Slaa awe mbunge wa arusha

jamani ndugu zanguni namsapoti aliyeanzisha maada kwani lema inatakiwa apumzkie kwanza kwani tukimsimamisha lema ccm watamuwekea pingamizi na tutalipoteza jimbo mazima,sasa basi naunga mkono hoja kuwa either dr slaa au mwigamba asimame kugombea ubunge arusha mjini kwa tiketi ya CHADEMA
 
Akigombea Dr Slaa magamba yatatumia kila njia ili ashindwe ubunge,na hiyo itakuwa ni nafasi ya magamba kumpunguzia kamanda wetu umaarufu alionao slaa wetu,ni vyema akigombea mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom