Elections 2010 Slaa aunguruma Mwembeyanga, LIVE TBC1

Wakuu,

Napenda kuwafahamisha kuwa kesho Dr. Slaa atakuwa viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es Salaam ambapo atakuwa LIVE ndani ya TBC1 pia kuanzia saa 10 jioni kwa muda wa masaa 3.

Aidha, baadae atakuwa LIVE katika televisheni ya Agape kuanzia saa 1 jioni.

Mkutano wake leo umejaza watu wengi sana huko Zanzibar tofauti na wengi mnavyoweza kudhani, nitawaletea picha za Zanzibar hali ilivyokuwa.

mkuu mambo niaje? AVATA YAKO KIAMA MKUU NIMEIZIMIA KINOMA sikusoma ulichoandika zaidi ya kungangania avatar...duh hiyo staili ya kumwaga sera nimeipenda....
 
Wakuu,

Napenda kuwafahamisha kuwa kesho Dr. Slaa atakuwa viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es Salaam ambapo atakuwa LIVE ndani ya TBC1 pia kuanzia saa 10 jioni kwa muda wa masaa 3.

Aidha, baadae atakuwa LIVE katika televisheni ya Agape kuanzia saa 1 jioni.

Mkutano wake leo umejaza watu wengi sana huko Zanzibar tofauti na wengi mnavyoweza kudhani, nitawaletea picha za Zanzibar hali ilivyokuwa.
bila picha zanzibar siwezi kuamini kama kweli alipata watu kule ni ngome ya CUF na CCM. Tupe picha tuamini
 
Hamasa ya kuhudhuria mikutano tunayoona ktk ya kampeni kwa wapinzani, hususani CHADEMA NA CUF ni ishara kuwa watanzania tunahitaji mabadiliko ili tupate maendeleo ya kweli kitaifa.
 
bila picha zanzibar siwezi kuamini kama kweli alipata watu kule ni ngome ya CUF na CCM. Tupe picha tuamini
Mambo ya Zenji

2qvb4nd.jpg

2uh3eki.jpg

16kdnj4.jpg
 
mambo ndo yameiva,thithiem mimi sidanganyiiiiki tena kura yangu nampa slaa
 
kwa vyovyote itakavyokuwa hapo 31october Dokta Slaa amekwisha shinda miyoyoni mwa watanzania.
kwani tunajua kuwa watawala hapao tayari kuachia madaraka. Kuachia madaraka kwao ni maafa makubwa kwani wengi wao wana madhambi makubwa.
 
wataachia tu mwaka huu, hawana ujanja hawa.
 
Kwenye hiyo picha ya kwanza waangalie huyo mama mweupe, mama mweusi na huyo kijana mweusi hapo mbele, wanamsikiliza Rais mtarajiwa hadi wamesahau kama shingo zao zinaumia.

Wamepindisha shingo kumtegea masikio yao ili wasikie barabara, hanashangaa namna CCM ilivyowafanya masikini wakini nchi yetu ni tajiri.

Mwaka huu CCM hamna kitu, Si riziki.
 
Hongereni wazanzibari. Hamukumuangusha dr kwa mahudhurio kwenye kampeni. mmejitahidi sana. ccm walie tu.
 
Nimeona ni vizuri kuwa na thread ya inayojitegemea kuonyesha Dr. Slaa alivyoiteka Zanzibar. Wananchi hawadanganyiki mwaka huu wameonewa na CCM vya kutosha sasa wamamua basi. Dr. Slaa the next President.

Watu wamejaa kwelikweli na wanamsikiliza kwa makini sana.

2qvb4nd.jpg

2uh3eki.jpg

16kdnj4.jpg
 
Mbona picha yenyewe imepigwa kwa engo moja hili kuonsha watu walio kuwa mbele ya jukwaa tu? Ebu leta zingine...
 
Big up hakuna cha bendi wala igizo. watu wameenda wenyewe halafu wako darasani kinoma.
 
Mbona picha yenyewe imepigwa kwa engo moja hili kuonsha watu walio kuwa mbele ya jukwaa tu? Ebu leta zingine...

Hapana hajapigwa kwa engo moja bali ilipigwa wide kama landscape. Ili kuiona yote vuta kulia na kushoto, juu na chini. Naona Mods wamerekebisha uwiano wa picha na maandishi. Sasa picha zinaonekana vizuri sana. Unajua watu wamechoka kukaa na umasikini wakati mafisadi wa CCM wanatumbua tu pesa ambazo ni sitahili ya kila Mwananchi. Wanataka mabadiliko ndiyo maana wanamkubali Dr. Slaa kuwa rais wa tano wa Tanzania.
 
Haya wale waliokuwa wanasema dr hatapata watu zanzibar waseme lingine kwani kama ni umati huo hapo na picha zake.
 
Nina hamu ya kuona mkutano wa Slaa huko zanzibar, ulinogaje? Naomba picha kwa waliokuwepo.
 
Kuna moja wameweka hapa JF tayari. Nafikiri wataleta nyingine zaidi. Ngoja nikuwekee hii niliyoona hapa:

2qvb4nd.jpg
 
Back
Top Bottom