Skelemani confronts Uhuru on ICC then retracts statement.

Really?!?..what does Botswana supply to the world that is so pertinent?!Financial aid?!?fire arms?!?

This minister needed to be a bit more intelligent...Kenyatta should cooperate with ICC if Bush and Blair ever did. Anyone remembers all the atrocities they caused to women and children in Iraq and Afghanistan??!
"All animals are equal but some are more equal than others"
Source: animal farm
 
So,there's a country by the name BOTSWANA?And whats so good about that God-forsaken hell hole they call a country???

Don't even compare Botswana with Kenya or Tanzania. That country is far way from the two.

You'are asking what is all about Botswana? Probably, because it is not even a "developing country" like yours.

Badala ya kuendekeza unafiki, if Kenya doesn't want the ICC, it can simply withdraw its signature from the ICC Statute.
 
Don't even compare Botswana with Kenya or Tanzania. That country is far way from the two.

demographical factors za constraits may be superior to kenya and tanzania, but inawezekana ukaribu wao na SA ndio factor kubwa.

halafu ina maana huyu waziri tayari anajua matokeo ya kesi ya uhuru na ametoa statement inayomlenga uhuru. get this: tatizo ni kuwa he is aiding to popularize the icc speculation na sio the rule of law. ikiwa anaelewa sheria ingembidi kufunga mdomo mpaka bensouda atakpokamilisha a full hearing. the truth of the matter kama walivyo wapumbavu viongozi wengi afrika na kusahau kufanya someone else bidding.

ninachojua ni iCC imepigwa bao na huenda kusiwa na kesi

kama anaelewa maana ya rule-of-law, asingetoa kauli kabla ya ICC kufanya a full prosecution.

....ina maana ICC agenda inakuwa rehearsed na mataifa mengi afrika ndio izidi kumanufucture ushaidi potovu.
kwa ufupi ni afrika sasa ukweli utatambulika ni mataifa gani yanjitawala na yapi yanaongozwa na vibaraka.

ina any case madini ya botswana imewekwa kwenye hazina ya wakoloni,..
 
Kiranga,

pamoja na hayo, Nadhani baadhi yetu tunasahau kuwa uhuru ni pamoja na kuweza kupanga, kuchagua na kuyasimamia mambo unayoyaamini. Ikiwa hivyo, Kenya imeridhia ICC, na effectiveness yake ndiyo hii. Nchi nyingi zinalalamika kuwa ICC "inawatarget viongozi wa Afrika," na nadhani wangepata nafasi wangeibomoa, iwe blunt na inefective kama zilivyo mahakama zetu nyingi barani.

Hii haitofautiani sana na Zuma alipoibomoa The Scorpions, kwa sababu hizo hizo kuwa inamtarget yeye na kuwa politically biased. Tuamini katika chombo gani basi ili tukisimamie? AU imeanzisha mahakama yake pale Arusha, subiri uone aina ya kesi zitakazokwenda pale...
 
Last edited by a moderator:
wanaoexport ni wa botswana asilia, makaburu au waafrika? get your point wel?

Ikiwa unafahamu wanao export ni akina nani, je, ndiyo walioizuia Tanzania isi export? Au lazima aje kaburu akuonyeshe how to export meat? Unajua miaka ya 80 tulikuwa tunakula nyama za kwenye makopo (sina maana ya jalalani) hapa Tanzania, na baadhi ya viwanda ni kile kinachoonekana gofu pale Kawe?
 
Kiranga,

pamoja na hayo, Nadhani baadhi yetu tunasahau kuwa uhuru ni pamoja na kuweza kupanga, kuchagua na kuyasimamia mambo unayoyaamini. Ikiwa hivyo, Kenya imeridhia ICC, na effectiveness yake ndiyo hii. Nchi nyingi zinalalamika kuwa ICC "inawatarget viongozi wa Afrika," na nadhani wangepata nafasi wangeibomoa, iwe blunt na inefective kama zilivyo mahakama zetu nyingi barani.

Hii haitofautiani sana na Zuma alipoibomoa The Scorpions, kwa sababu hizo hizo kuwa inamtarget yeye na kuwa politically biased. Tuamini katika chombo gani basi ili tukisimamie? AU imeanzisha mahakama yake pale Arusha, subiri uone aina ya kesi zitakazokwenda pale...

This is completely out of scope as far as my remarks are concerned.

My main point ni kwamba FM wa Botswana kachemka kwa kujiingiza kwenye speculations za hypotheticals.

Uhuru awe na makosa au asiwe na makosa, FM kachemka.

ICC iwe inawatarget waafrika fairly au unfairly, FM kachemka.

Afrika iamini ICC au isiamini, FM kachemka.

Uhuru akubali ku cooperate na ICC au asikubali, FM kachemka.

Bora hata angesema "Uhuru Kenyatta asikanyage Botswana kwa sababu hatumtambui na as far as we are concerned he is a criminal" angekuwa haongelei speculations na hypotheticals, angetoa msimamo wa nchi kutokana na kitu ambacho tayari kipo, the understanding that Uhuru is a criminal by Botswana's books.

Sasa yeye kajiingiza katika habari za "ikiwa" "endapo" "itakapotokea" hivi, tutafanya hivi.

Isipotokea je?

Tushaona ICC imeitupa kesi ya Muthaura juzi kwa kukosa ushahidi.Mashahidi wamekufa wote na wengine wanaogopa. Sasa huyo Muthaura tu, dagaa, papa lenyewe Uhuru wataliweza? Mi naona it is a matter of time before they drop Uhuru's case.Ku drop Muthaura's case is just preparing us and lowering expectations tusishangae sana watakapo drop case ya Uhuru.

Wamarekani wanataka uhusiano mzuri na yeyote atakayekuwa rais wa Kenya ili kufanya biashara zao Kenya na ku monitor Somalia/ terrorism. Wenyewe hawataki Uhuru awe pariah kwa sababu one way or another watatakiwa ku deal naye, in fact Wamarekani wanamuhitaji Uhuru kuliko Uhuru anavyowahitaji.

Unaona FM alivyojichomeka katika ma geopolitics bila kufikiri?

Foreign policy is a game of cards.Kuongelea hypotheticals ni kuonyesha cards zako kabla wakati wako wa kucheza haujafika.

Angeacha ICC imhukumu Uhuru, then based on hukumu hiyo, Botswana inaweza kusema Uhuru akikanyaga Botswana atakamatwa.

Sasa hivi Uhuru kesi yake ikitupwa je? Si washaharibu uwezekano wa kuwa na uhusiano mzuri bila sababu muhimu.

Naelewa doa alilo nalo Uhuru. Lakini hii move ni rookie mistake.

Almost like the Tswanas are too eager to appear that they are for justice to the extent that they are speculating to the realm of presuming someone to be "guilty until proven innocent".

Again, prudent foreign policy wonks would frown upon speculations.
 
Botswana ni taifa lenye uchumi bora barani Afrika na ni wa pili tu kwa Afrika Kusini. Siku zote ubora wa uchumi ni kielelezo cha ubora wa uongozi wa nchi na ufinyu wa vitendo vya rushwa.

Pindi serikali ya Botswana wanapofungua mdomo kuongea hizi serikali nyinginezo zafaa kukaa kimya na kuwasikiliza kwa makini zaidi. Uadilifu mbeele sana mkuu.

serikali ya botswana wamejizoesha ile tunasema bootliking kwa mzungu. tatizo ni serikali ikijiweka katika hali hii, hata kupiga hatua kimaendeleo kwa wananchi hua changamoto maana rasilimali zimewekezewa kama zawadi kwa mkoloni. ndio utakuta hata taifa inakuwa taifa ya walalamikao. hii isiwe kama ambavyo CDM wanavoendesha shuchuli zao za mauzauza. botswana wana madini na huenda wameyawekea shughuli hio
 
Huyu Phandu Skelemani, kila nikimuangalia (wajihi wake) naona ni kama mtu wa East Africa, hasa Zanzibar na hata hilo jina lake linasound kama Pandu Selemani? kuna mtu anamfahamu vizuri huyu bwana atupe mwanga kidogo
Hahahahahahaha, haya bana Kituko at work
 
Really?!?..what does Botswana supply to the world that is so pertinent?!Financial aid?!?fire arms?!?

This minister needed to be a bit more intelligent...Kenyatta should cooperate with ICC if Bush and Blair ever did. Anyone remembers all the atrocities they caused to women and children in Iraq and Afghanistan??!

Us sio signarory wa mkataba wa Rome,so hapo kwa ICC ni irrelevant
 
Us sio signarory wa mkataba wa Rome,so hapo kwa ICC ni irrelevant

ndio hawa bush na blair sio signatories wa ICC hata wakitekeleza mauaji hawashitakiwi maana sio signitories and have immunity to commit crimes. very plain thinking on the matter!! thanks for the 411

level of understanding wanting
 
Bado tiiizedi akija twammwagia mapapai atutaki wahun wa kura
 
serikali ya botswana wamejizoesha ile tunasema bootliking kwa mzungu. tatizo ni serikali ikijiweka katika hali hii, hata kupiga hatua kimaendeleo kwa wananchi hua changamoto maana rasilimali zimewekezewa kama zawadi kwa mkoloni. ndio utakuta hata taifa inakuwa taifa ya walalamikao. hii isiwe kama ambavyo CDM wanavoendesha shuchuli zao za mauzauza. botswana wana madini na huenda wameyawekea shughuli hio
Labda kama nimekuelewa sivyo. ILA inawezekana wewe si mwelewa au huna taarifa wa halisi ya maendeleo ya kiuchumi ya nchi ya Botswana. Kama ni Bootliking basi TZ na hasa JK ndiyo kinara!
 
kabaridi,hauna hoja wala hukustahili kuandika uzushi kama huo sijui unaishi dunia gani nadhani umeona watu wenye upeo wa kujua mambo wamekupa walau data kwa uchache,ongeza uwezo wa tafakari na utafiti sio kama ccm yako ilo zeeka kifikra!shukrani kwa walokujibu kwa mifano hai!
 
Twitter uproar:Botswana’s Foreign Affairs minister Phandu Skelemani has retracted a statement on Kenya president-elect Uhuru Kenyatta saying he is free to visit his country since he is “innocent until proven guilty”.
Mr Skelemani had earlier said Mr Kenyattamust not set foot in his country if he refuses to cooperate with the International Criminal Court (ICC).

“This is to retract my statement made earlier about the President-elect of Kenya. The President-elect of Kenya, Uhuru Kenyatta, is more than welcome to visit Botswana.

“Botswana respects the rule of law and it’s cognisant of a section of the law that maintains “One is innocent until proven guilty,” read part of his statement below.

The ICC has charged Mr Kenyatta with crimes against humanity for bearing the greatest responsibility for the post election violence in which 1,133 people died and 650,000 were displaced. He is due to stand trial on July 9.

Mr Skelemani said he appreciated Mr Kenyatta’s cooperation with the ICC so far.

“I apologise to the Kenyan people for misunderstanding my earlier statement. I wish to maintain that Kenya and Botswana have always worked together and nothing will distract that.”

Mr Skelemani wished the newly elected president of Kenya and his government “all the best in the new responsibility of governing Kenya”.

Source:nation.co.ke
 
Ikiwa unafahamu wanao export ni akina nani, je, ndiyo walioizuia Tanzania isi export? Au lazima aje kaburu akuonyeshe how to export meat? Unajua miaka ya 80 tulikuwa tunakula nyama za kwenye makopo (sina maana ya jalalani) hapa Tanzania, na baadhi ya viwanda ni kile kinachoonekana gofu pale Kawe?

Booo, umekariri mpaka basi. very good.
 
Back
Top Bottom