Siwezi kuisahau siku ya jana-mwanamke ajifungua kwenye foleni

Flora mleta mada hapa ameweka vitu viwili. Kuna hili la foleni sasa hata kama angekuwa anakwenda huko hospitali na hizi foleni zetu zisizo tabirika jibu sitakuwa hilo hilo!
naelewa mani lakini hata shling inapande mbili, tukiongelea pande moja tumnakosea au sio mwana,naelewa foleni saaaana make huku mashenzini napoishi loooooool natokaga hapa baracuda naenda segerea then ubungo.ila inabd sasa kina mama tuelewe miundombinu hakuna, inatubidi tukubaliane na hali iliypo
 
Kwa kweli inasikitisha sana,tena kuliko maelezo.Kwanza najaribu kupata picha huyu mama amedhalilika kiasi gani.....Pia hii inanipa taswira jinsi ambavyo kuna watanzania wenye hali na maisha magumu kiuchumi jamani.Huyu ni mmoja tu, kati ya mamilioni walio na hali mbaya kiuchumi.

Katika hali ya kawaida mwanamke akiwa katika hali ya ujauzito,huwa wanajitahidi kuweka vijihakiba vya pesa kwaajili ya dharura inayosubiriwa(ie kusaidia siku ya kujifungua).
Sasa ukiona mwanamke amefikia hali hii inamaana hata pesa ya tax alishindwa kuweka kutokana na uduni wa maisha katika familia yake kiuchumi + gharama ya kukodi tax kwa sasa iko juu sana.Hapa serikali inaweza kuhusika moja kwa moja.

Ila, wakati mwingine na sisi watanzania ubinaadamu umetutoka kwa kiasi fulani;Hivi huyu mama hana ndugu,marafiki,na majirani je?
Kwanini watu wanapenda kutoa kwa maonyesho? ie mtu anasaidia jambo au shida fulani ili tu jamii imjue kasaidia nasio AMEWIWA TOKA MOYONI KUSAIDIA!(Na akitoka hapo,matangazo kibao,kama si mtaani,kwenye familia,ofisini na wengine kwenye vyombo vya habari)

Mimi hii linanikera kupita maelezo,Watanzania tubadilike,kutoa ni moyo.
 
Hata mimi niliwaza hivyo, lakini muda tulio kaa ktk foleni lazima ingekuwa hivyo hata kama angekuwa kwenye taxi angejifungua njiani hakuwa peke yake alikuwa na binti yake ila hakuwa na la kufanya kwasababu ilikuwa kama kitendo cha dakika kumi tu mtoto tayari akazaliwa.

Na angekuwa kwenye tax;
1.Driver wa tax angepata akili hata ya kupita NO ENTRY
2.Hata kama angejifungulia ndani ya TAX,at least isingekuwa kwa kushuhudiwa na adhara kubwa kama ya kwenye dala dala.
 
hakuna anayemlaum mwingine hapa na mama ni bahti mbaya yalomkuta,ila lazma tuangalie pande zote mbili ,na usibishe wapo wengi hawaend kliniki hapa hapa mjini.ofn kwetu mmoja tumembeba kwa lazma jana mimba ina mie-5 so all in all TUZINGATIE NA KUCHUKUA HATUA pande ya kwanza ni foleni, yapili tuchukue tahadhari ,PERIOD! ikibidi unahamia jirani na hosp
 
Shukrani kwa taarifa. Sitasema namhurumia huyo. Najaribu kukumbuka jinsi kina mama vijijini wanavyotembea km 10 au zaidi kutafuta clinc, wengine kwa umbali hata hawajui maana ya clinic. Wanajifungua kama nyumbu. Ni tanzania hii. Heri yeye alipojifungua tu pale kulikuwa na hospital ya mnazi mmoja.
 
hakuna anayemlaum mwingine hapa na mama ni bahti mbaya yalomkuta,ila lazma tuangalie pande zote mbili ,na usibishe wapo wengi hawaend kliniki hapa hapa mjini.ofn kwetu mmoja tumembeba kwa lazma jana mimba ina mie-5 so all in all TUZINGATIE NA KUCHUKUA HATUA pande ya kwanza ni foleni, yapili tuchukue tahadhari ,PERIOD! ikibidi unahamia jirani na hosp

Mama wazo lako ni zuri lakini halitekelezeki, nadhani wewe referenve yako ni kina mama kama nyie mlioko mjini na ambao mmeajiriwa kwamba unaweza kodisha chumba karibu na Mwananyamala Hosp wakati wa ujauzito. Fikiria na mama anaekaa kijijini Utete Rufiji sijui nae akapange wapi? na hata hao wa Dar sio wote wa kumudu hayo, hata akili na uwezo wa kwenda kliniki kwao wao hakuna na ni kupoteza muda. Nadhani wakati umefika nyie kama wanawake muwe na umoja wenu (usifungamane na CCM, CDM, CUF etc) hili muweze pigania mambo haya.
 
i dont give a dame about any political party, huo ni mtazamo wangu,naona na ninaishi humu uswazi na mie ni walewale wa uswazi! nakwambia aaa kuna saa inakuwa si serikali wala foleni wala umaskini wa kulaumu,ni kinasisi wa kulaumu kwanini mnabisha au kwavle ni jambo la kujifungua? mtu kajifungulia daladalani! hata mi nina moyo tena wa huruma lakini siwez kuitete hii hoja moja kwa moja, na siwez kuwa adui yako kwa kusema ukweli
 
Hapo kwenye RED unatudanganya mwenzetu!..........Ungekuwa ni haohao wa uswazi wenye hali hizo za uchumi tunazozungumzia usingekuwa hapa jamvini muda huu,hata uwezo wa vocha ya internet usingekuwa nao!

Ungekuwa unasugua akili WATOTO watakula nini kesho,kwani elfu mbili uliyaoachiwa asubuhi imekwisha na baba yao karudi jioni akijaeleweka!
 
Its a sad story and heart-touching ingawa on the other hand ndiyo hawahawa wapiga kura wa Magamba!! Hawa si wanasemaga Amani inawatosha?!!!!!!!!!!
Wafanye Uamuzi Mgumu 2015,Maisha yatabadilika!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom