Size ya kiatu chako inaweza kukuambia umri wako.

Na hilo jawabu lako ukitoa idadi ya post zako za hapa JF basi unapata tarehe uliojiunga JF.
( basi kuna mijinga itatoa kweli )
 
Kanuni yako ninaikataa moja kwa moja kwa sababu zifuatazo.
1. Kwanini ndani ya hiyo kanuni tunatoa mwaka wa kuzaliwa?
2. Kwa wale ambao wamezaliwa kwenye mwezi wa novemba na desemba hawawezi kupata jibu sahihi la umri wao.
 
Na hilo jawabu lako ukitoa idadi ya post zako za hapa JF basi unapata tarehe uliojiunga JF.
( basi kuna mijinga itatoa kweli )

teh teh teh hapo kwenye maandishi yaliyojificha ndo nimependa.....hao lazima ni majiniaz
 
Kanuni yako ninaikataa moja kwa moja kwa sababu zifuatazo.
1. Kwanini ndani ya hiyo kanuni tunatoa mwaka wa kuzaliwa?
2. Kwa wale ambao wamezaliwa kwenye mwezi wa novemba na desemba hawawezi kupata jibu sahihi la umri wao.
we sema umeshindwa kalkuleshen
 
hii hesabu inaweza kuwa vice versa? Nina umri wa miaka 32 je navaa kiatu namba ngapi?

teh teh teh mkuu sasa inakwaje ina mana tukianza mahesabu halafu ikaonekana unavaa size 47 je utaridhika
 
teh teh teh mkuu sasa inakwaje ina mana tukianza mahesabu halafu ikaonekana unavaa size 47 je utaridhika

aah! Hizi hesabu hazinihusu sana kwani nnajua umri wangu na size ya kiatu changu. Mi nataka uje na hesabu ya kujua size ya kiatu itakufanya ujue size ya dushelele kwani sio rahisi kuanza kujipima physically.
 
Back
Top Bottom