Elections 2010 Slaa anakosa kura za mererani mchana peupe

BigMan

JF-Expert Member
Feb 19, 2007
1,096
135
ndugu zangu jamvini mahali ambapo dk slaa angezoa robo tatu ya kura ni mererani lakini cha ajabu katika uongozi wa chadema hakuna aliyefikiria hilo pale kuna kura zaidi ya 22,000.Bahati mbaya wagombea wote wa urais hakuna aliyepitia Mererani zaidi ya mgombea mwenza wa ccm dk mohammed gharib bilali ambaye ameshuka rasmi leo mchana.kama ilivyo kwa freeman mboye alivyoenda arusha jana basi kwa kuwa yupo karibu ajaribu kutumia kesho ijumaa na jumaposi kutia timu mererani hiyo itawasaidi sana chadema.
 
Inaonyesha aidha hawajaweka wagombea maeneo hayo au sijui kunani!...Lakini kimsingi pale ni muhimu sana!
Yule fisadi wa madini na mtuhumiwa wa mauaji ambaye anagombea kwa tiketi ya ccm atachukua kirahisi sana!
 
Pia Tanzania ni kubwa sana,ni ngumu mno kufika kila sehemu.Pia siku bado hazijaisha pia.Ila pia Mererani msiwe na hofu,kura endeleeni kumpa Dr Slaa,ahadi alizotoa za elimu bure,vifaa vya ujenzi kushuka,katiba kubadilishawa ni vya nchi nzima.Uzuri wa Slaa ameleka ahadi za kunufaisha nchi nzima na sio sehemu ndogo ya nchi.Please kama hamna Rais aliyefika huko basi wampe Slaa.CCM pamoja na utajiri walionao hawajaweza kufika,sasa je itakua CHADEMA?
 
Mererani pamebaki Mashimo tuu SHAME ON U CCM!!! Hata pato la kule limeshuka sana... SHAME ON U AMMY JEI MPUNGWE,SHAME ON U RIZ1,JAH-KAYA,na MAMA WAMA!
 
Back
Top Bottom