Slaa awe mbunge wa arusha

Dr Slaa muache akijenge chama kazi aliyo nayo nikubwa kuliko ubunge ktk chama na taifa.Naalisha fikia ngazi ya uraisi so hatakiwi kujiingiza huko kwenye ubunge tena.kama ni kweli Lewa sii mbunge tena nampa pole na asivunjike moyo,agombee tena atashinda tuu.kama hatoruhusiwa kugombea akae na Dr wazunguke nchi mzima kujenga chama .peoplesssssssssssssss
 
Ni kweli Lema amezuiwa asijihusishe na sias kwa miaka mitano? tupeni taarifa hizo jamani. Nani yupo arusha?
 
Kuna huyu mnafiki anaetwa Calculator,anakaa kaloleni,asiwadanganye Lema ameruhusiwa tena kugombea,wajue kwamba Lema sio kubwa jinga
 
Ni kweli Lema amezuiwa asijihusishe na sias kwa miaka mitano? tupeni taarifa hizo jamani. Nani yupo arusha?

Hajazuiwa kugombea! unajua jaji kala pesa ya lowasa na anauhakika hakukuwa na kesi sasa alihukumu hivyo akijua lema atakata rufaa sasa lema kakataa kukata rufaa jaji kapanic kwani anajua serikali ya JK na CCM hawana hela za kufanya uchaguzi! Kwa sioi pesa zilizotumika ni za lowasa na Rostam so subiri uone kiama kwa serikali.
 
G.Lema ana ruhusiwa kugombea ubunge tena hana haja ya kupoteza mda wake mahakamani kwani huko ndo kakosa haki arudi kwenye ballout box wananchi wamrejeshe mjengoni.

Wamekupumzisha kwa mda baada ya siku 90 unarudi tena mjengoni.
 
Siasa zinatumaliza kiuchumi watanzania jamani!Chonde chonde Lema kata rufaa uokoe mabilioni ya walipa kodi!Hebu angalieni matatizo yalivyotuzunguka jamani,umeme,maji,huduma za afya mbovu!CDM ni chama kinachojali matatizo ya wananchi pls tuoneeni huruma walalahoi!!
 
mkuu rufaa inapoteza muda na inachelewesha haki, tunarudi uwanjani kupambana upya na Lema ndo chaguo.
 
Siasa zinatumaliza kiuchumi watanzania jamani!Chonde chonde Lema kata rufaa uokoe mabilioni ya walipa kodi!Hebu angalieni matatizo yalivyotuzunguka jamani,umeme,maji,huduma za afya mbovu!CDM ni chama kinachojali matatizo ya wananchi pls tuoneeni huruma walalahoi!!

Peleka u.s.enge huko, CCM watoe rushwa uwaombe chadema kupoteza muda, huna akili wewe, yani jinsi nmepandwa na hasira ngekuwa npo karibu na wewe...,
 
Matusi ya nini humu? Kutengua ushindi ni tatzo kama alishinda kwa haki basi ccm inataka kuaibika tu,subiri utangazwe tena uchaguzi mana sasa ccm imebaki matusi tu sio sera cjui kwnn?
 
tunataka jembe LEMA tena liludi cc CDM hatuogopi uchaguzi tutaingia na Mungu tutashinda na Mungu.

Huyo huyo Lema atarudi kama akigombea maana wapiga kura bado hawajamchoka kihivyo. Na saizi CCM itabwagwa vibaya sana kuliko Arumeru.
 
Back
Top Bottom