Elections 2010 Slaa drawing huge crowds, but Kikwete likely to win - REUTERS

'Slaa drawing huge crowds in Tanzania, but Kikwete likely to win -- REUTERS'


Nionavyo mimi hii headline ina ujumbe mmoja tu -- kwamba pamoja na Dr Slaa kuwa kivutio cha wengi, Kikwete ambaye hajaonyesha mvuto mkubwa atashinda tu -- by hooks or crooks. Of course wata-rig ili ashinde!!!
Na hiyo ndivyo ilivyo demokrasia katika nchi za Kiafrika!!
 
The major weakness of this analysis is that all the polls predicting JK win were carried out before the start of campaign proper. It is normal for the incumbent to lead in pre-campaign period but once his poll numbers begin to drop they continue to backslide unabated.

Reminisce on Obama vs Hillary Clinton primary. Clinton was the queen of the polls but when the primaries begun she begun to take hits and she never recovered the back slide.

The only thing that will stop Dr. Slaa from being our fifth president is NEC is it successfully bars voters from standing 200m from the polling stations to monitor National security agents who are loaded with cash to bribe polling agents of opposition parties.

Then the big question is....is this a brilliant analysis? I am afraid to say it is not. At best it is mediocre squeak and we truly deserve better than this piece of garbage.
 
Reuters nao wamehongwa na CCM au wamepewa khanga na T-shirts na kubebwa kweli malori.


Nyie wenye mawazo kama haya mumefilisika kifikra. Mnachotaka kusikia ni kuwa CCM na KIkwete wao watadondoka katika uchaguzi huu. Mnapenda kusikia kuwa Slaa na Chadema yake watashinda. Hamtaki kupata critical analysis. Kama ndivyo basi naomba msikie haya:

TAARIFA ZIMEPATIKANA KUTOKA KWA MAKAMPUNI YANAYOSIFIKA KWA UTAFITI DUNIANI MOJA LA MAREKANI NA JINGINE LA SWEDEN KWAMBA CCM, CHAMA AMBACHO KIMEKUWA MADARAKANI TANGU UHURU KITAANGUKA KATIKA UCHAGUZI.

kWA MUJIBU WA UTAFITI HUO CHAMA CHA UPINZANI AMBACHO KIMEJITOKEZA KUWA NA NGUVU KUBWA MWAKA HUU AMBACHO NI CHADEMA NA MGOMBEA WAKE DK. WILBROAD SLAA KITASHINDA KWA ASILIMIA 76.9. CCM IMEPEWA NAFASI YA TATU KATIKA UTAFITI HUO KWA KUAMBULIA ASILIMIA 7.2 HUKU CHAMA CHA CUF CHENYE MLENGO MKALI WA KIDINI KIKISHIKA NAFASI YA PILI ASILIMIA 15.1

MAJINA YALIYOFANYA UTAFITI HUO YAMEHIFADHIWA KWA HOFU YA OFISI ZAKE KUSHAMBULIWA DUNIANI KOTE.
 
Swali dogo:

Hivi kwa nini vyombo vinavyofanya POLL kwa miaka mingi Tanzania, hadi leo hawajafanya?

Inanipa sana shida kuamini kuwa hadi leo hawajafanya wakati mwezi wa April na June walifanya.

Leo hii tumebakiza wiki nne uchaguzi uishe, hawa jamaa wamekaa kimya.

Mkulima, hilo wee unalifikiriaje? Kwa nini waandikie mate wakati wino upo? Si wafanye tu Poll Mpya?
 
Duh, hawa Reuters nao kamba nyingi sana. Mbona polls walizozungumzia ni zile za April na June wakati Vyama vingine havijasimamisha wagombea wao?.
Kwa nini wasitumie polls zilizotoka hivi majuzi au ndio wanakwepa kuandika mabadiliko yaliyotokea!
 
Duh, hawa Reuters nao kamba nyingi sana. Mbona polls walizozungumzia ni zile za April na June wakati Vyama vingine havijasimamisha wagombea wao?.
Kwa nini wasitumie polls zilizotoka hivi majuzi au ndio wanakwepa kuandika mabadiliko yaliyotokea!

Mwaka huu we acha tu.
 
sisi m wanahangaika kweli sasa hivi. Mara polls ambazo hazina mshiko mara maafisa usalama kila kona! siku ya kufa miti yote uteleza. Wasubiri kuondoka ikulu
 
fumbuka anapokuwa reuters? credible source au? maana mwaka 2005 tulikuja kujua baadae kuna jamaa pale bbc walitumika kuchakachua hali hali kwa propaganda kama hizi.
 
POLITICS AND THE ELECTION

Two opinion polls this year show Kikwete, 60, would beat opposition candidates by a comfortable margin. A poll by the University of Dar es Salaam in April showed 77.2 per cent of Tanzanians would vote for him.

Synovate said in June that Kikwete's popularity had declined to 69 percent from a previous 73 percent. This partly reflected criticism of how he handled threats by labour unions of a nationwide strike over pay and conditions.

My take:
Wanajanvi nadhani hii article imepitwa na wakati. Kipindi tajwa i.e. April and June, Rais Mtarajiwa Slaa hakuwa kwenye picture. Kwa kuingia kwake inawezekana JK popularity imeshuka by 28% i.e. from 69% to 41%. Go my president, Go Slaa, rudisha heshima na nidhamu Tanzania
Mkuu nakubaliana na wewe. Popularoty ya kilwete wakati huo ilikuwa agaist wakina nani? Au ndo tukubali Kuwa slaa alikuwa president pia? Coz' kila alilokuwa analosema kikwete ndo anaenda kutekeleza.
 
Ukweli unauma...kheeeeee heeeee heeee!
Kibunango! Vipi unachekea ****** siku hizi? Mambo ya CHADEMA yanakutisha nini? Kale katawi ka CCM Helsinki kamepotelea wapi?:A S 465: Naona kila member anatwanga lake. Lol!
 
Mtu anapochukua WAHUNI na kuwaweka patakatifu ujue siku zake zinahesabika
 
It's a brilliant analysis, but its dead wrong on one thing -- Kikwete will lose the election. WILLIBROD SLAA IS THE FIFTH PRESIDENT OF TANZANIA!!

JK akisoma hii lazima aanguke. Si unajua ana ugonjwa wa uchaguzifobia-kifafaganz++

Ila kifafa chake babu kubwa....wenzake wanaangukia motoni yeye anaangukia kwa wapambe. SIKU HIZI ANA WAPAMBE SITA. MMOJA WA TISS-PSU, MWINGINE WA JWTZ, HAWA WANNE WALIOBAKI WA WAPI?????AU JESHI LA SHEIKH YAHYA???
 
Kwani hao reuters hawajui kinachoendelea sasa?Hawajui kura za maoni za sasa zinasemaje?Hao ni International media wanafuatilia sana,na wanajua hali ya ccm ni mbaya.Wanachokifanya ni kueneza propaganda kimataifa kwani hakuna nchi za magharibi ambazo zinataka kuona nchi za Afrika zinajitegemea.Wanajua kuwa akiingia mwanamageuzi wa kweli basi makampuni yao ya kinyonyaji hayatapata nafasi tena.
Jambo la muhimu ni kuhamasishana kupiga kura na kuzilinda.
 
Win or loose Tanzania is changing for the better. The most important thing is that Tanzanians are not afraid of Chadema. We need vast investment in education.
 
It's a brilliant analysis, but its dead wrong on one thing -- Kikwete will lose the election. WILLIBROD SLAA IS THE FIFTH PRESIDENT OF TANZANIA!!

I totally agree with you labda watumie vyombo vya dola jeshi, polisi, FFU, Mgambo kuiba kura vinginevyo tunapata uhuru wetu toka chama filisi cha mafisadi hapo October 31, 2010.
 
Data anazotumia ni za April and June wakati Slaa hajateuliwa kugombea uras,watumie data za 2005 za REDET inaruhusiwa,issue ni kuwa wametumia data ambazo sio sahihi.

TUNATAKA MABADILIKO.TUNATAKA MABADILIKO.ENOUGH IS ENOUGH.WE NEED CHANGES
kaka wew wanena
 

Nionavyo mimi hii analysis iko fair, pengine ingesema tu kuwa hakuna opinion poll iliyofanyika baada ya Dk. Slaa (Tegemeo La Watanzania) kuchaguliwa kuwa mgombea Urais wa Tanzania. Nimefurahi pale mwandishi aliposema wazi kuwa:

-- Conduct of vote. Opposition parties have alleged fraud in previous elections and say vote rigging by the ruling party might be repeated this year.

Law enforcement agencies and state-run media have traditionally favoured the ruling party during election periods. The National Electoral Commission (NEC) is seen lacking the independence to oversee a truly free and fair vote.

Amekuwa fair kwa kusema ukweli kuwa Kikwete will likely win kutokana na ukweli kuwa hivi sasa Usalama wa Taifa, polisi na jeshi wamemwaga nchi nzima kuhakikisha ushindi kwa CCM. Pia sote tumeshuhudia jinsi Daily News (Mkumbwa Ally) na TBC (Tido Mhando) walivyokuwa wanaipendela CCM wazi wazi. Tume ya Uchaguzi (NEC) nayo vile vile.

Mimi ninavyoona ni kuwa hii makala ya huyu Fumbuka ni nzuri sana kwani inatuamsha sisi tunaotaka mabadiliko TUSIBWETEKE na kudhani kuwa ushindi kwa Dk. Slaa ni dhahiri. Vyombo vya dola na CCM wanacheza rafu sana ili kuhakikisha Kikwete anashinda by any means necessary. Vyama tawala Afrika huwa vinang'ang'ania madarakani. Ni vigumu sana kuishinda CCM kuliko wengi wetu tunavyodhania kutokana na rafu na uhuni wanaotumia.

Tulinde kura, tuhamasishane kujitokeza na kupiga kura. Wengi wetu ni hodari wa kuongea lakini siku ya uchaguzi tukiona tu foleni ndefu tunarudi nyumbani au kuendelea na shuhuli nyingine.

HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE. PEOPLE'S POWER! TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA, TENA SANA TU....
 
Back
Top Bottom