Elections 2010 Slaa aunguruma Mwembeyanga, LIVE TBC1

Kwa wale walio mbali na maeneo haya wanafuatilia mkutano huu wanaweza kutazama TC1 Kuanzia saa 9 Kamili , wengine wanaweza kufuatilia kwa njia ya mtandao kama hii .

Kwa wale wanaopenda kuchangia Kampeni hizi wanaweza kutembelea blogu yetu kwa anuani www.marafikiwaslaa.blogspot.com kama una habari zaidi unaweza kututumia kupitia friendsofslaa@gmail.com

Wale wanaopenda kuchangia mkakati wa kutengeneza vipindi vya TV vinavyoendelea kurushwa kwenye vituo mbalimbali vya TV na radio wanaweza kuchangia kupitia namba

+255766334049 MPESA
+255786806028 ZAP

Kama unataka Fulana za DR SLaa na Kofia zenye sahihi yake wasiliana na 0714 667026[/QUOTE]

hiyo namba uliyotoa kwa ajili ya kupata fulana haipokelewi, inakatwa!!!!!!!!

tunathibitishaje kuwa hizo account zinahusika na dr. wa ukweli?
 
hizi account za ZAP na MPESA ni zakweli? sitaki kunufaisha matapeli au mbaya zaidi mafisadi, zipo kwenye website ya CHADEMA?
 
Mkuu Shy, jitahidi uweke picha kwanza kabla ya Dr Slaa(PhD) hajafika mkutanoni, na update pia ni mhimu mkuu.
 
TBC1 wanaonesha wanyama wa ajabu ajabu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Aongelee uchochezi wa gazeti la Al-huda ambalo serikali imelikalia kimya kila siku kama hailioni vilea au lenyewe lina mamlaka ya kutukana na kuchochea chuki kati ya watu ?
 
Tupeane ratiba ya vipindi hivyo vya TV na ni TV gani zinahusika maana sijaona programme maalumu ya kampen kwenye tv. tujulishe mkuu p'se ili tuchangie fedha ya kurusha vipindi hivyo dakika hizi za mwisho
 
Vipi viongozi wa Kitaifa waliohudhuria wa CHADEMA wako wengi? Shamrashamra zikoje hapo uwanjani?
 
Tunaomba picha mkuu,kwasisi tulioko vijijini ni kazi sana HATUNA TV hata moja,ni balozi tuu ndio anaTV yake.
 
Mkutano wa DR W P SLAA LIVE TOKA MwembeYanga

Nawakaribisha katika mkutano wa Mgombea uraisi kwa tiketi ya chadema DR W P SLAA unaofanyika hapa Kwenye uwanja wa Mwembe yanga watu wamejaa kweli kweli , kumefurika na kutia fora – Kuna watu wa aina mbalimbali hapa kuanzia wazee , vijana na wale watu wakati , kuanzia wamachinga mpaka wauza mitumba walioacha biashara zao kwa muda kwa ajili ya kuja kumwona dr slaa akinadi sera zake uwanjani hapa

Kwa wale walio mbali na maeneo haya wanafuatilia mkutano huu wanaweza kutazama TC1 Kuanzia saa 9 Kamili , wengine wanaweza kufuatilia kwa njia ya mtandao kama hii .

Kwa wale wanaopenda kuchangia Kampeni hizi wanaweza kutembelea blogu yetu kwa anuani www.marafikiwaslaa.blogspot.com kama una habari zaidi unaweza kututumia kupitia friendsofslaa@gmail.com

Wale wanaopenda kuchangia mkakati wa kutengeneza vipindi vya TV vinavyoendelea kurushwa kwenye vituo mbalimbali vya TV na radio wanaweza kuchangia kupitia namba

+255766334049 MPESA
+255786806028 ZAP

Kama unataka Fulana za DR SLaa na Kofia zenye sahihi yake wasiliana na 0714 667026

asante sana mkuu usiache kuturushia photos...
 
bado nusu saa niwashe gari kuelekea mwanza nipo shinyanga napumzika safari hii ni kwa ajili ya octoba 31. niko na wife hapa

nipe update mkuu
 
33333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333

Kumbuka sana hii number
 
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, wanaonesha tbc1

asante sana tbc wani, asante shy kwa taarifa (presha ilishapanda yaani)
 
Back
Top Bottom