Siwapendi msiotandika vitanda vyenu!

senkyu,

na nyingine nimeweka kule kitufeni, nilitaka kukuwekea mbili pale lakini katufe kamepotea..

You can say it again! Sijawahi pata senks ya nyamayao! Ananibaniaga kweli. Nadhani kwakuwa hatupikiki chungu kimoja kwenye maswala ya hoja. Hahahaha!
 
mimi msimamo ule ule!mke wangu anapaswa kulijua hilo kwamba:
KUFUA
KUTANDIKA KITANDA
USAFI
KUPIKA
AND ALL DAMN DOMESTIC JOBS NI ZAKE

mimi kama mwanaume nina majukumu yangu!kufanya kila jambo ni kunikosesha muda wa kupiga TASKA NA KUTENGENEZA MARAFIKI
Ambayo ni.....................................
hebu orodhesha tafadhali.
 
Ambayo ni.....................................
hebu orodhesha tafadhali.
-i am the making of the family
-everybody is counting on me(ki-afrika ndivyo ilivyo)
-i am the innovattor wa kilakitu

in short:MIMI NDIO INVIZIBO WA FAMILIA
-ban zote,
senksi zote mimi ndo namaliza
 
-i am the making of the family
-everybody is counting on me(ki-afrika ndivyo ilivyo)
-i am the innovattor wa kilakitu

in short:MIMI NDIO INVIZIBO WA FAMILIA
-ban zote,
senksi zote mimi ndo namaliza

In short you do nothing.. u r just a parasite lol!
Ingekuwa kabla ya kuoa/kuolewa inabidi u present CV yako ikionyesha qualifications na potentials you will bring to the family nadhani ingekuwa ngumu kama ngamia kupita tundu la sindano hahahahah!Im sure a gud number of wanaume wangekosa cha kujaza kwenye CV zao kama mambo yenyewe ndio haya.Umeelezea vizuri sana kazi unazodhani ur wife will do..lakini ukashindwa kabisa to hazard wewe utafanya/unafanya nini!
 
Ambayo ni.....................................
hebu orodhesha tafadhali.

Kwa niaba ya bwashee:
Mimi ni Chief Security Officer wa familia,
Mimi ni fundi mkuu wa nyumbani,
Mimi ni bodyguard wa familia,
Mimi ni msemaji wa familia,
Mimi ni refarii wa familia,
Mimi ni mwekezaji wa familia
Need I Say More?
 
Tuwe na utu jamani, wote mnaamka saa 11 na kwenda kazini na kurudi saa 12 jioni, hamna house girl wala mtoto kweli utashindwa kumsaidia mkeo kazi za nyumbani wakati naye pia anachoka na kuleta fungu nyumbani?
 
She will do what she is supposed to do and So Do I!
 
Kwa niaba ya bwashee:
Mimi ni Chief Security Officer wa familia,
Mimi ni fundi mkuu wa nyumbani,
Mimi ni bodyguard wa familia,
Mimi ni msemaji wa familia,
Mimi ni refarii wa familia,
Mimi ni mwekezaji wa familia
Need I Say More?
wewe ndo moderator wa familia
wewe ndo invizibo
wewe ndo lijendi wa familia
wewe ndo founder
 
In short you do nothing.. u r just a parasite lol!
Ingekuwa kabla ya kuoa/kuolewa inabidi u present CV yako ikionyesha qualifications na potentials you will bring to the family nadhani ingekuwa ngumu kama ngamia kupita tundu la sindano hahahahah!Im sure a gud number of wanaume wangekosa cha kujaza kwenye CV zao kama mambo yenyewe ndio haya.Umeelezea vizuri sana kazi unazodhani ur wife will do..lakini ukashindwa kabisa to hazard wewe utafanya/unafanya nini!

I will appreciate if you will say some few apology words to my bwashee!! Am counting seven.......six.......
 
Ndio maana muda mwingine access inakuwa denied maana mtu anajiona kama object na sio human being
 
I will appreciate if you will say some few apology words to my bwashee!! Am counting seven.......six.......

FIVE............four.............
ati appology?.... sasa ndugu..kama hiyo ndiyo resume ya bwashee wako..nami ndo niko kwenye panel ya kuevalute ulitegemea conclusion iweje?
 
You can say it again! Nimekugongea na kale kakitu ketu.
nimeona!
THAT'S MY BOY!yani wewe ndo founder zen unapangiana zamu na mama kutandika kitanda sijui kupika.zero pabu wakijua hili bia zitanyweka kweli?(hasa inapokumbukwa kwamba wewe ndiye unaefunga baa mara kwa mara watu wanywe bure:D)
 
FIVE............four.............
ati appology?.... sasa ndugu..kama hiyo ndiyo resume ya bwashee wako..nami ndo niko kwenye panel ya kuevalute ulitegemea conclusion iweje?

Oups! I didnt know you were just evaluating! Apology accepted!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom