SIYO Jukumu la CHADEMA kuikosoa CCM ili ijisahihishe na kutawala Vizuri

Ujamaa na kujitegemea,with pressure from Mtei's bosses and the fall of the eastern block we had to privatise our economy,but with fresh youngbloodz we are going to turn things back and improve public ownership of our economy.
 
Nimesoma Mada hii, nimefarijika sana na mawazo amabayo yametolewa na pia nimefarijika jinsi amabvyo Dr Slaa amekuwa akichangia mada hii. mimi pia nimeelimishwa sana na mada hii na ninamuunga mkono ndugu MM kuwa chama cha upinzani sio kuwamulikia tochi chama tawala bali ni kuwawekea giza wasione mbele, halafu wakitumbukia kwenye shimo kirudi na kuwaeleza wananchi jinsi jamaa walivyoshindwa kuona njia na matokeo ya hilo ni wanachi kukipa dola na kuongoza nchi.

you couldn't have said it better!
 
Ujamaa na kujitegemea,with pressure from Mtei's bosses and the fall of the eastern block we had to privatise our economy,but with fresh youngbloodz we are going to turn things back and improve public ownership of our economy.

It wouldn't take a crystal ball to see that the only political-economical ideology in Tanzania is looting the national cake as they call it.Our leaders are rogues that should be in jail .

However,cock-tailing the ideologies would be better
 
ktk kipindi hiki ambacho ccm ndio chama serikali, maisha ya watanzania yapo mikononi mwa maamuzi yao, nadhani ni busara kwa CDM kuishauri serikali wakati huo huo ikiikosoa. Sio kila kitu wapinge, nadhani nchi ipewe kipaumbele kuliko maslahi ya chama!
 
Ujamaa na kujitegemea,with pressure from Mtei's bosses and the fall of the eastern block we had to privatise our economy,but with fresh youngbloodz we are going to turn things back and improve public ownership of our economy.

Sijawahi kukuona ukizunguka maneno kama roundabout.. try again.
 
Okay,we didn't want privatisation,we didn't want multipartism,but somehow we got forced in to it by our corrupt leaders and IMF puppets like Mtei.But that doesn't mean that our vision of Tanzania as a socialist state is over,we still believe in it and we are still working towards achieving that goal.
Socialism doesn't mean that all major means of production should be in the governments hands,but majority of it.That's why at least in the past 4 to 5 years we have seen an increase in government involvement in re-aquirinng some of its previously privatised companies,at least this regime is trying compared to the last two.
 
Upinzani kuwa na wabunge wengi ni muhimu. Wabunge wanatoa taswira ya umakIni wa chama kulingana na utendaji wao.
Katika nchi yetu bunge linatumika kuhalalisha hata uovu na bila ya kuwa na watu wa kudhibiti ni tatizo kubwa.
Nadhani spika asingekuwa anaendesha mambo kienyeji na kibubusa endapo 2/3 ingekuwa tishio. Lakini pia uwepo wa wabunge wa upinzani hasa bunge lililopita ndio umewazindua wengi kuwa upinzani si uharamia kama walivyoelezwa. Bunge la Kenya ni la wapinzani na tunaona ni jinsi gani serikali yake ina adabu kwa mambo yanayohusu jamii. Kwahiyo, nadhani moja ya kazi za wapinzani ni kupigania kuwa na wabunge wengi kadri inavyowezekana.

Nakubaliana kabisa kuwa kazi ya upinzani si kufundisha au kukosoa bali kutumia fursa na udhaifu wa chama tawala ili kuingia madarakani, vinginevyo upinzani utabaki kuwa upinzani na hilo si lengo.
Vyama vya upinzani vimekubaliana na dhana iliyoanzishwa na CCM eti kazi yao ni kukosoa tu. Kuna haja ya upinzania kwenda mbali zaidi na kujipambanua kuwa wapo tayari kuongoza na si kuwa wapinzani tu. Wapinzani hawajawa katika nafasi ya kubuni mambo mapya kwa mtindo tofauti, na hii ni kuanzia oganazisheni zao, matumizi ya 'resource zote'. n.k.
Ili wapinzani wafanikiwe ni lazima kuwepo na mbinu mbadala ziatakazotofautisha kati yao na watawala. Hili litawezekana endapo vyama kama Chadema vitakaa na kuangalia muundo wao kichama kwanza, kukubali mawazo mapya, kujenga mbinu mpya na kubuni mikakati endelevu. Kuikosoa CCM ni sawa na kuwauzia silaha, na inaweza tu kufanikiwa endapo kuna mbinu zaidi ya kukosoa.
Chadema tumieni wadau kupata maoni na mbinu.
 
Okay,we didn't want privatisation,we didn't want multipartism,but somehow we got forced in to it by our corrupt leaders and IMF puppets like Mtei.But that doesn't mean that our vision of Tanzania as a socialist state is over,we still believe in it and we are still working towards achieving that goal.
Socialism doesn't mean that all major means of production should be in the governments hands,but majority of it.That's why at least in the past 4 to 5 years we have seen an increase in government involvement in re-aquirinng some of its previously privatised companies,at least this regime is trying compared to the last two.

bwana unaniudhi!! LOL You are becoming a true politician day by day..
 
Mwanakijiji

Kudos comrade! Article nzuri sana hii.Ni kweli tuna tatizo kama Taifa.Upinzani katika harakati za kuiondoa CCM madarakani na katika kuhakikisha kuwa malengo yake baada ya kushika dola yanatimia kulingana na sera,ni lazima tujikite kwenye misingi na tu-focus on a national agenda for the next 50 years to come.
Tanzania as a country is less than the sum of its parts. The motivational ideas that we are stronger together, and that we must by all means retain the current constitutional/political arrangement is, I am afraid, extremely naive.

If Tanzania was a Multinational company (MNC), and there was very little prospect (as is currently the case with Tanzania) that its perilous situation could be turned around, many Shareholders or investors would clamor for a Core reassessment of direction. Of course, we are not a 'Corporate entity' and I recognize that we cannot reasonably take a Profit/Loss account perspective to a Nation’s affairs.

Nonetheless, I believe that to safeguard the country from being in this mess for another 50 years, we need to stop chesting-thumping about Tanzania being this, and that (It’s hilarious at some point), and instead start asking ourselves some critical, albeit difficult, questions about who we are, where we are going, how we have got it so wrong to date, and how best to arrive at our destiny so that we can preserve and handover a decent country to future Generations.

This process will, in my view, at least require a constitutional conference where we will put all the big questions on the table, and hopefully arrive at a new political/constitutional settlement. Although I doubt that a New Constitutional settlement will give us all that we need (given the various competing interests), it’s outcome should be a significant improvement on what we currently have.
Also and the most Important aspect, we need to embark on a massive project of reorientation of our people to be anchored around the values of honesty, respect, selflessness, belief in the greater good etc We probably all agree that the political class has ruined/is ruining our country, but we also know that our greatest problems transcend society. We need a hand-over-matter sort of blueprint to serve as a catalyst for relocating our lost moral compass, and not the current comical TV/Radio-based 'rebranding' project. Achieving the objectives of this monumental proposition which must start from our homes and pre-tertiary education system will not be easy, but I refuse to believe that it is too late to start.

Of course, a reorientation and a new political/constitutional settlement alone will not solve all of our problems, but will serve as a platform for changing a lot that is wrong with our country and for the realisation of our dream of a progressive democratic nation.

Ben ni kweli kabisa constitution won't bring all we want as the issues so far zimefikia kiasi ufisadi is becoming a culture thats why some are being praised when they make life through it. Its frustrating to see those who are clearly seen to be fully gaining wealth through ufisadi are the ones who are being paid of much respect by the people in our society.

If realy we would want to change this attitude lazima tupate a president who will be so much daring to put people akipewa support na newly established (If we succesed and is important we put these specific behaviour regulation rules) constitutional rules ambazo zitakuwa zinatoa extra punishment kwa offenders wote wanaohusika na leagal enforcement ili decision making position ziwe accordingly rewarded in both direction negative na positive; kwamba mtu analipwa (which is the case even of present) added amount to the position salary kwasababu ya decision anazozichukua and this is measured through associated risks so in the same manner the same has to be given extra punishment if its been established kwamba through that position ameshindwa ku act as he was expected. Mfano ma hakimu, ma judge, speaker, Rais, army official visible and invisible, CAG etc, hawa lazima iwe stated kwenye constitution makosa ambayo yako mostly likely kufanywa na hawa na yenye severe impact either kwenye welfare ama security ya nchi na hivyo wawe punished extra ili kuinua nidhamu ya utendaji kwenye sensitive issues za kitaifa. Hii izingatie hata kuhisiwa tu maana lazima waweze kudeclare certain interests if they would come to a point when they see they can be implicated na in such cases wapewe ruhusa ya kujiuzulu incase are seeing kuna hatari ya kuwa implicated.

Kwani its very awkward kumhukumu mtu aliye iba kwa sababu ya kutaka kupata chakula na yule ambaye ameiba kwaajili ya extra japo kuwa mwizi ni mwizi lakini kuna mwizi ambaye by position yake kuiba kwake ni so costing na kama mtu yuko tayari ku risk kati ya kuchomwa moto kama kibaka ama kupata ili a fulfil certain needs huyo hatakuwa sawa na yule anayetaka kuiba ili aendeshe vougue. Hizi stingient rules ndiyo ambazo baadaye zina saidia kujenga attitude na hatimaye attitude inakuwa culture na ndivyo ilivyo kwa wenzetu waliostaarabika.
 
Ni bora watu wangesubiri hadi 2015 waiingize Chadema kusimamia mchakato wa Katiba Mpya kuliko kuitegemea CCM kuandaa mchakato mzuri wa kuelekea Katiba Mpya!

Think about it: HIvi kweli kuna mtu anategemea CCM itatengeneza mchakato ambao utasababisha uwepo wa Katiba ambayo inaweza kutumika kuiondolea nguvu yake au hata kuitoa CCM madarakani? Really?

The same will be applied to Chadema.

Ata chadema wakiingia madarakani, kazi yao kuu ya kwanza itakuwa ni kuhakikisha hawatoki madarakani ata kama ni kwa kuwapiga faulo wapinzania wao.

Hivyo point ya kusubiri Chadema iingie madaraka ili itengeneze katiba mpya itakayorahisisha wao kutolewa madarakani haina mantiki.
 
Kwa maoni yangu, Mwanakijiji, umejitahidi kupotosha sana maana ya chama cha upinzani. Kwa JF kuscan na kufanya censorship ya mbinu ulizoziainisha kunanifanya nikumbuke historia ya chama cha Kisoshalist cha NAZI kule ujerumani. Adolf Hitler aliandika kitabu kinaitwa Mein Kampf (My struggle) kitabu kile kilikuwa kinaeleza mbinu chafu za kudhoofisha watu wa mataifa mengine kwa misingi ya ubaguzi wa rangi (Racism).

Na kitabu kile kiliposomwa na Wajerumani wengi wakati huo kabla ya vita kuu ya pili ya Dunia, Wengi wao waliamini kuwa Wajerumani ndio superior race hapa duniani. Hitler na wale walioamini mbinu za kudhoofisha watu wa mataifa mengine, wakaanza kazi ya kukusanya watu wa mataifa mengine na kuwapeleke kwenye concentration camps kule ujerumani.

Binafsi miaka fulani nimebahatika kutembelea concentration camp ya Buchenwald (Germany) kambi ambayo ipo Weimar Republic (East Germany) na Hilter aliijenga mnamo mwaka 1937 (Na baadaye kukombolewa na USA April 1944).Nimejionea mwenyewe namna ambavyo mbinu za kodhoofisha watu wa rangi nyingine zilifanikiwa, INATISHA SANA. Watu walikuwa wanachomwa mpaka wanakuwa majivu ndani ya CREMATORIUMS. Hapo Buchenwald pekee watu elfu 56 wa mataifa mbalimbali walichomwa wakawa majivu achilia mbali mauji ya Wayahudi milioni 6.

Nikatembelea pia Makumbusho ya Weimar Republic, nikakuta kitabu cha Hilter (Mein Kampf), Nikauliza swali kwa tour guide kama naweza kupata nakala ya Kiingereza ya hicho kitabu. Jibu nililopewa ni kuwa KITABU HIKI KIMEPIGWA MARUFUKU HAPA UJERUMANI na HAKITUMIKI KABISA, ndio maana kinapatikana hapa kwenye makumbusho.

Namfananisha mwanakijiji na Adolf Hilter, ambaye mawazo yake ya kudhoofisha serikali kupitia chama cha upinzani yanafanana sana na wawazo ya Hilter ya kudhoofisha watu wa mataifa mengine ulimwenguni. Kitendo cha JF kutochapa mbinu alizotoa Mwanakijiji ni kitendo cha Kishujaa sana. Binafsi ninaamini sana aina ya siasa zinazofanywa na CHADEMA. Pia ninafahamu siasa vyema kwa kuwa nina degree ya sayansi ya siasa. Unaweza kuwa mwandishi mzuri kama Hitler lakini ukaishia kuwa DESK KILLER kama ambavyo watu wengi Ujerumani wanamdescribe Hilter. Hilter aliandika mawazo yake na hakuhusika kuua moja kwa moja (directly involved in killing), bali alitumia vibaraka(Wananchi hususan vijana) wote waliosoma MEIN KAMPF na wakaamini katika siasa za Kibaguzi.

Ninaungana na JF kwa kitendo chao cha kufanya censorship ya mbinu ambazo huenda zikisomwa na wengi zinaweza kurudisha nyuma historia. Ninaamini katika uwezo wa JF na kitendo cha kutopublish mbinu kinanifanya niamini kuwa huenda mbinu hizo zinafanana sana na zile za Adolf Hitler! Mwana kijiji naheshimu mawazo yako ila hapa umetupotosha to be honest. Watu wengi wamekupongeza.Sasa kazi kwako kukanusha hoja yangu!

Nawasilisha.

Mwana JF.
 
Nakanusha hoja yako kabisa!!!
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Sijui ni macho yangu ndiyo yananidanganya ama ni wewe ndo unataka kunipotosha nimchukie MMM lakini nilisoma pale mwishoni kuwa ameamua kuacha kuweka hizo mbinu kwa makusudi. Kati yako na yeye nani ni desk killer; I hope wewe una fiti vizuri kwani unataka ku assassinate character ya MMM kwakutumia hisia zako ulizozijustify na mfano ambao uliongelewa weakening ya upande mmoja yaani kudhoofisha groups za race nyingine na kujenga race moja iliyoji identify superior. Contrary Mwanakijiji ametoa both sides strategies za kile chama tawala na kile cha upinzani ku balance argument yake ambazo amezi hide for his own reasons vipi basi umtuhumu hivi wakati wengi hapa wameelewa isipokuwa wewe mwenye lako jambo? Try to be realistic and fair to the audience huwezi pata heshima kwakukanyaga mabega ya mwenzako is un ethical!
 
MMJ,

Mungu akubaliki kwa kutumia mda wako mwingi sana kutufikiria watanzania,michango yako imekuwa ikitoa changamoto sana.

sometimes strong peels to swallow.

Tuko pamoja.
 
Kongamano lile la UDASA ambalo wewe ulikuwa mratibu wake lilikuwa na malengo haya kwa mbali. Bahati mbaya kabisa ni kuwa wanaoipigia CCM kura hawahudhurii wala kushiriki kwa namna yoyote makongamano kama haya. Wakibahatika kushiriki mnawazomea. Mwisho wa siku mnaonekana wahuni!

Kuna thread moja ilikua hapa.Nilisema ni bora tuelekeze nguvu kwenye Tume huru na Independent Ant-Corruption Bureau

CCM hawawezi kutunga katiba itajayowaumiza.Hawajazoea demokrasia huru

Chama tawala cha MMD Zambia kilifanya ghiliba hizi hizi na hata kuungana na baadhi ya wapinzani kuzuia mabadiliko ya kweli na kukikandamiza chama cha Patriotic Front lakini at the End tuliona PF walivyojipanga strategiacally na kuahinda uchaguzi na vipengele vile walivyokata kubadili ndivyo vinavyokiumiza MMD hadi sasa

Chadema Itashinda!
 
CCM wanajua fika kwamba kinachowabakisha madarakani ni mfumo wa ovyo wa kisiasa na sio utashi wa wananchi. Katika hali ya kawaida, na kwa kuzingatia kwamba wana namba bungeni, watahakikisha katiba yeyote ijayo haiharibu mazingira yao kisiasa. Mimi binafsi nipo cynical and skeptical na zoezi zima la katiba mpya kusimamiwa na CCM. Mswada huu uliopo ni ushahidi mdogo tu kwamba inawezekana tutakapata katiba mpya lakini itakuwa ni mbovu kuliko hii iliyopo.
Kitila...umepotea sana rafiki yangu wewe.

Usitusahau sisi rafiki zako tokea kule bcstimes.com
 
Back
Top Bottom