- Thread starter
- #21
Acha uongo wewe,
hebu wataje mawaziri 20 wa marekani (kama unawajua). mijitu mingine kwa kupenda ligi bana
Baraza la mawaziri la USA ni kama hapa chini, labda mwenzetu tusaidie kuhesabu:
The Cabinet | The White House
Acha uongo wewe,
hebu wataje mawaziri 20 wa marekani (kama unawajua). mijitu mingine kwa kupenda ligi bana
Hivi ni kweli Said Mzee Said,Mgombea mwenza wa chadema ana elimu ya msingi au ni chumvi za habari leo tuu.
Hata USA haina mawaziri 14; wapo zaidi ya 20 na ukijumlisha na manaibu namba inaenda mbali sana.
Kuwa na baraza dogo la mawaziri ni jambo jema kwa nchi maskini kama ya kwetu ila hii mifano anayoitumia bila hata kufanya uchunguzi wa kutosha ndio naona inamwangusha.
Hata hilo la gari VX kununuliwa milioni 200 nalo huenda ni figure isiyo sahihi.
Kuna haja ya kuanzisha facts check kuwakamata wanasiasa wanaozidisha chumvi kwenye mboga.
Heshima kwako Kazizozele,
Mkuu wangu nimesikia hilo kwenye kipindi cha magazeti TBC1 nikajisemea rohoni kama ni kweli basi CHADEMA kama chama hakikujiandaa na ninaanza kuamini maneno ya Prof Lipumba.Makamu wa rais ni mtu muhimu sana anaweza kuwa Rais wakati wowote rais anaposhindwa kutekeleza majukumu yake iweje CHADEMA watuwekee darasa la saba kama siyo kuwadharau waTanzania na wapiga kura kwa ujumla.
CHADEMA wanataka kutuambia wamekosa mtu mwadilifu,mwenye elimu nzuri,mwenye kipaji na uwezo kutoka Zanzibar ????????.
Acha ubaguzi wako wewe, hizi elimu za madarasani kuna wakati hazina msaada, mwangalieni tu halafu mcheck uwezo wake.
Elimu kwa sasa kuna nyakati zimetumika kutuibia hivyo tusihusudu vipengele vichache, ila hoji kuwa anaweza kuwatumikia wananchi!!
Hii notion ya kuabudu elimu ya darasani ndo inafanya mpaka watu wananua vyeti! natamani tuwe tunatambua michango ya watu kwenye jamii zetu kuliko kuabudu vyeti naomba nisiwe misquoted simaanishi nabeza lakini tuwe 'genuine na authentic'
Kuna mifano mingi ya watu ambao either hawana formal education au wanayo ya primary na wamefanya vizuri au wana shika nafasi kubwa mfano Yakobo Zuma,Lula Da Silva
Kwa hiyo Dr Slaa weldone on that!
Kuna kila sababu ya kuheshimu mawazo yako,lakini ebu tuwe wakwelidarasa la saba awe makamu wa raisi,na imekuwaje mpaka amefikia umri huu ameshindwa kujiendeleza ili kuongeza madarasa japo kidogo.Kwa dunia yetu ya sasa hauwezi kusema elimu haina nafasi katika harakati za kuchagua kiongozi.Semeni msemavyo kama jamaa ni darasa la saba,chadema wamechemka.HIVI HII NCHI INAELEKEA WAPI.
lakini nadhani katiba inasema at least shahada moja ya chuo kikuu au equivalent sijui kiwango gani ni hiyo equivalent maana makamu ni rais mtarajiwaKimsingi lazima tufike mahali tubadilike, Kwa hii Tanzania yetu ni profesa gani kiongozi amabye amefanya mambo ya ajabu kuwasaidia watanzania. Zaidi sana tunazidi kubaki palepale na zaidi sana kuzalisha wizi na ufisadi. Inapofika mda wa kuongoza lazima tuone mbali zaidi. na kama hili ni baya basi Mchague Dr. Slaa abadilishe katiba ili iweke na hayo pia yawe wazi. lakini kwa sasa wewe ndo unapinga katiba iliyopo.
Langu ni kwamba uwezo wake, nia yake, sababu yake ya kuwatumikia watanzania ipo nasiyo hao wenye matarajio makubwa ya kung'ang'ania kujenga nyumba yenye swiming pool ukiongoza watu wenye nyumba za nyasi na matope wasiojiweza. Si bora hata ya huyo atatumia kama tulichonacho.
HApa ttulipo na hao madocta wa heshima kwani tunaenda wapi, mimi naona kama tunajisokota tu ili baadaye tuanguke. Ndugu kama ni hicho kiingereza anajua, na kama kuongoza watu anajua vema kabisa. Tumechoka na elimu za kukariri bila ya kujalimaslahi ya wengi.
Baraza la mawaziri la USA ni kama hapa chini, labda mwenzetu tusaidie kuhesabu:
The Cabinet | The White House
Mimi nimehesabu mawaziri (cabinet secretaries) wakafika 15. Solomon yuko sahihi kuliko wewe hapa. Unless kama umehesabu wakafika 20. Wewe unaona wangapi hapo?
Hivi ni kweli Said Mzee Said,Mgombea mwenza wa chadema ana elimu ya msingi au ni chumvi za habari leo tuu.
Baraza la mawaziri la USA ni kama hapa chini, labda mwenzetu tusaidie kuhesabu:
The Cabinet | The White House
Hii notion ya kuabudu elimu ya darasani ndo inafanya mpaka watu wananua vyeti! natamani tuwe tunatambua michango ya watu kwenye jamii zetu kuliko kuabudu vyeti naomba nisiwe misquoted simaanishi nabeza lakini tuwe 'genuine na authentic'
Kuna mifano mingi ya watu ambao either hawana formal education au wanayo ya primary na wamefanya vizuri au wana shika nafasi kubwa mfano Yakobo Zuma,Lula Da Silva
Kwa hiyo Dr Slaa weldone on that!
lakini nadhani katiba inasema at least shahada moja ya chuo kikuu au equivalent sijui kiwango gani ni hiyo equivalent maana makamu ni rais mtarajiwa