jAMANIN MI MTEMBEZI,Nipo matembezini nikifanya coverage ya uchaguzi.kama wengi mnavyojua jana Dr slaa alitakiwa kuhutubia katika viwanja vya mwembetogwa manispaa ya Iringa lkn hakufanya hivyo kutokana na kuchelewa kufika.Usiku akawasiliana na umma wa Iringa kupitia Radio country Fm kwa almost masaa matatu.
Ilipofika mapema asubuhi,kama kawaida ya mtembezi nilidamkia katika viwanja vya mwembe togwa baada ya kupata taarifa kuwa mheshimiwa angehutubia katika uwanja huo.Nimepokewa na umati wa polisi nikahisi jambo! cause hata wananchi walikuwa hawajaanza kukusanyika.Baada ya muda napokea simu naulizwa kama nina taarifa za Dr slaa kuzuiwa kuhutubia.Nime dodosa hapa na pale naambiwa polisi wa ccm wamemzuia!kisa? SIYO RATIBA YAKE KUHUTUBIA ASUBUHI HII-nimejiuliza sana angekuwa kiongozi wa CCM ?kwa hivi sasa anajiandaa kupita mji huu kuelekea NJOMBE.
brrrrreaking news..taarifa atafanya kikao cha ndani katika shule ya msingi mlandege dakika chache zijazo on his way to njombe.