Jamani nimechoka kuwa kimbaumbau!!
Mwnye kuweza kunsaidia namie nipate hizo six pack jaman,maana napata tabu sana daily!!
Ni kitu gani hicho wataka?Jamani nimechoka kuwa kimbaumbau!!
Mwnye kuweza kunsaidia namie nipate hizo six pack jaman,maana napata tabu sana daily!!
Hata sijui,labda kula dengu tangu utoto kumeniponza!
Madokta si hata huku wanafika tu jaman?