Elections 2010 Slaa Akata Anga Morogoro

Alafu Chadema wote mnafanana akili. Kama vile babu wa babu zenu alikuwa mmoja na alikufa kwa kifafa!

MTAJI WA KURA WA CCM NI MASKINI WAJINGA ,wasomi wajinga na MAFISADI...........................................kuna kazi ngumu ya kuwaelimisha hasa maskini wajinga ....na kuwafunga mafisadi...ili kuleta ukombozi...

MTAJI wa kura wa wapinzani ni maskini werevu,na wasomi....bahati mbaya ni wachache....kazi ni kubwa!!

sasa sijui sijui wewe kanyafu ..upo kundi gani!!
 
Lkini sasa kwenye TV ilionyesha akiwa Ruaha anahutubia kama watu 60 tu hivi. Sasa hapo imekaaje? Watu 60 minus watu wa CCM/CUF/NCCR=AB
Watu AB minus wasiojiandikisha=CD
Watu CD minus ambao hawatapiga kura siku hiyo=EF
Watu EF minus watakaoharibu kura=GH
Nikajiuliza, was it worth it to allow the prospective (president) to address a rally of such number of people?
On TV, people are interested with numbers, multitude of people attending rallies and this has got a big effect on who people will vote for in October.
What is wrong here?

Katika mambo ambayo CCM +Serikali yake yanafanya uhuni na vyombo vya habari vinakubali kufanywa wapumbavu ni hili.
Mikutano ya CHADEMA inajaa sana watu wasiopelekwa kwa mabasi wala malori yaliyokodishwa na CHADEMA. Vit-TV uchwala huonyesha upande ule wanaokaa watu wachache, pande wanazokaa watu wengi hawaonyeshi- huu nao ni UPUMBAVU.

Nawapa pongezi Mlimani TV kwa kuonyesha real population during CHADEMA's campaign rally.
 
MTAJI WA KURA WA CCM NI MASKINI WAJINGA ,wasomi wajinga na MAFISADI...........................................kuna kazi ngumu ya kuwaelimisha hasa maskini wajinga ....na kuwafunga mafisadi...ili kuleta ukombozi...

MTAJI wa kura wa wapinzani ni maskini werevu,na wasomi....bahati mbaya ni wachache....kazi ni kubwa!!

sasa sijui sijui wewe kanyafu ..upo kundi gani!!

Ukiona wachace kuna walakini. Angalia sababu
 
Naona kuna haja ya kufuatilia uraia wa Kinana!
Mwizi to me sioni kama ni tusi if so basi CCM waende mahakamani au wapeleke pingamizi mbona wanaogopa!
Ukion ivyo yamewakaa kooni hayo ata Makamba jana amegwaya kunyoosha maelezo.
Alafu 2015 kuna haja ya kuanzisha television ya CHADEMA maana coverage sio ya kweli nilidhani Slaa yuko on leave kumbe anapasu anga MORO
 
Hivi, CCM hawajui kutofautisha kashfa na historia? kwenye uzinduzi wa Chadema kilichoongelewa ni historia ya ukwapuaji wa pesa za Umma. Sasa hapo kashfa ziko wapi? KILICHOSEMWA NI MAMBO YALIYO FANYWA NA CCM.
 
Wakikaa pamoja, kuna mtu itabidi awe anasoma alichoandika February ahhh January Makamba.

8E9U0063.jpg
Huyo mwingine anaonekana anadesa.Tutafika kweli
 
Juzi waliposema kwenye ufunguzi wa mkutano wa CHADEMA kulijaa ma-barmaids pamoja na wahuni wa mitaani, akili ilizunguka kwa haraka sana kujaribu kutafuta link ya ile maneno na situation ninayoijua. JF

Mliokota wahuni mitaani kwa kuwapa buku 5 tano ili waende jangwani kumsikiliza JK hii mbona ipo wazi mbona wengine wametoana negu kwa kukosa mgao huo wa Makamba
 
Naombeni msaada wa yafuatayo:-
1. NINI MAANA YA TUSI AU MATUSI?
2. MTU KUITWA MWIZI NI KUTUKANWA AU MWIZI NI TUSI?

Asanteni
 
The beginning of wisdom is to call things by their right names - Chinese proverb !
 
8E9U0063.jpg
[/QUOTE]

Hiyo ni copy and paste ukiwapa mtihani wote wawili lazima a-copy hadi jina la mwenzie.... natamani mdahalo uwepo ili tujue yupi anachanganya na zamwenzake.....:becky::becky::becky:
 
Hiyo ni copy and paste ukiwapa mtihani wote wawili lazima a-copy hadi jina la mwenzie.... natamani mdahalo uwepo ili tujue yupi anachanganya na zamwenzake.....:becky::becky::becky:[/QUOTE]

Jakaya Kaishiwa (JK) huwa hawezi hata soma hotuba anazoandikiwa anasemaga ya kwake tu! Aliniacha hoi aliosema watoto waliozaa wakiruhusiwa kurudi darasani maziwa yatakuwa yanawatililika, ama pale aliposema wanawake zaeni watoto wengi wa kike siku hizi kuna mashindano ya Mamiss!
 
Alafu 2015 kuna haja ya kuanzisha television ya CHADEMA maana coverage sio ya kweli nilidhani Slaa yuko on leave kumbe anapasu anga MORO
jana TBC kwenye kipindi chao cha uchaguzi walikuwa wanawakata wagombea wa chadema kweli
lakini waliwapa mda mwingi sana wagombea wa ccm
walimpa yule mzee {malecela} mda mwingi kweli, mimi nilimuonea huruma yule mzee kwa ajili alikuwa anatumia nguvu/jitutumua kuongea halafu watu hawamwitikiii, yaani anaonekana mtu ambaye anajilazimisha siasa. mimi ningekuwa mtu wake wa karibu ningemwambia aachane na siasa atumie mda wake mwingi kufanya mazoezi ya kutembea pale dengu beach
 
Watu walijazana kuwaona ze commedy tu siyo pumba za babu yetu Mbuyu pale Iringa. Halafu nimeshangaa ze commedy kujiingiza kwenye kampeni za CCM kiasi kile !!!
 
Mliokota wahuni mitaani kwa kuwapa buku 5 tano ili waende jangwani kumsikiliza JK hii mbona ipo wazi mbona wengine wametoana negu kwa kukosa mgao huo wa Makamba
Alafu waliyekwenda kumuangalia Jangwani akaanguka kifafa.
 
Watu walijazana kuwaona ze commedy tu siyo pumba za babu yetu Mbuyu pale Iringa. Halafu nimeshangaa ze commedy kujiingiza kwenye kampeni za CCM kiasi kile !!!
Nao tunawapiga chini. Hatufungui tena tv zetu kuwaangalia. Hata hivyo toka walipotoka ch5 naona kwishney maana hawana jipya
 
Nitarejea ukumbini mwishoni mwa mwezi wa kumi ,kuona udini wa chadema hapa JF umefikia wapi ?

Kumbe kwenye mavazi ya Chadema kuna misalaba ,na lile shati la bendera ndio msalaba unaonekana waziwazi ,wadini kuweni makini.
 
Pumba!
 
Back
Top Bottom