Elections 2010 Slaa in Arusha today

Huko yeye ni Nabii atapokelewa na wengi? Mizizi ya ukabila udini na chama imeanzia huko!
 
Dr. Wilbroad Slaa leo amehutubuia mkutano mkubwa Wilayani Mpanda! Katika Mtukano huo ambapo pia Ulihutubiwa na Mabere Marando, Lwakatare, Mbowe pamoja na Mbunge aliye katika Likizo fupi wa Mpanda Mh Arfi Dr. Slaa amewataka Watanzania wote Kuunganisha Nguvu zao ili waweze Kuchagua Mabadiliko, amewaambia Wafanyakazi kwamba yeye hakatai hata kura moja kinyume na Mpinzani wake Mku kutoka CCM Jakaya Kikwete ambaye alisema kwamba Haihitji kura za Wafanyakazi.

Tutawaletea picha za Mkutano

Jioni hii watakuwa Kigoma kwa Mkutano Mwingine
 
NyU
tunashukuru kwa kutuhabarisha..tupelekee na picha tafadhali.
Tunashauku ya kuona msisimko wa wadau huko
 
NyU
tunashukuru kwa kutuhabarisha..tupelekee na picha tafadhali.
Tunashauku ya kuona msisimko wa wadau huko

Siku zote nasemaga kwamba hawa tunaosema hawana Elimu ( Yaani wasio wa Mjini) Ndio watakaoikomboa hii Nchi kwa Sababu wao ndio huwa wanapiga kura tofauti na Wale wa Mjini ( Wanajiita wasomi) Halafu hawapigi kura huku wakitegemea Mabadiliko. Wananchi wa Mpanda wamehamasika sana.

Mabadiliko ya Kweli Yataletwa na Wasi Wasomi Hakika Nimeamini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom