Slaa airushia UVCCM kombora • Asema yupo tayari kupimwa akili nzuri

wewe ni muhuni? Kwa namna ya usawa dk slaa na dk kikwete wanatakiwa wajadiliwe kwa hoja au ndio kweli jf imevamiwa. Kuipenda kwako chadema au dk slaa kusiwazuie watu wasitoe madukuduku yao, tuambie basi kama haiko hivyo ikoje, hata mimi sielewi yaliyotokea kwa rose kamili mke wa kwanza wa dk slaa ambaye ni mkatoliki. Nijuavyo ndoa ya mke mmoja haiwezi kuongezewa mke mwingine, mushumbusi siioni ndoa yake itafanyika wapi. Maisha binafsi ya atakayekuwa kiongozi mkuu nchi kama yeye ni lazima tuyajue kwa uzuri. Tanzania ni nchi yetu sote: Si ya chadema wala ccm, si ya waislamu pekee wala wakristu vinginevyo jamii forum ibaki kuwa ya chadema tu. Mwe!

huyu dr kikwete ulimpa phd wewe? Acha ujuha wako, ficha aibu zako usiwe mjinga kiasi hiki. Na alikuambia kuwa dr. Slaa aliwahi kuoa ni nani? Kanisa katoliki halikuwahi kuondoa sakramenti yake ya upadri, sasa kanisa linaandaa kumfungisha ndoa na mchumba wake mushumbushi, kasome hizo taratibu acha kuhehuka na ccm na huyu daktari wako feki kikwete
 
Nafikiri kwenye siasa kuna watu wengine huwa wameingia kama wametumwa waseme kitu fulani basi hao ndio UVCCM
 
KUNA MITUME WALIOA WAKE WENGI eg solomon,kuna mtume hakuwahi kuoa eg YESU na kuna mitume walikua na mke mmoja eg musa,joseph lakini wote hao mitume ni wabora mbele ya mungu na wataingia ufalme wa mungu peponi!sasa hao uvccm mambo ya ndoa za slaa zinauhusiano gani na wananchi kukosa umeme,afya,elimu bora,viwanda kufungwa,kukosa miundombinu ya usafiri kama reli,ufisadi wa mali za umma?washenzi uvccm
 
Na yule aliyebaka mwanafunzi ndo jiniazi wenu? tena mmempa hadi heshima kuwa Katibu mkuu wa Chama.
kama ni Chama tawala hapo mnatoa fundisho gani kwa walimu wetu wanaotulelea watoto wetu huko mashuleni?
AISEEE,... kumbe mkb Alibaka, jamani hii si personal lakini watu wachache kwa kutetea ufisadi hawataki kusikia hili likizungumziwa kamwe ilihali linaigusa jamii moja kwa moja,wapi magazeti yetu na vyombo vya habari waoga eeeh, kama ni mie ningejitoa mhanga kuiandika hata kama ilitokea 20yrs ago coz i knw ningeuza sana as muhusika angefanya mpango wa kuyanunua yote ili yasiwafikie wananchi... hivi katika hali ya kawaida hili la background ya KUBAKA mwanafunzi na swala la flani kaachwa,kaolewa,nk.. ni lipi la kutizamwa kwa mapana, UVCCM sidhani kama ni nyie kweli mliotamka hivyo,isije ikawa ni yeye mwenyewe anatumia kivuli chenu,
UVCCM jaribuni kuikomboa tena heshima yenu,wekeni wazi aliyetamka hayo, sote tulidhana pamoja na maovu ya CCm nyie mngekuwa walau mmesalimika.
 
Naona na yule mbakaji aandae kongamano la vijana tuone vijana watakaohudhuria. Labda waende mkuranga wakawabebe kwenye Mafuso wawalete. hapo ndo tutajua yupi ana akili timamu
 
1.dos santos, tuseme kuwa wewe ni mwanamke:
Umeolewa lakini baadaye mumeo kakutelekeza wala hakuhitaji tena na ameamua kumwoa mwanamke mwingine. Kwa bahati ukampata mwingine na mkaamua kuoana naye na anakupenda. Je, huyo mumeo wa pili utamwita mporaji wa wake za watu? utafurahi kusikia watu wakikuambia urudi kwa yule mume wa kwanza kwamba huyo uliyenaye unazini naye?

1.dos santos, tuseme kuwa wewe ni mwanaume:
Mke wako wa kwanza umeachana naye kwa sababu unazojua mwenyewe lakini umekubali uachane naye. Baadaye ukamwoa mwingine. watu wengine suala hilo linawahusu vipi?ukiachana na mke wako unahitaji kuwataarifu watu. Hivi ulipokuwa unalala na mkeo raha na taabu unazopata huko lazima watu wayajue?


Ukitazama hoja zinazomhusisha Dr. Slaa na suala la uzinifu halina maana yoyote zaidi ya uzinifu ulio katika akili za wanazungumzia suala hilo. Tanzania hatujawa na desturi ya kuzungumzia ndoa za viongozi, lakini kwa Dr. Slaa inaonekana kama suala la maana. Hatukatai sana kwamba kama Dr. Slaa na Josephina hawajaoana kihalali kwamba si halali kuishi kama mke na mume vinginevyo itakuwa na picha mbaya mbele ya jamii na kwa mujibu wa imani yao. Lakini kufuatilia maisha binafsi ya Dr. Slaa kiasi hicho inaonyesha ufinyu wa akili wala hatumtendei haki. Fikiria kama wewe ni mwanaume au mwanamke na suala hilo linakuhusu wewe, utajisikiaje? Hata kama tukijadili suala hilo kwa sababu yeye ni kiongozi lakini katiba yetu haijazungumza lolote kuhusu maisha ya ndoa ya viongozi wala maadili ya viongozi wa umma haizungumzii maisha ya ndoa ya viongozi.

ndugu yangu: HIVI KILELE CHA USOMI KWA VIONGOZI WETU HASA WA KANISA NI MTU KUWA MWASHERATI , SHOGA AU BASHA?.
Maana kuna watu wanasema Ahh! Usiwachezee bwana hawa maaskofu maana wamesoma sana bwana. Wana PHD!
 
wewe ni muhuni? Kwa namna ya usawa Dk Slaa na Dk Kikwete wanatakiwa wajadiliwe kwa hoja au ndio kweli JF imevamiwa. Kuipenda kwako CHADEMA au Dk Slaa kusiwazuie watu wasitoe madukuduku yao, tuambie basi kama haiko hivyo ikoje, hata mimi sielewi yaliyotokea kwa Rose Kamili mke wa kwanza wa Dk Slaa ambaye ni mkatoliki. Nijuavyo ndoa ya mke mmoja haiwezi kuongezewa mke mwingine, Mushumbusi siioni ndoa yake itafanyika wapi. Maisha binafsi ya atakayekuwa kiongozi mkuu nchi kama yeye ni lazima tuyajue kwa uzuri. Tanzania ni nchi yetu sote: si ya CHADEMA wala CCM, si ya waislamu pekee wala wakristu vinginevyo JAMII FORUM ibaki kuwa ya CHADEMA tu. Mwe!

Nyie mnaleta pumba JF. Kama kwa Umalaya, kuna anayemzidi JK? Mimi kweli sielewei akili zenu, kama za manyani vile!
 
Mimi nawashauri UVCCM wawasihi baadhi ya vigogo katika chama chao, wanaohodhi utajiri mkubwa sana lakini huku hawaachi kusuka mipango michafu ya kuendelea kuwaibia watanzania, waende wakapimwe akili zao, ili kubaini huo uchu wao wa mali husiyokuwa na kikomo, unatokana na nini? Lakini pia hata hao viongozi wa umoja huo, waliotoa tamko hilo, nao pia wanatakiwa kupimwa akili zao. Hii inatokana na ukweli kwamba kulingana na umri walio nao ,wanapashwa kuwa tayari wana uwezo wa kutambua mabaya na mazuri, hasa linapokuja suala la mustakabali wa nchi yetu; lakini ni vigumu kuubaini uwezo huo katika tamko lao!
 
hakuna haja ya kupimwa akili matendo na maneno yake yanamhukumu. Kupora mke wa watu na kumzini halafu anatuambia ni mchumba wake. Ni kama mrema tusubiri tuone
Na mkuu wenu wa nchi yeye anafanya nini?? mwenye wanawake wasio na idadi. Acheni kumwona Dr. Slaa ni mdhambi kuliko wanaume wote ulimwenguni. Kiongozi wenu ni mdhambi kupita maelezo. Tusubiri tusubiri nini Tz. ya miaka kumi iliyopita si ya leo ninyi ndio msubiri muone mageuzi ya kweli tumechoshwa na dhuluma zenu na matusi yenu yasiyo na kikomo.
 
Back
Top Bottom