Skendo ya ngono yatikisa kanisa katoliki..

Status
Not open for further replies.
kwa hiyo kama ameandika 'in god we trust' akiona uovu kwnye jamii acseme?we naye??
wee mama isaac naheshimu mawazo yako na siungi mkono ualifu ndio maana hata hili gazeti ninalipinga habari zake nyingi "tortorious"ingekuwa ulaya angekuwa analipa watu fidia kila siku.lakini akinamama najua ndio wateja wakuu wa hayo magazeti sijui kwanini.
 
Kama ni kweli, huyo padri anastahili adhabu kali kabisa hawezi kuvunja nadhiri na kiapo alicho apa kwa Mwenyezi Mungu! wakti wa upadrisho, kanisa katoliki halikubaliani na kitu kama hicho, hiyo ni tamaa yake binafsi
 
Kwani hawa mapadre si waoe jamani ... watapiga puchu na kubaka waumini hadi lini; ile kitu ukii halalisha kwa ndoa ina raha yake bana. Na wanajua wanachokimiss. Ndo mana Dr sl.. aliingia mitini huko now anakula ngozi kama kawa tu.
 
huyo padri ni kiwembe mno, ila mleta mada ana ajenda kubwa na waktristu na hajaanza leo

laana'kum!
Mkuu mbona tena unanilani? Nimekukosea kitu gani tena? mimi sina Ajenda yoyote ile na wakristo wala Waislam mimi nime kopi na Ko Paste sasa kama wewe unanilani wewe na Mungu wako. Mwenyeezi Mungu akusamehe kwa sababu unachosema hukujuwi ndio maana yake.
 
"Skendo ya ngono inaitikisa Kanisa la Katoliki"
shigongo ni mtu hatari sana kwa propaganda za madhehebu ya kikristo yaliyotafauti na dhehebu lake na hata mama rwakatare alisikika akisema kwenye zile clips za kakobe kuwa anaprotection ya shigongo GP. Hili ni tukio la padre mmoja na huyo Maria amabaye hana wadhifa wowote ule kanisani (yeye amesema "viongozi wa kanisa hilo walifikia hatua ya kutafuta jinsi ya kumficha mtoto huyo") lakini yeye amelifanya la kanisa zima na kuongeza manenno yake ya kipuuz.i kwenye huo anaouita waraka

shigongo pesa haitafutwi namna hiyo ndugu yangu
 
"skendo ya ngono inaitikisa kanisa la katoliki"
shigongo ni mtu hatari sana kwa propaganda za madhehebu ya kikristo yaliyotafauti na dhehebu lake na hata mama rwakatare alisikika akisema kwenye zile clips za kakobe kuwa anaprotection ya shigongo gp. Hili ni tukio la padre mmoja na huyo maria amabaye hana wadhifa wowote ule kanisani (yeye amesema "viongozi wa kanisa hilo walifikia hatua ya kutafuta jinsi ya kumficha mtoto huyo") lakini yeye amelifanya la kanisa zima na kuongeza manenno yake ya kipuuz.i kwenye huo anaouita waraka

shigongo pesa haitafutwi namna hiyo ndugu yangu
bro hayo ni kweli kabisa kwani kuna dini inaruhusu wanaume kuoa wake 4 lakini matukio kama hayo bado yanatokea.huyu shigongo namshangaa mno kwa maneno hayo ya mungu kenye ukurara wa juu lakini ndani yamejaa matusi,picha za ajabu ajabu ambazo hazitakiwi kuonyeshwa kwenye public na media anbayo wasomaji wake wengi ni vijana wadogo kutokana na zile hadithi anazoziandika.hivi hawa baraza la habari huwa hawamuoni? Hivi na yeye ni mkristo?
 
Huyu Shigongo asifikiri anapata credit kwa kuanika kwenye magazeti yake ya udaku habari za viongozi wa kanisa ambao wana mfumo wao wa kidhehebu wa kusimamia maadili bila kuhusisha media. Asifikiri kanisa katoliki ni kama chama cha siasa au jumuiya nyingine zinazohitaji publicity kwenye magazeti ya udaku au magazeti mengine kwa ajili ya kuibua kashfa au kutafuta umaarufu. Hao ni viongozi wa dini wakikosea wanaadhibiana huko kwenye taasisi zao au wanawajibika kwa huyo aliyewatuma kuifanya kazi yake. Huyo Shigongo kama anaona hana dhambi afikirie ni watoto wangapi wanaharibika kimaadili kwa kusoma hayo magazeti ya udaku amabayo mara nyingi huwa yamesheheni picha za utupu na stori za ngono.
 
Kama ni kweli, huyo padri anastahili adhabu kali kabisa hawezi kuvunja nadhiri na kiapo alicho apa kwa Mwenyezi Mungu! wakti wa upadrisho, kanisa katoliki halikubaliani na kitu kama hicho, hiyo ni tamaa yake binafsi

.
Hili la kuzuia mapadre kutooa ni jitihada za mwanadamu kwenda kinyume na maumbile ya Mwenyezi Mungu. Limewa-cost sana hawa jamaa na bado litaendelea kuwagharimu.
Kibaya zaidi ni pale walipofanya kutooa kama kanuni ya sharti ya kumtumikia mungu katika ofisi ya ukuhani. Mungu hakuwahi kufanya kutooa kuwa sharti la ukuhani. Zaidi sana amefanya kinyume chake kwamba kuhani sharti awe mume wa mke mmoja.
.
 
Sijaona tatizo la padre kufanya mapenzi na mfanyakazi mwenzake..hilo linajulikana (wanajidai tu hawataki kuoa lakini vituo vya kulelea watoto makanisani yamejaa watoto wa masister na mapdre ...

Kinachonisumbua ni kwanini alitaka kumficha mtoto?

Kwasababu hao mapdre wengi wao ni mashoga..wanaweza kuharibu watoto..pia
 
Kanisa takatifu huzalisha waumini watakatifu waisotenda dhambi maana MUNGU wao wanayemwabudu ni Mtakatifu. Na wanafahamu fika uwa dhambi zao zilibebwa na BWANA YESU pale msalabani. Yaani si waasherati, si wazinzi, si waongo, si walevi, si wala rushwa, si wachawi, si waenda kwa wanganga, si mafisadi, hawafungishi ndoa wadada wenye mimba, n.k. Lipime kanisa katoliki katika haya kisha utapata jibu.


KWA AnaYEJIONA YEYE HANA DHAMBI YOYOTE, NA AWE WA KWANZA KUMYOOSHEA KIDOLE.

NA pia INABIDI TUKUSAMEHE KWA KUWA HUJUI ULISEMALO!!!



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
eti mwasiti jina la kiislam so what??ndio upeo wako wa kufikiri umeishia hapo?
Ndio nyinyi mukienda nchi zinazotumia arabic language ukaenda makanisa ya kule ukaskia makanisani wanataja Allah ukajua kua umeingia msikitin,,wakati Allah ni kama unavosema wewe mungu,kama anavosema mzungu God n.k,the name has got nothing to do with a certain faith of sombody,,
haya sasa mimi NKADABWI UTANIJUA KUA NI MKATOLIKI AU MUANGALIKANA?
kila binadam ana hisia ndio maana wanashauriwa waoe,,
wao hawataki et wanataka kwenda against NATURE??
pole sana padri,oa sasa kama mwenzio Dr Slaa..
 
Kwani hawa mapadre si waoe jamani ... watapiga puchu na kubaka waumini hadi lini; ile kitu ukii halalisha kwa ndoa ina raha yake bana. Na wanajua wanachokimiss. Ndo mana Dr sl.. aliingia mitini huko now anakula ngozi kama kawa tu.

Chief mbona nyie hamli mdudu? Mnavaa kanzu? Mnaoa wake mpaka wanne? Hizo zinaitwa "Sharia" (au vyovyote mnavyoziita) kwny dini yenu na kwny Ukristo zinaitwa "Canon law" kwaniyo zisipokuwepo na kanisa nalo halipo. Upo hapo? Dr Slaa ameamua mwenyewe kuachia ngazi si kwasababu y "kula ngozi" lakini alishindwa kuzifuata hizo "Canon law". Canon law ni zaidi ya "kula ngozi" nenda Canon law - Wikipedia, the free encyclopedia au Code of Canon Law
 
Mkuu mbona tena unanilani? Nimekukosea kitu gani tena? mimi sina Ajenda yoyote ile na wakristo wala Waislam mimi nime kopi na Ko Paste sasa kama wewe unanilani wewe na Mungu wako. Mwenyeezi Mungu akusamehe kwa sababu unachosema hukujuwi ndio maana yake.
All I know is.... Message sent!
 
jaman kuvaa kanzu tena ni hoja?
Me nadhan kuna wengne humu ndan either tunaendeleza malumbano ya chuki,au hatufanyii utafit kauli kabla hatujazitamka,,
au pia hatuna exposure,,na tutofautishe baina ya utamadun wa watu flan na iman za dini,,
kanzu ni vazi tuh,christians,jews,budhist na wengneo wengi huvaa kanzu pia,na wala sio ishara ya iman flan,,ukienda nchi za uarabun arabs who are christians huvaa kanzu pia huenda nazo makanisan,ndio mavazi yao rasmi na utamaduni wao,wanafuga ndevu kama utamadun wao,wala haingilian na iman
af pia hapa hatudiscus kuhus suala la iman zetu
kila watu wana dini zao,wana iman zao wanazoamin zitawafikisha kwa muumba wao
tuziheshm iman zetu na tuzithamin pia
mbelen pa mungu muumba ndio itafahamika nan alikua sahihi na nan hakua sahihi
hakuna mwenye mamlaka ya kumuhum mwenzie
mungu pekeee
tujitahid kusoma jaman
tuepuke dogmatism
pia tuhoji na tuwe wadadisi..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom