Slaa hawezi kumfikia lyatonga hata kidogo

Tolowski

Senior Member
Apr 28, 2011
122
20
Najaribu kuangalia mazingira yaliowatoa wanasiasa hao hapo juu ccm na kujiunga na upinzani. Mrema aliondoka ccm akiwa ni mbunge and waziri,akaacha hivyo vyeo vikubwa hapa nchini vilivyokuwa vikimpatia mapato makubwa na kujiunga upinzani,kama siyo siasa za undumilakuwili za akina marando,lamwai,makongoro nk leo tanzania hii isingekuwa hivi ilivyo. Nimekuwa nikijiuliza kama slaa ndio angekuwa mrema angekubali kuachia shavu na mapochopocho ya uwaziri na ubunge ili awapiganie watanzania?? Jibu ni the big NO! Kwa tamaa ambayo anaionyesha sasa huyu padri, sidhani kama ana hizo guts! Slaa aliamia upinzani baada ya kugaragazwa kwenye kura za maoni, kwa staili yake hii ya kupenda fedha za ubunge kuliko kitu chochote huyu padri kama angeshinda zile kula za maoni angekuwa ccm hadi leo! Kilichomuondoa ccm ni visasi na chuki ambazo hadi leo anaziendeleza! Slaa kwa tamaa zake za fedha asingeweza kuachia ubunge na uwaziri kama alivyofanya lyatonga! NAMSHUKURU MUNGU KAMPA SLAA UMAARUFU UZEENI,KWANI SI MUDA MREFU ATAPERISH,HUYU PADRI KAMA ANGEKUWA NI KIJANA BASI ANGELIYUMBISHA SANA TAIFA HILI KWA SIASA ZAKE ZA UASI,CHUKI,VISASI,KUMWAGA DAMU NA KUKURUPUKA! THANKS LORD PADRI MUASI AMESHAZEEKA AND SIJAWAHI KUMUONA MWANAMAPINDUZI MZEEE,LABDA WA 1 ATAKUWA TANZANIA!!!!
 
Slaa ni mwisho huyo Matonge sijui Lyatonga hakuwa na ubavu wowote ule kama wa DR. wa ukweli na CHADEMA
 
Hii ni second edition nini. Kulikuwa na thread kama hii miezi kama miwili iliyopita na watu waliichangia sana.
 
Najaribu kuangalia mazingira yaliowatoa wanasiasa hao hapo juu ccm na kujiunga na upinzani. Mrema aliondoka ccm akiwa ni mbunge and waziri,akaacha hivyo vyeo vikubwa hapa nchini vilivyokuwa vikimpatia mapato makubwa na kujiunga upinzani,kama siyo siasa za undumilakuwili za akina marando,lamwai,makongoro nk leo tanzania hii isingekuwa hivi ilivyo. Nimekuwa nikijiuliza kama slaa ndio angekuwa mrema angekubali kuachia shavu na mapochopocho ya uwaziri na ubunge ili awapiganie watanzania?? Jibu ni the big NO! Kwa tamaa ambayo anaionyesha sasa huyu padri, sidhani kama ana hizo guts! Slaa aliamia upinzani baada ya kugaragazwa kwenye kura za maoni, kwa staili yake hii ya kupenda fedha za ubunge kuliko kitu chochote huyu padri kama angeshinda zile kula za maoni angekuwa ccm hadi leo! Kilichomuondoa ccm ni visasi na chuki ambazo hadi leo anaziendeleza! Slaa kwa tamaa zake za fedha asingeweza kuachia ubunge na uwaziri kama alivyofanya lyatonga! NAMSHUKURU MUNGU KAMPA SLAA UMAARUFU UZEENI,KWANI SI MUDA MREFU ATAPERISH,HUYU PADRI KAMA ANGEKUWA NI KIJANA BASI ANGELIYUMBISHA SANA TAIFA HILI KWA SIASA ZAKE ZA UASI,CHUKI,VISASI,KUMWAGA DAMU NA KUKURUPUKA! THANKS LORD PADRI MUASI AMESHAZEEKA AND SIJAWAHI KUMUONA MWANAMAPINDUZI MZEEE,LABDA WA 1 ATAKUWA TANZANIA!!!!

oooh...Tolowski you are at it again! padri muasi, kula, guts, tamaa, .... rubbish.

And yes, Dr Slaa hawezi hata kidogo kumfikia Lyatonga Mrema kwa sababu moja kuu Dr Slaa anasimamia anachokiamini. take it or leave it. Mrema on the other hand is a shadow of formerself, he is there waiting for CCM to tell him 'JUMP' and the only thing he can say is 'HOW HIGH?" The man is FINITO!
 
Jamani wana jf unajua ujinga ama upumbavu wa mtu hujulikana pale tu atakapoanza kuandika ama kuongea sasa na huyu pimbi upumbavu wake tumeuona alipopost hii thread coz huwezi linganisha Dr slaa na lyatonga licha ya kuwa wote ni binadamu sawa hilo halina ubishi lakini mengine yote Dr yuko juu
 
Kumbe humu jamvini kuna senior member wasiojua hata kusoma ramani au picha. waswahili wanasema kama kusoma hujui hata picha pia.

katika historia ya Tanzania tangu siasa ya vyama vingi kuanza hakuna wakati CCM walipata upinzani mkubwa kama wakati wa DR Slaa na CCM hawajahi kutetereka kama wakati huu. Lini wewe ulisikia CCM ikijivua gamba siku za nyuma au hujui CHADEMA is behind kujivua gamba kwa CCM.

by the way huenda umeanza kufuatilia siasa za bong miaka hii ya karibuni.
 
Is this topic really needed to be discussed in JF ?
It is furstrating to see a member dicided to put this article, as you know they cannot be compared at all

Mrema - alisha kuwa serikali kwahiyo alikuwa na Maamuzi kutokana na Madaraka yake Serikalini, Mrema hajuacha kwa mantiki yake ni utamu wa utawala - Nyerere alimueleza hayo miaka hiyo na ni Mwaka Jana 2010 amekubali ya Nyerere?
Slaa - hajawahi kuwa na Madaraka yoyote serikalini na kutoa maamuzi yoyote ndani ya serikali tawala
Slaa hakuondoka CCM kutaka Madaraka Makubwa kama ya Urais, alitaka kuwaendeleza wananchi wa Wilaya yake mpaka mwaka 2010 Viongozi wa CHADEMA walipomuomba kugombea Urais

Politicians are people who, when they see light at the end of the tunnel, go out and buy some more tunnel
 
hana alonena kwan watz wataendelea kwa udin au ukabila?u kap huna faida kwa ubinafs pole kwa kuwa na akil za pofu
 
Mwandika hiyo thread sio kweli kwamba analinganisha Mrema na Dr Slaa.
Bali naona anajaribu kuonyesha chuki yake kwa Dr,na kuonyesha ukweli kwamba Dr anaikosesha raha serikari ya jk.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mwandika hiyo thread sio kweli kwamba analinganisha Mrema na Dr Slaa.
Bali naona anajaribu kuonyesha chuki yake kwa Dr,na kuonyesha ukweli kwamba Dr anaikosesha raha serikari ya jk.

Namuona bado yumo, nadhani anapata notes toka Mt wa Lumumba. Hivi punde tu atapost episode nyingine. Huko nyuma aliita vijana wa wanaenda kwenye maandamano ya chadema ni wavuta bangi, mbinu ikagoma, sasa katumwa kupost his cheap tactics za kumpaka matope Dr Slaa. Maji taka ni maji taka tu.
 
muone ulivyo na chuki binfsi mpuuzi wewe zirudishe hizo chuki kwenu ccm uko, kwa nini usiamini uenda yalikuwa ni mapenzi ya Mungu kumtoa dk slaa kwenu ili aje kuokoa taifa hili na pia babu nyerere sialiashawai kusema upinzani wa kweli utatika ccm sasa dk si alikuwa ccm? Na si ametoka sasa na si unaona mambo yake, na bado
 
Namuona bado yumo, nadhani anapata notes toka Mt wa Lumumba. Hivi punde tu atapost episode nyingine. Huko nyuma aliita vijana wa wanaenda kwenye maandamano ya chadema ni wavuta bangi, mbinu ikagoma, sasa katumwa kupost his cheap tactics za kumpaka matope Dr Slaa. Maji taka ni maji taka tu.

Ni vyema mkishaona thread ni upumbavu au inatoka kwa mpumbavu basi soma na kuicha kama ilivyo hamna haja ya kubishana na mpumbavu unapoteza muda wako na muda ni mali.

Lyatonga anapaswa kulinganishwa na huyu Bwana aliopo Ikulu sasa hivi wanafanana kwa kila kitu.

  • Thanks
Reactions: FJM
Acha upimbi mdogo wangu.JENGA hoja sio chuki.Ona ulivyopondwa na JF nzima.Soma hali za nyakati kabla ya KUPOST Upuuzi wako.
 
Any intelligent fool can make things bigger and more complex... It takes a touch of genius - and a lot of courage to move in the opposite direction.- Albert Einstein

  • Thanks
Reactions: FJM
Bandiko limetoka mtaa wa Lumumba hili kama alivyosema mdau mmoja.
Jamani kuna watu wengine wanapenda kutunwa tu.kama huyu
 
  • Thanks
Reactions: FJM

Similar Discussions

Back
Top Bottom