Slaa ameshafika Marekani?

Status
Not open for further replies.
Hivi huyu mzee ameshawahi kufanya hata safari moja kwenda ughaibuni ukiachilia Italia ambako alipatia upadri? Maana kila siku namsikia yupo hapahapa tu Bongoland. Unajua waswahili husema tembea uone.

Vipi umemwona na suti mpya?

mkuu kuna tetesi eti yule dingi yako mamako alidanganyia mimba,nasikia babako anatoka kile kijiji cha pili,au nipasue pwaa??

Pasua bana anaweza akawa Nepi mwingine huyu ndiyo maana anasidiwa teh!! teh!!...................... tena limemgusa hasa

Pasua bana anaweza akawa Nepi mwingine huyu ndiyo maana anasidiwa teh!! teh!!...................... tena limemgusa hasa

huyu ni bwana mdogo sana,kaingia town na kujikuta mikononi mwa baadhi ya magamba,anatetea asichokijua,naijua familia yao na najua anakotoka,kama anabisha ajitokeze sasa hivi nipasue kila kitu nimwache uchi wa mnyama

mkuu kuna tetesi eti yule dingi yako mamako alidanganyia mimba,nasikia babako anatoka kile kijiji cha pili,au nipasue pwaa??

Unachosema kinaweza kuwa na ukweli lakini vipi hoja yangu ya msingi? Tetesi zimeenea huku kwamba jamaa (Slaa) hajawahi kugusa Obamaland toka azaliwe. Kuna chembe ya ukweli hapo?

aisee!mkuu yule babako uliyemwacha kijijini alishafika kwenye kale katown kenu au anafia kule kwa dengerua?

HUKO KWA MURA DENGE WANAISKIA TU?NI MSUBA NA GONGO NDO MANA UBONGO ZAO MPAKA ZISHTULIWE KWA HENDEL!!! KWANI MAREKANI NDO NINI? INGELISAIDIAJE TAIFA HILI MASKINI MNO YE ANGEENDA HUKO?! AU NI UHARIBIFU TU WA KODI ZETU JITU LINALANDALANDA KAMA ALBADILI ILIYOKOSA UKOO!

''Da! Kweli,tembea uone mwanaume akinunuliwa suti na kulipiwa chumba na mwarabu''

Wazee waliposema kuwa uyaone hawakumaanisha maghorofa au meli zinazoelea walimaanisha watu kama huyu MW 25 inawezekana naye kaonjeshwa ya mwarabu koko!! haiwekani tena nasema haiwezekani Rais wetu kuwa Rahisi hata kununuliwa nini sijui ................. ila VIJANA NDIYO WANAONUNULIWA HATA KUSHINDWA KUSAIDIA TAIFA HATA KUFIKIA MAHARI TUENDELEEEE KUTHUUUUBUTU

huyu ni bwana mdogo sana,kaingia town na kujikuta mikononi mwa baadhi ya magamba,anatetea asichokijua,naijua familia yao na najua anakotoka,kama anabisha ajitokeze sasa hivi nipasue kila kitu nimwache uchi wa mnyama

I also know you in and out. Mwaga mboga nimwage ugali.

Hivi huyu mzee ameshawahi kufanya hata safari moja kwenda ughaibuni ukiachilia Italia ambako alipatia upadri? Maana kila siku namsikia yupo hapahapa tu Bongoland. Unajua waswahili husema tembea uone.

Kamuulize mama yako kwa nini alikuzaa taahira kama wewe,uliyejaa maji taka badala ya ubongo?

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom