Slaa ahitajika Tunduma kuzindua soko

Wanapiga vita chuki za kidini kama tulizozishuhudia Igunga na Uzini
Mtendaji mkuu wa chama ni kiongozi wa dini mstaafu, asilimia kubwa ya wabunge ni wachungaji! Jaribu kulink hapo utajua hicho chama kina mrengo gani.
 
kwani mbeya napo sio tz !
Au uongoz ni kukaa ikulu tu.......!

ungekuwa na fikra mbadala hii nchi ingepata maendeleo mapema sana. Kwenu wamewawekea lami km 5 mkawapa kura,kula na kuwaahidi kuwashabikia milele. Amka ile ni haki yako kwa sababu ya ushabiki mnafikiri ni privilage. Maendeleo ni haki ya kila mtanzania. Sijui 2015 mtawadanganya nn wananchi,maana pumba zote mlishamwaga 2010 na ndege wamezinyea. Natamani mikoa yote ingekuwa na vijana wanohitaji mabadiliko kiasi hiki. Eti soko lijengwe na wananchi we uende na sanda zako za kijani kuzindua, khaa. Kuchoma mchome,msijenge,aafu muanze kuleta siasa zenu maji taka!
 
umemaliza
 
ndg yangu usipende kutoa talifa kwa kupotosha umma wa watanzania kuwa tunduma wanamuhitaji nani kakuambia?tatizo we ni mvivu wa kufuatilia habari mi nipo tunduma na makamu wa raisi amehutubia sema hukumwelewa kuna mambo ya msingi kayazungumza tumemshangilia pia alipongea ujinga tumemzomea.tatizo ni kuwa ccm hawatakiwi.
Saidia na kipengele cha picha mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom