Elections 2010 Slaa Atafanya nini baada ya kuapishwa JK?

Tutamkosa bungeni manake amegombea urais na kufanikiwa kuongeza idadi ya wabunge wa chama.

Swali ni je,atakuwa buisy akifanya nini?

1. Kutafuta mabomu na kuwapatia Waheshimiwa Lissu na Mnyika wayalipue bungeni?

2. Atamsaidia aliyetarajiwa kuwa first lady kuendeleza NGO yake?

3. Atarudi church?

4. Atasubiri mbunge aenguliwe na mahakama au afariki (Mungu aepushie mbali) ili agombee?

5. Atarudi kulima vitunguu Karatu?

Tafadhali tujadili ,,, bila matusi!!!.

1. Ana kazi nyingi za kufanya hakuingia kwenye siasa kama mwenye njaa ila aliingia kwa dhamira moja ya kuwakomboa watanzania wote na hali mbaya waliyonayo,

2. atamwacha 1st lady aendeleze NGO yake atamuoa mama yako kama anaqualification za kutosha,

3. Kanisani ni sehemu ya kuabudu Mungu so anaoption ya kwenda kanisani au msikitini

4. Hana haya ya kusubiri shekhe mfuga majini kufa na muanguka majukwaani kila siku ili apate cha kufanya

5 kilimo ni sehemu ya kazi zinazoheshimika kimataifa sio kama wakulima wenu wa KILIMO KWANZA ya kisanii mloipeleka kwa ajili ya kuibia kura za wanachi wazalendo walioamua kuwachagua viongozi wao ila hamtaki kukubali ukweli

Yes tunaweza kujadili bila matusi .. now ans my question, Nina deal la kupeleka mashoka waliobobea kama wewe kwa waarabu vipi nikupeleke? :A S angry:
 
Ndo atapata muda zaidi wa kuendesha operation SANGARA, lazima maandalizi yaanze sasa hivi come 2015 mageuzi lazima
 
Ungegeuza swali na uulize, Hivi Jk anajisikiaje kutumia nguvu ya dola na watendaji wachache wasio waadilifu KUBAKA DEMOKRASIA ilimradi atimize adhma ya familia yake?
 
Itakuwa ndio mwanzo na mda muafaka wa harakati kuelimisha uma wa watanzania usioelewa hata kwa mawe kama mtoa hoja hii.
 
Aunde kamati ya kusimamia harusi na aanze kuchangisha harusi yake na mchumba wake aliyetembea naye nchi nzima! Teh teh teh!!!

Pia mumchangie harusi yake kupitia M-Pesa na Zap! Teh teh teh!!!! :bowl:
 
Tutamkosa bungeni manake amegombea urais na kufanikiwa kuongeza idadi ya wabunge wa chama.

Swali ni je,atakuwa buisy akifanya nini?

1. Kutafuta mabomu na kuwapatia Waheshimiwa Lissu na Mnyika wayalipue bungeni?

2. Atamsaidia aliyetarajiwa kuwa first lady kuendeleza NGO yake?

3. Atarudi church?

4. Atasubiri mbunge aenguliwe na mahakama au afariki (Mungu aepushie mbali) ili agombee?

5. Atarudi kulima vitunguu Karatu?

Tafadhali tujadili ,,, bila matusi!!!.

crap (mod kama mnafunga poa tu)
 
inasikitisha watu wazima kuwa na matusi humu ndani, sielewi ni kwanini au ni wale ambao wazazi, ndugu na marafiki wamepigwa chali. Bora mpumzike kuliko kutoa matusi humu ndani. Shame on you
 
really stubid, hawa ndio waliochagua ccm, mwisho unakuja utajuta hii ni indicator 2015, mmeiba sasa mwisho. ya really fackin.
 
Umetahadharisha tujadili bila matusi kwa sababu unajua swali lako lenyewe ni tusi,la kichokozi na linalotoa nafasi ya jibu la aina moja tu,"TUSI"..Hatahivyo,kwakuwa mimi ni MwanaJF na Falsafa yetu ni nguvu ya hoja,naomba nikujibu kifupi tu...Dr.Wilbroad Peter Slaa ni 'SECRETARY GENERAL' wa chama cha Democrasia na Maendeleo.Hivyo,Ikitokea kura hazikutosha kumwezesha kuwa Rais,atabaki na majukumu ya chama.Utakuwa ni muda wake mzuri kushughulika na mipango,mikakati na utekelezaji wa programu za Chama,nchi nzima.Nafahamu punde tu ataendelea na operation sangala,kuzindua na kusimamia operations zingine.Nimatumaini yangu kuwa atatumia fursa hiyo kutoa mafunzo elekezi ya namna ya kuendesha Halmashauri,hasa zile zitakazoshikiliwa na Chadema.Atafanya hivyo kama 'model',sote tunajua namna Halmashauri ya Karatu ilivyoongozwa kisayansi,chini ya Chadema,chini ya Dr.Slaa.
 
katika maisha yangu sijawahi kuona mtu mwenye upeo mdogo wa kufikiri kama wewe. Katika fikira zako unaona kwamba Dr. Slaa kakosa au. naomba kabla ya kuandika unangalie na kujiuliza maswali kama vile
  1. kwanini wanatangaza kule ambako ccm wanakubalika zaid
  2. Kwanini kule ambako Chadema wanakubalika wanachelewa kutangaza pamoja na matokeo ya wabunge wao
  3. je sio kwamba wanafany hivyo ili kuwaweka wabunge busy kufuatilia matokeo yao na wao waweze kuchakachua kura za urahisi
  4. sehemu zote anazoongoza JK hajazizidi kura 25 elfu lakini kule ambako Dr anakubalika na ambako wabunge wake wamepita zaidi ya kura 30 elfu mpaka 60 elfu bado kutangazwa
  5. what do u think they are doing by delaying to anounce the winner
  6. wanachakachua that is what they are doing
  7. let me tell u Slaa atashinda kwa ingawa sio kwa kishindo na watapishana kidogo na kikwete huo ndio ukweli ila CCM hawatakubali na watachakachua

    MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRICA​

Yaani kwa taarifa yako hapo ndipo CCM ilipoingia choo cha kike, inshort atapata muda mzuuuuuuuuuuuuuuuri wakohoji taarifa za matokeo yaliyochakachuliwa mahakamani na hivyo ku expose theCCM true colour in public kama chama cha ghiliba na kifisadi, kuhoji matumizi ya uchaguzi ya CCM ambayo yame exceed budget yao maana based on sheria waliyojitungia watabanwa. Hapo ndipo mtajua nini maana ya HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE
 
Wewe ndugu yangu unaona watu walivyo na hasira halafu unataka kuuliza maswali ya KIPUUZI, angalia usije chomolewa nyongo.
 
Na kabisa mtu anaenda shika kitabu cha dini yake anaapa, jamani tuache kumkufuru Mungu unless otherwise ni dini ilee. Judge mzima anaongea kama amukula ndumu, how on earth Chadema Ilemela on MP side wapate plus 50% and Presidential 47% almost the same as deep green. You must be ashamed of yourself na laana zenu ndizo zinaifanya nchi inazidi kuwa kama ilivyo sasa, nchi tajiri wananchi maskini hatuli mema ya nchi kutona na uchafu wa viongozi wetu. Good thing hawataishi milele na mwisho wao utakua mbaya kuliko mwanzo wao kama unanabisha muulize Mfalme Sauli alipokataliwa na Mungu yaliyomkuta au Yuda Iskariote na vipande vyake 30 vya fedha, au Dk Balali na billions alizo swindle. Nawakilisha nawaombea Mungu awape maisha marefu ili mpate muda wa kutubu.
 
Tutamkosa bungeni manake amegombea urais na kufanikiwa kuongeza idadi ya wabunge wa chama.

Swali ni je,atakuwa buisy akifanya nini?

1. Kutafuta mabomu na kuwapatia Waheshimiwa Lissu na Mnyika wayalipue bungeni?

2. Atamsaidia aliyetarajiwa kuwa first lady kuendeleza NGO yake?

3. Atarudi church?

4. Atasubiri mbunge aenguliwe na mahakama au afariki (Mungu aepushie mbali) ili agombee?

5. Atarudi kulima vitunguu Karatu?

Tafadhali tujadili ,,, bila matusi!!!.

wewe ni m.s.e.n.g.e
 
Dah!ni swali zuri mara nyingi wagombea huwa wanaulizwa hata nchi za wenzetu zilizokomaa kidemokrasia,ingawa muulizaji ameuliza kwa kejeli,ila tumsadie tumjibu ahaa nafikiri ana mambo mengi kama wengi walivyotangulia kusema,kama katibu mkuu wa chama ana kazi kubwa ya kuratibu shughuli zote za chama na nafikiri yeye ni mpambanaji ataendelea na operation mbalimbali ila chama kijitange kisera na kukubalika na hadi wale maskini walio vijijini na wale wanaopigia chama flan kwa mazoea ili wakati ccm wakiendelea kufurahia ushindi hamadi miaka nitano hiyo imeisha na watakaporudi kuomba kura ndipo watakpoona wanakataliwa,kwa mgombea makini kama slaa ambaye lengo ni kuona Tz inaendelea atafanya hivyo na nakuhakikishia utaona ushindi utaopatikana angalia mifano ya viongozi walioshindwa wakajipanga then baadae walipoomba ridhaa ya wananchi wakapewa dola.
 
Tutamkosa bungeni manake amegombea urais na kufanikiwa kuongeza idadi ya wabunge wa chama.

Swali ni je,atakuwa buisy akifanya nini?

1. Kutafuta mabomu na kuwapatia Waheshimiwa Lissu na Mnyika wayalipue bungeni?

2. Atamsaidia aliyetarajiwa kuwa first lady kuendeleza NGO yake?

3. Atarudi church?

4. Atasubiri mbunge aenguliwe na mahakama au afariki (Mungu aepushie mbali) ili agombee?

5. Atarudi kulima vitunguu Karatu?

Tafadhali tujadili ,,, bila matusi!!!.

From inside CHADEMA.... Halima Mdee atastep down mapema tu..ili Jimbo la Kawe liwe wazi na Slaa agombee kupitia Kawe. Mdee kwa kuwa yupo kwenye kapu la wabunge wa viti maalum ataingia bungeni kwa mlango huo. Ila sidhani kama atakwenda Church! Kanisa limeshamshinda yule!
 
Tutamkosa bungeni manake amegombea urais na kufanikiwa kuongeza idadi ya wabunge wa chama.

Swali ni je,atakuwa buisy akifanya nini?

1. Kutafuta mabomu na kuwapatia Waheshimiwa Lissu na Mnyika wayalipue bungeni?

2. Atamsaidia aliyetarajiwa kuwa first lady kuendeleza NGO yake?

3. Atarudi church?

4. Atasubiri mbunge aenguliwe na mahakama au afariki (Mungu aepushie mbali) ili agombee?

5. Atarudi kulima vitunguu Karatu?

Tafadhali tujadili ,,, bila matusi!!!.

Kwa upeo huu,sijui utawatumikiaje waliokuchagua:nono::nono::nono:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom