Skype ina tatizo

Old Skuli

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
690
177
Jamani nme-download na ku-install skype kutoka google play store bt nikiifungua inakataa kufunguka.Hv ni kwamba hii inahitaji Wi-fi kuitumia ama?
Natumia Huawei Tab
 
Restart your Huawei Pad........Memba after doin any installation ur required to restart ur phone/pc so as changes to take effect
 
ahahah Allan Skype kaka inazingua sana katika tab almost nyingi. mwenywe nime download lakini no ideo calling wala nn. inaboa
 
Back
Top Bottom