Skype Kwangu Kulikoi?

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Nimefungu account ya Skype kupitia Computer nikitaka ku sign in kupitia simu inagoma, simu yangu Nokia C5.Ila kwa kutumia Pc inakubali.Na vp ambaye ashaitumia credit unawekaje? Msaada jamani.
 
Sijajua kwa nini inakataa kusign in, ila suala la credits ni kupitia Visa cards or Paypal service! Nakushauri ujiunge Paypal, www.paypal.com for easy online payments
 
Back
Top Bottom