwa kipaji cha kusema.Hakuna jipya ambalo mh huuyu anonesha atafanya zaidi ya kujalibu kuhubili chuki na udanganyifu kwa watu,iwapo utachukua mifano michache tu ambayo nimemsikia kiongea 1)anadai kufuta wakuu wa mikoa kwa kuwa ni gharama! lazima ujue mkoa maana yake ni nini, iwapo unaufuta maana yake unaondoa mamlaka kwa mtu fulani na kuyapeleka kwa mtu mwingine bado tatizo liko palepale kwa kuwa atakae pewa lazima apewe status inayoonyesha kuwa huyu ndiye mwakilishi wa nkoa,vinginevyo nchi nzima itaanza kuongozwa kutokea dsm?
2) Marekani huwezi kuitumia kuwa mfano wa Tanzania au nchi yoyote Afrika,marekani inaundwa na states ambazo kila moja inamamlaka kamili kama nchi na siyo mkoa au wilaya,na katika kila state kuna mikoa na wilaya,ndiyo maana baraza lao la mawaziri ni dogo.ushauri wangu Dr slaa inaonekana huna hoja jalibu tena kutafuta maneno ya kusema maana huna jipya.