Size ya kiatu chako inaweza kukuambia umri wako.

Hesabu yako ina conditions mkuu Excellent, kuna miaka haikubali, labda jaribu wewe kwa mzee wangu aliyezaliwa 1911 na anavaa size 43. Kwa wanamahesabu kukiwa na conditions unazibainisha mapema otherwise hukufanya testing yako vizuri. Hongera sana ila kumbuka kuweka condition maana naona miaka mingi inakataa.
mkuu kanuni hii kwa walio na zaidi ya miaka 100 haikubali
 
Kuna namba zinakubali na zingine zina goma , Labda kama watu wamelazimisha namba za viatu vyao
 
Hivi alokupa jina hilo nani we excellent? Yaani amepatia saaana! Kwangu imekuja kama jina lako!
 
Ndo raha ya kuwa mshirika wa jf, yaani full maujanja, excellent naomba idhini ya kutumia ubunifu wako huu, yaani kesho wataniona kichwa kweli kwa mtaa! Yaani haya ni maajabu ktk namba! Mtu mmoja alinipa maujuzi kama haya nikababaisha kweli maskani, kwamba ukichukua namba mfano 53 na kuzidisha kwa 11. Fanya hivi, chukua 5 jumlisha 3 utapata 8. Sasa chukua 8 weka kati kati ya 5 na 3 yaani iwe hivi 583. Na hilo ndio jibu la 53x11=583. Namba zina maajabu yake bwana!
 
Kaka kiukwlei siijui namba ya kiatu changu....hadi nikacheck kwa wanaojua
 
Back
Top Bottom