Elections 2010 Slaa aepusha zogo - Tanga

majata

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
431
179
Nimeamini kwamba maji yamezidi unga baada ya kushuhudia kile kilichojitokeza katika mkoa wa tanga, Mh Dr slaa alikuwa akihutubia maelfu ya watu waliohudhuria mkutano wake Huku kukiwapo magari kama matatu yaliyojaa polisi waliokaa barabarani mara maandamano ya wanaccm na ngoma zao wakakatiza na kuvuruga uskivu wa watu waliokuwa wanamsikiliza kwa makini Dr, nusura watu waanzishe ugomvi, nimeshindwa kuelewa hawa polisi kazi yao nini kama sio kuepusha uwezekano wa ugomvi? kwani walishindwa kuwaambia ccm wasipite kwenye mkutano wa slaa? HONGERA DR SLAA LEO NIMETHIBITISHA KWA MACHO YANGU JINSI WATU WANAVYOTAKA KULICHAFUA JINA LAKO KWA KISINGIZIO CHA KUMWAGA DAMU WAKATI WAO NDIO CHANZO, ULITUMIA BUSARA SANA KUWAAMBIA WATU WATULIE NA WAWAACHE WATU AMBAO AKILI ZAO NI MBOVU, SERAZAKO TUMEZIKUBALI NA TUNAKUAHIDI KURA ZETU, NASUBIRI KWA HAMU INTERVIEW YAKO LEO JIONI MAANA SICHOKI KUKUSIKILIZA KWA SERA ZAKO ZENYE MATUMAINI MAKUBWA.
 
Huyo ndo Prezidaa mwadlifu, wanatuchokoza makusudi ili zile kauli za kustaajabisha za JK eti kutatokea umwagaji damu zitimie,i hiatuidanigianyki wala kutegekaaaaaaaaa, CCM mmekwishaaaaaaaaaa
 
unategemea nini chama kinaongozwa na MAKAMBA ..omondi Kinana ndo meneja kamapeni..Nothing absolute nothing
 
Huyo ndo Prezidaa mwadlifu, wanatuchokoza makusudi ili zile kauli za kustaajabisha za JK eti kutatokea umwagaji damu zitimie,i hiatuidanigianyki wala kutegekaaaaaaaaa, CCM mmekwishaaaaaaaaaa

Unajua kauli hii ya JK ukiitafakari inamaanisha kuwa wapinzani wakishinda CCM watamwaga damu. Kwani iweje wapinzani wameshinda halafu wao ndo wamwage damu? Haileti maana. JK na CCM yake waache vitisho hivi visivyokuwa na maana. JK uongozi umemshinda kabisa na kwa watu wenye mapenzi mema na nchi zao alitakiwa hata asigombee kabisa mwaka huu awaachie wengine.
Slaa is our new president.
GOD bless Tanzania.
 
hizo ni kelele za chura ambazo hazimzuii tembo kunywa maji

pia mfa maji anatapatapa pande zote

wakati slaa anazidi kusonga mbele huku sisis wafuasi wake tukimfuata nyuma bila kumwangusha
 
hizo ni kelele za chura ambazo hazimzuii tembo kunywa maji

pia mfa maji anatapatapa pande zote

wakati slaa anazidi kusonga mbele huku sisis wafuasi wake tukimfuata nyuma bila kumwangusha

majata
user-online.png

Member





Mini Statistics

Join Date 7th October 2010 Last Activity Today 06:30 PM Avatar
unknown.gif




Nyie mliojiunga October mwaka huu mbona mnazidi kuwa wengi?????
 
kwani wewe mzito kabwela shidayako nilini mtu kajiunga na JF au? nakama sijakosea na wewe kunasiku ulijiunga kama mimi no matter when? :A S 39: kila kitu kinamwanzo na ndio ujue Dr ananguvu katufanya hatasisi tujue kuna jamiiforum sehemu ambayo tunaweza kusiriki mawazo yetu na watu wenye elimu na mitazamo mbalimbali yenye kujenga taifa.

VOTE FoR DR SLAA.
 
Hawa jamaa wameishiwa wamebaki wanatapatapa na kuanzisha vurugu.
 
Ameliongelea ilo kwenye mdahalo na kusisitiza kuwa CCM ndo inaweza leta fujo Tz bse wana back up ya Jeshi
 
Back
Top Bottom