Skype Phone for sale

emilwayne

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
265
19
Natafuta simu yoyote yenye uwezo wa kuingia skype,iwe mpya or used my no is 0713079282
 
Mimi nilijua hiyo Simu unaiuza kumbe unatafuta unataka kununua, Lugha ya Malikia tunaipenda sana lakini inatuumbua
 
Namimi nimeingizwa mkenge na jamaa kuja kufungua thread yake haraka nione hiyo brand ya skype, lol ndo nakuta kumbe yeye ndo anahitaji! Pamba....fuuUuuuuuuuuuuu!
 
Nunua simu inayotumia android OS yoyote na utainstall hiyo application for free, hapo unaweza piga simu na mambo mengine yote, lakini hakikisha mahalii ulipo unapata 3G ili ku-improve sound quality. ila skype credit inajitegemea!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom