Skelemani confronts Uhuru on ICC then retracts statement.

Mekatilili

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
1,613
1,382
images

The Minister of Foreign Affairs, Phandu Skelemani has said that Kenyan president-elect, Uhuru Kenyatta who is facing crimes against humanity charges at The Hague should not set foot in Botswana if he refuses to cooperate with the International Criminal Court (ICC) as some suspect.

"If he refuses to go (to The Hague), then we have a problem. That means that they do not know the rule of law.You can't establish a court and refuse to go when it calls you. If he refuses, he won't set foot here," Skelemani said.

He expressed confidence that Kenyatta and his running mate in the just concluded Kenyan elections, William Ruto who is also facing similar charges will cooperate with the ICC. He said the Kenyan cases are different from that of another top ICC customer, Sudan's President Omar Al-Bashir.
"The Kenyans have never refused to go to the ICC whereas Bashir has. We expect Kenyatta to go when his case resumes," Skelemani said.

Kenyatta is the first person to be elected president while facing charges of crimes against humanity. When he takes the oath of office, he will become the second sitting president after Al-Bashir to face war crimes and crimes against humanity charges at ICC. Al-Bashir, was re-elected in 2010 despite the ICC's warrant for his arrest.

Kenyatta, Ruto and radio journalist Joshua Sang are charged with crimes against humanity and war crimes following the 2007 post-election violence that claimed more than 1,000 lives and displaced 600,000.

Similar charges against Francis Muthaura, the then head of the civil service, were dropped after the ICC prosecutor Dr Fatou Bensouda found that a crucial witness had changed his statement.

Kenyan cabinet minister, Henry Kosgey and then police commissioner Hussein Ali were also charged with crimes against humanity but were cleared by the ICC's pre-trial chamber for lack of evidence.

During her visit to Botswana in 2011, then deputy ICC prosecutor, Bensouda said that African leaders unfairly think that the court is targeting them when the truth of the matter is that they endorsed its establishment and ratified the Roman Statute that established it.

She advised Africans to act within the parameters of the law. By mid 2011, the ICC warrant against Al-Bashir had divided the African Union with some states saying that it should be suspended pending efforts to resolve the dispute between the north and south.
Botswana has stated that it will arrest Al-Bashir and hand him over to ICC should he set foot in the country. President Ian Khama has been on record calling Bashir a 'cancer'.

Mmegi Online :: Skelemani warns Kenyatta on ICC
 
Huyu Phandu Skelemani, kila nikimuangalia (wajihi wake) naona ni kama mtu wa East Africa, hasa Zanzibar na hata hilo jina lake linasound kama Pandu Selemani? kuna mtu anamfahamu vizuri huyu bwana atupe mwanga kidogo
 
Kama asili yake ni mtu wa Zanzibar, East africa ndo inakuwaje?
 
serikali ya botswana wamejizoesha ile tunasema bootliking kwa mzungu. tatizo ni serikali ikijiweka katika hali hii, hata kupiga hatua kimaendeleo kwa wananchi hua changamoto maana rasilimali zimewekezewa kama zawadi kwa mkoloni. ndio utakuta hata taifa inakuwa taifa ya walalamikao. hii isiwe kama ambavyo CDM wanavoendesha shuchuli zao za mauzauza. botswana wana madini na huenda wameyawekea shughuli hio
 
Huyu Phandu Skelemani, kila nikimuangalia (wajihi wake) naona ni kama mtu wa East Africa, hasa Zanzibar na hata hilo jina lake linasound kama Pandu Selemani? kuna mtu anamfahamu vizuri huyu bwana atupe mwanga kidogo
Mamwinyi aka watu wa halua hawafanani hata kidogo na watu wenye upeo na uwerevu namna hiyo amka mzee huyu si Uamsho? hajakaakaa kiuamsho!
 
So,there's a country by the name BOTSWANA?And whats so good about that God-forsaken hell hole they call a country???
 
serikali ya botswana wamejizoesha ile tunasema bootliking kwa mzungu. tatizo ni serikali ikijiweka katika hali hii, hata kupiga hatua kimaendeleo kwa wananchi hua changamoto maana rasilimali zimewekezewa kama zawadi kwa mkoloni. ndio utakuta hata taifa inakuwa taifa ya walalamikao. hii isiwe kama ambavyo CDM wanavoendesha shuchuli zao za mauzauza. botswana wana madini na huenda wameyawekea shughuli hio

Unasemaje ati? Botswana mwaka 2004 walikuwa na ng'ombe milioni kama tatu, na ndiyo waliokuwa wanaongoza kwa ku export meat Afrika...Tanzania ilikuwa na ng'ombe milioni 17, ikiwa ya tatu katika Afrika kuwa nao wengi, lakini haikuwa ina export hata mshikaki mmoja....na bado hizo foreign currency inazitumia ku import toothpick...bado unaona Bostwana wanalewea resources zao? You have got another thinking coming.
 
Huyu Phandu Skelemani, kila nikimuangalia (wajihi wake) naona ni kama mtu wa East Africa, hasa Zanzibar na hata hilo jina lake linasound kama Pandu Selemani? kuna mtu anamfahamu vizuri huyu bwana atupe mwanga kidogo

Phandu Tombola Chaka Skelemani (born January 5, 1945[SUP][1][/SUP]) is a Botswana politician who has served in the government of Botswana as Minister of Foreign Affairs since 2008. A member of the ruling Botswana Democratic Party (BDP), Skelemani is a Member of Parliament in the National Assembly of Botswana and a member of the Pan-African Parliament from Botswana; previously, he was Attorney-General of Botswana from 1992 to 2003.
[h=2]Career[/h] "Skelemani was born in Mapoka Village.[SUP][1][/SUP] He earned a degree in law from the University of Botswana, Lesotho and Swaziland[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP] and worked in the civil service for 30 years,[SUP][3][/SUP] beginning when he became a state counsel in 1973.[SUP][1][/SUP][SUP][4][/SUP] Subsequently he became Senior State Counsel in 1975, Principal State Counsel in 1978, and Deputy Attorney-General in 1980.[SUP][1][/SUP] He was appointed as Attorney-General in 1992;[SUP][1][/SUP][SUP][4][/SUP] in that capacity, he advised the Cabinet and attended Cabinet meetings.[1"
source: Wikipedia.
 
The minister is overeager.

A basic rule of diplomacy is to not engage in hypotheticals and speculations.

Tushaona Fatou anajikanyanga na kashamuachia Muthaura. Kesho Fatou akisema ana drop case against Uhuru kwa kukosa mashahidi, hawa Watswana watasemaje?
 
Kiranga,

tumekuwa "eager" for too long na bara hili sasa kila mtu anafanya kivyake na halisongi mbele. Sasa acha tu wenzetu wawe "over eager" kwa kusema ukweli, maana sisi wengine huwa tunauogopa sana na kuchagua unafiki.

Alichosema FM wa Botswana very diplomatic...key word here is 'Cooperation with the ICC", na kwamba anajuwa Wakenya hawana utamaduni wa kuikimbia ICC kama mzee wa Sudan...
 
The bottom line is that the minister speculated on hypotheticals.

A rookie mistake.
 
Phandu Tombola Chaka Skelemani (born January 5, 1945[SUP][1][/SUP]) is a Botswana politician who has served in the government of Botswana as Minister of Foreign Affairs since 2008. A member of the ruling Botswana Democratic Party (BDP), Skelemani is a Member of Parliament in the National Assembly of Botswana and a member of the Pan-African Parliament from Botswana; previously, he was Attorney-General of Botswana from 1992 to 2003.
Career

"Skelemani was born in Mapoka Village.[SUP][1][/SUP] He earned a degree in law from the University of Botswana, Lesotho and Swaziland[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP] and worked in the civil service for 30 years,[SUP][3][/SUP] beginning when he became a state counsel in 1973.[SUP][1][/SUP][SUP][4][/SUP] Subsequently he became Senior State Counsel in 1975, Principal State Counsel in 1978, and Deputy Attorney-General in 1980.[SUP][1][/SUP] He was appointed as Attorney-General in 1992;[SUP][1][/SUP][SUP][4][/SUP] in that capacity, he advised the Cabinet and attended Cabinet meetings.[1"
source: Wikipedia.

mpaka mdau analeta sorces kutoka wikipedia bila kujua verified sources hutoka sehemu nyingi. ilikuwa ni juzi ambapo botsana walikuwa slammed na matatizo mengi. iweje wamepiga hatua kimaendeleo. kenya iko na export market yake pia ya nyama has kule dubai saudia kingdom nk. hivyo ni vigumu vikwazo kuidhalalisha uchumi
 
[h=5]PRESIDENT-ELECT Uhuru Kenyatta not welcome in Botswana if he refuses to cooperate with the ICC, says the country's Foreign Minister.[/h]source NTV Kenya
 
Unasemaje ati? Botswana mwaka 2004 walikuwa na ng'ombe milioni kama tatu, na ndiyo waliokuwa wanaongoza kwa ku export meat Afrika...Tanzania ilikuwa na ng'ombe milioni 17, ikiwa ya tatu katika Afrika kuwa nao wengi, lakini haikuwa ina export hata mshikaki mmoja....na bado hizo foreign currency inazitumia ku import toothpick...bado unaona Bostwana wanalewea resources zao? You have got another thinking coming.

wanaoexport ni wa botswana asilia, makaburu au waafrika? get your point wel?
 
Kiranga,

tumekuwa "eager" for too long na bara hili sasa kila mtu anafanya kivyake na halisongi mbele. Sasa acha tu wenzetu wawe "over eager" kwa kusema ukweli, maana sisi wengine huwa tunauogopa sana na kuchagua unafiki.

cooperation with the ICC inaweza maanisha ukoloni mambo leo na serikali ya kenya iweke sera za kikoloni kwenye utumbo, na kusema we have been eager for so long bali hatuseongi mbele ni fikra mzungu ametupatia kuwa waafrika hawana ujuzi wa kujiletea maendeleo.

ni vema kuwa kenya inasuka upya terms za kidiplomasia barani, ya kuwa ili kuwa na cooperation na mataifa ya kigeni ni lazima iwe yenye kuzingatia hali ya uhuru mataifa ya kiafrika kujitawala.

basi maana ya kupata uhuru ulikuwa n maana gani? kwa mataifa yasiofurahia matunda ya uhuru kama tanzania ambao hawakunyakua uhuru ila walipewa na kuuridhi uongozi kutoka kwa mkoloni, ni vigumu kuelewa hili jambo gumu na ndio kwenye vizazi watatumika kueneza sera za kikoloni
 
Really?!?..what does Botswana supply to the world that is so pertinent?!Financial aid?!?fire arms?!?

This minister needed to be a bit more intelligent...Kenyatta should cooperate with ICC if Bush and Blair ever did. Anyone remembers all the atrocities they caused to women and children in Iraq and Afghanistan??!
 
Back
Top Bottom