Slaa awawakia wasioridhishwa na mgawo wa Viti Maalum

Huyu Mchungaji anankweza kutokana na jazba, badala ya kuwaelekeza wakereketwa yeye linafoka na hili jisura lake ananikumbusha lile linguruwe la last week kwenye part.

Huyu mchungaji ni hatari sana hapa tanzania, angelikuwepo wakati wa Nyerere angehamishiwa nchi, linaeneza udini na ukabila.

Pumba!
 
We na slaa baraza lenu moja utaongea nini? funika macho kubali atachosema slaa, tuache sisi wenye uwezo wa kufikiri

Kama wewe unafikiria unauwezo wa kufikiri basi nadhani binafsi siuhitaji!
 
“[FONT=ArialMT, sans-serif]Watu wa Mbeya mnalalamika sana kuhusu suala la viti maalum wakati Karatu tumeibeba Chadema toka mwaka 1995 hadi sasa, lakini hatujawahi kupewa viti maalum vya ubunge. Mbeya ni juzi tu ndiyo mmeanza kuibeba Chadema, halafu mnasema mnataka kuondoka kwenye chama. Tunasema ondokeni njia nyeupe kwa anayetaka kufanya hivyo,” alisema Dk. Slaa.[/FONT]

Haya ni maneno ya kiongozi makini na si kubembelezana !Hongera Rais wangu!
 
haya ni maneno ya UNAFIKI na Ujue Mwisho wa FITINA ni AIBU au UBAYA
Kwa CHADEMA huwezi kupata viti maalum kama hutoki kanda ya kaskazini, huko ndipo viti maalum vimetengwa kwao. Ndesamburo, mtoto wake na mkwe wake wote wamepata viti maalum. Bado Mbowe na mwanawe wa kufikia, jamani watu wataacha kulalamika kweli hapo? Wekeni busara na utaifa mbele, acheni kujichagua VITI MAALUM kwa misingi ya udini, ukabila na ukoo wana CHADEMA
 
Sasa kaa kimya, acha sisi independent thinkers, tuwaelimishe wananchi, Heeeeh

Hahahahah independent thinker! Si dhani kama kuna mwananchi anayehitaji sikia pumba zako. Watanzania hawadanganyiki siku hizi
 
Mtoa mada, nashukuru kwa kuleta thread hii kwa namna ambayo inavutia wengi hasa wabaya wa Dr.
Nakushukuru zaidi kwa kuonesha Dr. Asivyopenda kubembelleza pale ambapo hakuna haja ya kufanya hivyo. Kwake kubembeleza si lazima bali kuwaeleza watu ukweli na watakao pata ukweli huo waamue baada ya kuuelewa.
Narudia tena, ahsante mleta mada kwa kunifanya nimuelewe Dr.vizuri katika mambo haya yanayohitaji msimamo thabiti usio tetereka.
Kuna maneno aliwahi kusema Kikwete juu ya wafanyakazi na ulikuwa ni ukweli kabisa kwamba mishahara hailipiki na wakitaka watu kugoma na wagome na pia kama ni kura zao hazihitaji. Watu humu ndani walilalama saana na hadi tshirt zikajitokeza hapa. Inatofauti gani na hii ya Slaa. Kama kuondoka CHADEMA waondoke? Tuache ushabiki kauli za namna hii hazijengi ni vyema kujifunza kwenye suluhu.
 
Huyu jamaa kwa kweli ni dicteta na ni hatari ,kama unaweza kuisoma hii habari kwa kina basi utaiona rangi yake. Endelea...!

Dk. Slaa awawakia wasioridhishwa na mgawo viti maalum

By Thobias Mwanakatwe
21st December 2010

SlaaChadema%284%29.jpg

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa

[FONT=ArialMT, sans-serif]Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema njia ipo nyeupe kwa viongozi na wanachama wanaotaka kuondoka katika chama hicho kwa sababu ya kutoridhishwa na mgawo wa viti maalum vya wanawake katika Bunge. [/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]Akizungumza jana katika mkutano wa Baraza la Ushauri la Chadema jijini hapa, Dk. Slaa alisema tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu, yamejitokeza malalamiko kutoka kwa baadhi ya viongozi na wanachama kwamba mikoa yao haijapata wabunge wa viti maalum licha ya kuwapo wabunge wa majimbo.[/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema miongoni mwa mikoa inayolalamika ni pamoja na Mbeya, ambao umepata wabunge wawili wa kuchaguliwa, lakini haukupata mbunge wa viti maalum.[/FONT]

"[FONT=ArialMT, sans-serif]Watu wa Mbeya mnalalamika sana kuhusu suala la viti maalum wakati Karatu tumeibeba Chadema toka mwaka 1995 hadi sasa, lakini hatujawahi kupewa viti maalum vya ubunge. Mbeya ni juzi tu ndiyo mmeanza kuibeba Chadema, halafu mnasema mnataka kuondoka kwenye chama. Tunasema ondokeni njia nyeupe kwa anayetaka kufanya hivyo," alisema Dk. Slaa.[/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema viongozi wasioelewa kuhusu utaratibu wa utoaji wa viti maalum wanakuwa na ubinafsi wakati Chadema viti maalum havitolewi kama zawadi na wala siyo hisani kama wanavyodhani baadhi ya watu, bali vina malengo yake.[/FONT]

SOURCE: NIPASHE
Hivi Karatu imeahi kutoa wabunge wengi kama Mbeya? Mbona Karatu ni JIMBO? Sikubaliani na kauli hizi, Mbeya ni mkoa kama kuna makosa yamefanyika kuna haja ya kuyazungumza na kuachana na kauli za kebehi. Pia Karatu wametoa mbunge mmoja, Mbeya je?
 
Huyu jamaa kwa kweli ni dicteta na ni hatari ,kama unaweza kuisoma hii habari kwa kina basi utaiona rangi yake. Endelea...!

Dk. Slaa awawakia wasioridhishwa na mgawo viti maalum

By Thobias Mwanakatwe
21st December 2010

SlaaChadema%284%29.jpg

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa

[FONT=ArialMT, sans-serif]Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema njia ipo nyeupe kwa viongozi na wanachama wanaotaka kuondoka katika chama hicho kwa sababu ya kutoridhishwa na mgawo wa viti maalum vya wanawake katika Bunge. [/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]Akizungumza jana katika mkutano wa Baraza la Ushauri la Chadema jijini hapa, Dk. Slaa alisema tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu, yamejitokeza malalamiko kutoka kwa baadhi ya viongozi na wanachama kwamba mikoa yao haijapata wabunge wa viti maalum licha ya kuwapo wabunge wa majimbo.[/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema miongoni mwa mikoa inayolalamika ni pamoja na Mbeya, ambao umepata wabunge wawili wa kuchaguliwa, lakini haukupata mbunge wa viti maalum.[/FONT]

“[FONT=ArialMT, sans-serif]Watu wa Mbeya mnalalamika sana kuhusu suala la viti maalum wakati Karatu tumeibeba Chadema toka mwaka 1995 hadi sasa, lakini hatujawahi kupewa viti maalum vya ubunge. Mbeya ni juzi tu ndiyo mmeanza kuibeba Chadema, halafu mnasema mnataka kuondoka kwenye chama. Tunasema ondokeni njia nyeupe kwa anayetaka kufanya hivyo,” alisema Dk. Slaa.[/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema viongozi wasioelewa kuhusu utaratibu wa utoaji wa viti maalum wanakuwa na ubinafsi wakati Chadema viti maalum havitolewi kama zawadi na wala siyo hisani kama wanavyodhani baadhi ya watu, bali vina malengo yake.[/FONT]

SOURCE: NIPASHE
Hii katudharau saana watu wa Mbeya na kusini nzima kulinganisha na Karatu. He should rectify his statement, vinginevyo tutamkumbusha wakati ukifika.
 
Huyu ndio Mh Slaa, na BADO.

Nilishapiga Gumzo sana kuwa HUYU NI DIKITETA!!!
 
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema miongoni mwa mikoa inayolalamika ni pamoja na Mbeya, ambao umepata wabunge wawili wa kuchaguliwa, lakini haukupata mbunge wa viti maalum.[/FONT]

“[FONT=ArialMT, sans-serif]Watu wa Mbeya mnalalamika sana kuhusu suala la viti maalum wakati Karatu tumeibeba Chadema toka mwaka 1995 hadi sasa, lakini hatujawahi kupewa viti maalum vya ubunge. Mbeya ni juzi tu ndiyo mmeanza kuibeba Chadema, halafu mnasema mnataka kuondoka kwenye chama. Tunasema ondokeni njia nyeupe kwa anayetaka kufanya hivyo,” alisema Dk. Slaa.[/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema viongozi wasioelewa kuhusu utaratibu wa utoaji wa viti maalum wanakuwa na ubinafsi wakati Chadema viti maalum havitolewi kama zawadi na wala siyo hisani kama wanavyodhani baadhi ya watu, bali vina malengo yake.[/FONT]

SOURCE: NIPASHE

Kama hatuoni tatizo la hayo maneno hapo juu great thinkers basi kumeingia virus....Kiongozi huwezi kutenga wanachama wako kwa sababu ya kujiunga jana au juzi. Shibuda na Marando wamekibeba chama toka lini ??? He is a hypocrite period..
 
Kwa lugha fupi na nyepesi hilo neno maana yake ni: HAKUNA MAJADILIANO, NIMEAMUA HIVI NDIO MWITSHO NA NUKTA, UNAHITAJI FUATA, HUKUBALIANI KITOE.
Lugha murua ya kiongozi makini sio huyu DR.Dr.Dr Dr. Luteni kanali alhaji Mh. Rais wa NEC Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Unafiki hauwezi kutusogeza mbele kimaendeleo Tanzania. Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne, sorry, vitano:

  1. Watu wakweli na wanaojituma kufanya kazi
  2. Siasa safi isiyo ya kulindana kiswahiba
  3. Uongozi bora usiowaonea aibu mafisadi kwa vijimsaada anuai
  4. Ardhi isiyouzika kwa wakoloni mamboleo kiholela
  5. Udikteta wa kadiri kwao wanaodhani kupiga domo kuna tija bila jasho

Umenena mkuu maana nchi yeyote inayofanya propaganda na longolongo hakuna maendeleo.
 
wanaosema Dr.ni dikteta kweli hawana hofu mbele za Mungu.Wanataka kushindana na mtu ambaye amewazidi kwa kila kitu yaani kielimu,kiuongozi na kiutawala.Swala la viti maalumu ni agenda ambayo CCM inafikiri inaweza kuwa msaada kutoka kwenye matope ya uchafu wote walionao katika nchi hii.Nchi yetu inanuka kwa ufisadi na kila aina ya ubabaishaji.Angalia swala la DOWANS,kweli serikali hii ina jibu gani kwa watanzania?Slaa hayuko hivyo,kumwita dikteta ni matusi ya mwilini.
 
We na slaa baraza lenu moja utaongea nini? funika macho kubali atachosema slaa, tuache sisi wenye uwezo wa kufikiri

We kweli ni bull, una mawazo mgando kinoma. Tutatumia nguvu kuwaelewesha watu kama wewe mwisho wa siku utatuambia sisi madikteta.
 
Kama hatuoni tatizo la hayo maneno hapo juu great thinkers basi kumeingia virus....Kiongozi huwezi kutenga wanachama wako kwa sababu ya kujiunga jana au juzi. Shibuda na Marando wamekibeba chama toka lini ??? He is a hypocrite period..

Hapo umenena! Kuna watu hawataki kukubali Slaa kukosolewa. Tukisema tuangalie waliokibeba CHADEMA tangu 1995, hao wabunge waliopata sasa walikibeba tangu wakati huo?? Je ni waliokibeba CHADEMA pekee tangu 1995 ndio walifanikisha wafike hapo walipo sasa?? Dr. Slaa anatakiwa abadilike kwa kujifunza kutoa kauli za nidhamu na zisizo na masuala ya kubebana tangu 1995. La sivyo 2015 wajiandae kurudisha viti vya udiwani na ubunge kwa CCM.
 
Back
Top Bottom