Skendo ya irene uwoya inataka kuniaribia ndoa!!!!!

BIG X

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
777
212
Kutokana na taarifa za awali za msanii huyu kwamba aliachana na mumewe na sababu alizokuwa ameziweka hadharani kwamba alikuwa hampendi, kuna mwingine anampenda zaidi etc etc etc. Lakini baada ya siku chache tukasikia tena wamerudiana.

Nilikuwa napiga story na wife kuhusu maneno ya awali ya huyo msanii. na ndipo mi nikamwambia ningekuwa ni mimi huyo asingerudi na wala hata nisingetaka kumuona. Ndoa ndio ingekuwa basi. Ningemchukia zaidi kwa kunidhalilisha kuliko hata wale ambao nilikuwa nawachukia etc etc etc. Ndipo wife akaniambia ina mana ningekuwa mimi (yeye) ningemfanyia hivyo!, mi nikamjibu kwa jibu rahisi tu kwamba ndio manake. Tangu hapo naona amenisusia, najitahidi kumbeleza lakini ndio ameona kama vile simpendi. Imeshakuwa ni kususiana tu.

Katika hali kama hii kosa langu lipo wapi. Mimi ndio ungekuwa msimamo wangu huo, nisingeweza kumwambia uongo na hata hivyo ilikuwa tunapiga story tu.

Au ningemdanganya tu kumridhisha!!. Lipi sahihi!!.
 
sasa na wewe muulize kwani na yeye aliolewa na wewe bila kukupenda kama alivyofanya irene uwoya?

hujafanya kosa, umesema ukweli kuwa hukubali kudhalilishwa, sasa yeye anakasirika anataka kukulazimisha wewe udhalilishwe? sana sana umemsaidia kwa kuwa muwazi kwake na amefahamu hilo.... ushanifahamu?
 
Poleni akina mama wenye waume, kwa kweli mwanaume anayediskasi hawa wadada???? Let her be, its her damn life.
Kukususa kakusamehe, ningerudisha mahari yako kwenu afu nikakulipia mie mahari.
 
Sijakuelewa kabisa... yani ulikuwa unataka nimdanganye tu kumridhisha kama angekuwa amenifanyia huo upuuzi!!.
 
itakuwa alikuwa na plan za kumkimbia big X au we waonaje hapo?.

Halafu aje kurudi tena baadae au.......... Ndio itakuwa imekula kwake.

Lakini hilo hapana......... Ni vile nadhani ameona sijui simpendi kwa kufikiria kwamba ningemfanyia hivyo. Yani hata sijui nimekereka mpaka basi.
 
Kabisa swahiba...na ndio hivyo keshajipatia sababu kiulaini, lol.

Mbona mnanitisha na kuniongezea hasira hivyo.

Hilo sio kweli. Mke wangu najua ananipenda sana kuliko, hawezi fanya hivyo, na yeye anajua nampenda sana. Nadhani ni vile hakutegemea maneno kama hayo kutoka kwenye kinywa changu.

Nilikuwa najaribu kumbembeleza lakini nilikuwa naona kama vile namuongezea hasira. Nimeamua kumuacha mpaka hasira zake ziishe.
 
Halafu aje kurudi tena baadae au.......... Ndio itakuwa imekula kwake.

Lakini hilo hapana......... Ni vile nadhani ameona sijui simpendi kwa kufikiria kwamba ningemfanyia hivyo. Yani hata sijui nimekereka mpaka basi.

anatingisha kibiriti bwana. Usikereke wala usihofu. Kama wasiwasi ulikuzidi mwombe msamaha.
 
Ulichojibu hakina shida, ila kuanza tu kumdiskas ndo shida inapoanzia, siriazly kabisa mmekaa na mkeo, sijui na watoto mmewakusanya baada ya hapo unatoa na quiz? Mmmh, no comment kabisa

Sijakuelewa kabisa... yani ulikuwa unataka nimdanganye tu kumridhisha kama angekuwa amenifanyia huo upuuzi!!.
 
BX,hapo mwenzio ndipo naposhndwa kuwaelewa baadhi ya wanawake,cjui 2nataka nini?
ukijibiwa ukweli mtu anaouamin unanuna ukiadanganywa unanuna ilimradi kuna tafran2.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom