Siwezi ingia jf

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,060
Mods,
Tangu kama sikosei Alhamisi nimekuwa siwezi kuingia JF kwa kutumia Laptop na Desktop yangu. Sijui tatizo liko wapi. Leo hii nimejaribu computer ya Mywife Wangu naona inaingia bila tatizo na ndiyo nimeweza kuandika huu ujumbe. Nashindwa kujua tatizo liko kwangu au kwenu. Nilifikiri labda JF ina matatizo au nimepata RED CARD. Sasa ni IP zangu zimepata hiyo Kadi nyekundu? Kwa kosa lipi? Au nimekoroga madudu? Wakali wa IT na Mods nisaidieni. Samahani kama ujumbe nimeuleta mahali si pake na Mod, waweza uhamishia sehemu unapotakiwa kuwa.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom