Siwezi kwenda zaidi ya mara moja

Kwani ulitaka kwenda mara ngapi??? Kwa nini??? Shida ya wanaume bwana mnafanya hiyo kitu kama mashindano. It doesn't matter unaenda mara ngapi what matters ni mpenzi wako awe satisfied. Alikwambia anataka uende mara 4. Unaweza kuwa unajipa shida bure wakakti mpenzi wako haoni kuwa ni tatizo si wanawake wote wanapenda wanaume wa 4 times. Kutokujiamini ndiko kunawafanya muwe chovya chovya ili kupima ulijali wenu!
 
Pole sana kiongozi. Unajua kama walivyosema jamaa hapo juu, inaelekea ni tatizo la kisaikolojia zaidi. Pia kama una kamchezo ka kupiga punyeto ama kuangalia sana picha za ngono,hali hizi zinachangia sana tatizo hilo. Jitahidi kula sana asali,mazoezi madogomadogo,lakini la muhimu zaidi ya yote, legalise uhusiano wako na mwenza wako kwa mujibu wa imani yako!ZINAA NI MBAYA SANA na haina TIJA zaidi ya MASHAKA!
Kwa ushauri zaidi,muone dktari.
 
sasa wewe unataka nyingi kwani ugali huo. inategea na hilo moja unatumia muda gani, mwezio mimi nikikutana na mama ako mdogo hapa huwa ni kimoja tu, sasa uliza hicho kimoja kinatumia muda gani, wacha wewe, hata upige vinne hujanifikia. mama ako mdogo akitoka hapo, hoi kama kaanguka kwenye mnazi. Sasa wewe unataka upige vinne ndani ya nusu saa? wapi starehe sasa? hayo ni mambo ya vijana bwana, unataka ujionyeshe fuundi, rijaaali. unataka vitatu alafu unashindia mihogo ya kukaanga pale feri. alafu kwani mashindano au unamkomoa huyo msichana? au cha wizi unajua hutopata tena, mpaka likizo nyingine ndo umuone, 3 month?. KALAGABAHO
 
kuongeza nguvu za kiume Pata Asali,tangawizi kavu gramu 25 ,pilipili mtama unga wake gramu 25, Karafuu unga wake gramu 25 changanya na Asali safi mbichi ya nyuki gramu 500 kula asubuhi kabla ya kula kitu mchana na usiku kijiko kimoja kimoja kwa muda wa siku 7 kisha nenda kakutane na huyo bibie ataipata utakuwa na nguvu zaidi ya kwenda mara moja
 
Back
Top Bottom