Siyo kila EX ni Expired, nyingine ni Example!

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,678
22,685
"Sio kila EX ni EXPIRED,EX zingine ni EXAMPLE:

Utanielewa tu.......Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana Mpenzi wa Zamani wa Mkeo kabla HUJAMUOA na Muogope sana EX wa Mmeo kabla HAJAKUOA kuliko hata hawa Vidume na Vijike vinavyomtaka akiwa tayari amevaa pete...I will tell you WHY!! Kuna watu walipendana sana lakini hao waliowapenda kwa moyo HAWAKUWAOA/KUOLEWA NAO......

Kutokana na Situations fulani Mwanamke akalazimika aolewe na kijamaa fulani tu ambacho kilikuja na sera ambazo 'Wanawake wanapenda' na kako vizuri financially IKABIDI huyu mwanamke aachane na 'Tulizo lake la moyo' kidemokrasia tu aolewe na wewe.......... It doesn't matter "how" lakini hawa watu wawili walioachana kidemokrasia "Bado wanapendana deep down" na hata ukifanikiwa kumuoa, ukamhamisha mkoa ili wasionane,

Ukambadilishia namba za Simu wasiwasiliane tena, Itapita miaka hata 5 hawajatiana machoni ipo siku PAAAP, watakutana Kariakoo kwenye shopping,

Zile cheche na hamu na mapigo ya moyo yataruka upya, na kifuatacho ITV kitakuwa Isidingo. Mapenzi yao hayakufa.

Pete haizuii kitu... Watajikuta wameunganisha Vitengezea watoto upya, tena kwa huba zitola kumisiana kwa hali ya juu,wewe ukidhani Pete pekee itamlinda, kumbe waaaapiii, na huo ndio utakuwa mwanzo wa hawa watu wawili kuwa na Reunion kabambe ya Kulegeza Chaga,

Wewe umeoa kwa Mahari mwenzio anapiga buuureee bila Mshenga!Kama nadanganya Wanandoa waje na wasemehapahapa.... Ndoa ni Complicated kuliko Hesabu za Logarithm na Integration,

Ndoa niFumbo na walioweza kulifumbua ni wachachesana kwa msaada wa Mungu, ila Wengi wanadhani wamelifumbua Fumbo kumbe wametegwa na hawajui mtego ulipo,

Ndoa needs God na watu wenye hofu ya Mungu otherwise "UTAOLEA KIJIJI".
.......

C&P, J.Kiria
 
ofcourse huo ni ukweli ila yote kwa yote moyo wa mtu ni kichaka kumpata anayekupenda ni bahati ila unayempenda unampata kirahisi ......
no way out inabidi tupende hvohvo
 
Tatizo linaanzia pale unapoamini katika Boyfriend na Girlfriend kuwa lazima mfanye mapenzi.

Penzi ni kitovu cha uzembe, aziniye na mwanamke hana akili kabisa.

Makusudio ya Mungu ni kuwa ukifika umri wa kuolewa uolewe na Mme mmoja na uoe mke mmoja na mtengeneze familia.

Ukishaanza kutenda dhambi matokeo yake ni Mengi mno ikiwemo na hizo vurugu za kuonja onja kila unachokiona ukihisi kuwa yawezekana ni bora kuliko yule.

Point yangu kuwa Ex-haepukiki either kukumbushia au kufanya mambo ambayo yatakugharimu tu kwenye mahusiano yako. Hii ni matokeo ya mwendelezo wa dhambi mliyoianzisha pamoja hata kama uko kwenye ndoa au mahusiano mengine.

Ngoja niishie hapa!!
 
"Sio kila EX ni EXPIRED,EX zingine ni EXAMPLE:

Utanielewa tu.......Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana Mpenzi wa Zamani wa Mkeo kabla HUJAMUOA na Muogope sana EX wa Mmeo kabla HAJAKUOA kuliko hata hawa Vidume na Vijike vinavyomtaka akiwa tayari amevaa pete...I will tell you WHY!! Kuna watu walipendana sana lakini hao waliowapenda kwa moyo HAWAKUWAOA/KUOLEWA NAO......

Kutokana na Situations fulani Mwanamke akalazimika aolewe na kijamaa fulani tu ambacho kilikuja na sera ambazo 'Wanawake wanapenda' na kako vizuri financially IKABIDI huyu mwanamke aachane na 'Tulizo lake la moyo' kidemokrasia tu aolewe na wewe.......... It doesn't matter "how" lakini hawa watu wawili walioachana kidemokrasia "Bado wanapendana deep down" na hata ukifanikiwa kumuoa, ukamhamisha mkoa ili wasionane,

Ukambadilishia namba za Simu wasiwasiliane tena, Itapita miaka hata 5 hawajatiana machoni ipo siku PAAAP, watakutana Kariakoo kwenye shopping,

Zile cheche na hamu na mapigo ya moyo yataruka upya, na kifuatacho ITV kitakuwa Isidingo. Mapenzi yao hayakufa.

Pete haizuii kitu... Watajikuta wameunganisha Vitengezea watoto upya, tena kwa huba zitola kumisiana kwa hali ya juu,wewe ukidhani Pete pekee itamlinda, kumbe waaaapiii, na huo ndio utakuwa mwanzo wa hawa watu wawili kuwa na Reunion kabambe ya Kulegeza Chaga,

Wewe umeoa kwa Mahari mwenzio anapiga buuureee bila Mshenga!Kama nadanganya Wanandoa waje na wasemehapahapa.... Ndoa ni Complicated kuliko Hesabu za Logarithm na Integration,

Ndoa ni Fumbo na walioweza kulifumbua ni wachache sana kwa msaada wa Mungu, ila Wengi wanadhani wamelifumbua Fumbo kumbe wametegwa na hawajui mtego ulipo,

Ndoa needs God na watu wenye hofu ya Mungu otherwise "UTAOLEA KIJIJI".
.......

C&P, J.Kiria

We ukiona mwenza wako ana ukaribu na ex wake,kaa ukijua hapo kugegedwa nje nje
 
Aaah umenikumbusha next month nna appointment na Ex wangu, kameolewa huu mwaka wa pili lakni kidume nikihitaji kipochi manyoya napewa bila kizuizi yaani nafasi yangu iko pale pale..
 
Unawezaje kuachana na mpenzi wako halafu mkarudiana?
Hamuoni kinyaa?
 
Ndio mana mi sipendagi kulazimisha mapenzi.hakuna kitu kibaya ukute umeoa kwa kulazimisha halafu kuna ex anayeujua uchi wa umpendao kabla yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom