size zero

hii mambo ilikuwepo ulaya,ila walishapiga marufuku siku mingi sana.
 
shes sick bwana dont jock about it.someday it might be you!!!!
Nani kasema anaumwa? we huoni yukoo jukwaani kwenye fashion show? Ni model bwana! ila kama alivosema Kinyoba kuna minimum standards siku hizi...

anorexic fake - skinny model colette perfect.jpg
 
yap minimum standards zipo kwenye modelling siku hizi...ila kuna wazungu wengine wana eating disorders zinawaletea shida na wengine ni ma-celebrities...
 
Msinione msambaaa...hivi modal wakikee ni lazimaa wawee wembambaa?...huyu ni mgonjwaaaa
 
Back
Top Bottom