Siwaelewi Hamas!

Huu uislamu jamani...................ni dini ya chuki wakati wote..............ua wengi ndugu zako wapate faida kweli dini inafundisha na kuagiza watu kuua hovyo?...dunia bila uislamu ingekuwa salama sana

jile 79, Waisraeli ndio sababu ya problem hii si Uislamu, Waisraeli wanaendelea kujenga Makazi ya Walowezi huko West Bank! na wanaendelea kuitawala ardhi ya palestine kwa mabavu. hamna watu walaghai kama waisraeli, wanajifanya kama wao ndio wanaonewa kumbe wao ndio wakoloni.

kama kweli wanataka usalama wangetoka zamani katika inchi ya watu walio itawala kwa mabavu au wangewapa wapelestine uhuru wao.
 
Wakuu swala ya Middle East ni tete sana.Sisi inakuwa vigumu sana kuwaelewa hawa ndugu wa Mashariki ya Kati.
Kwanza hawa wote ni ndugu wa asili moja na itikadi zinazolingana.Tusijejidanganya kuwa waIsraeli ni waKristo na waPalestina ni waislamu ndio maana wanapigana la hasha.
Kwanza waIsraeli ni Wayahudi na wengi hawautambui Ukkristo.
Pili suala la Uyahudi, Ukristo na Uislamu usichanganywe, kwa kuliona suala la mashariki ya kati.
Tatizo kubwa pale ni ARDHI, pure and simple.
Wayahudi waliondoka Israeli miaka mingi iliyopita, wakarudishwa pale baada ya vita kuu ya pili. Waingereza wakifikiri wanawahurumia sana wakawarudisha pale kwa wingi.
Hapo mahala hapakuwepo ombwe, walikuwepo waPalestina, wakafukuzwa-sasa hawa waende wapi?
Wapalestina wamekuwa katika makambi ya ukimbizi nchini mwao na katika nchi ya Jordan na Syria.Kosa lao nini.Mbaya zaidi baada ya vita ya 1967 ardhi zaidi ya waarabu ikatekwa ingawaje Misri iliingia mkataba kurudishiana ardhi hiyo.
Masikini waPalestina hawana mtetezi, Israel inayo Marekani.
Hvi vitimbi vya Hamas ni vya mtu aliyechanganyikiwa maana hata nchi hana, sana sana sehemu ndogo ya kujidai ambayo haitambuliwi kama Taifa.
Deep frustration na resentment ya jumuiya hizi mbili ndicho kinachoonekana sasa.
Hizi jamii zote mbili waIsraeli na waPalestina ni watu wa visasi, watu wa jino kwa jino.
Tusisahau kuwa Kurani na Torati(karibu sawa na Agano la Kale) ni vitabu vinavyolingana sana.
Jamaa zetu hawa hakuna kitakacho wasuluhisha , pengine mpaka Yesu arudi tena!

Asante sana mkuu kwa post yako hii nzuri sana, yote ulio andika ni kweli kabisa ila kwenye red nadhani umekosea kidogo.

Hamas ni freedom fighers wanao tetea ardhi yao ilio tekwa na waIsraeli.

Na kuhusu Quran tukufu, Quran inawaamrisha waumini daima kusamehe na wanapo lipiza kisasi walipize vile vile kama walivyo tendewa bila kuzidisha kitu lakini wakisamehe ndio bora zaidi.

Jamaa wengi hawajui kuwa waPelestine wengi sana ni waKristo, waIsraeli si waKristo, waIsraeli ni Wayahudi na wengi hawautambui Ukristo kabisa.
 
Hawa Hamasa ni Kama CUF huku kwetu! Hizi dini zenye mrengo wa kisiasa si za kuzipa nafasi kabisa
 
hela yao, kula yao inakuja kama kuna instability middle east. Hapo ndiyo shida ilipo.

Kama ambavyo kula na hela ya viongozi wa CCM inavyotokana na umasikini wa waTZ. Hamas na CCM have one thing in common they are well organized criminal organizations ambazo zinavaa mwamvuli wa chama.
 
Asante sana mkuu kwa post yako hii nzuri sana, yote ulio andika ni kweli kabisa ila kwenye red nadhani umekosea kidogo.

Hamas ni freedom fighers wanao tetea ardhi yao ilio tekwa na waIsraeli.

Na kuhusu Quran tukufu, Quran inawaamrisha waumini daima kusamehe na wanapo lipiza kisasi walipize vile vile kama walivyo tendewa bila kuzidisha kitu lakini wakisamehe ndio bora zaidi (wamepewa two options).

Jamaa wengi hawaju kuwa waPelestine wengi sana ni waKristo, waIsraeli si waKristo, waIsraeli ni Wayahudi na wengi hawautambui Ukristo kabisa.

Pale wanapoua wanawake, watoto na raia wasio na hatia wanalipiza mauaji gani waliyotendewa na hao wanaowaua?
 
Kama ambavyo kula na hela ya viongozi wa CCM inavyotokana na umasikini wa waTZ. Hamas na CCM have one thing in common they are well organized criminal organizations ambazo zinavaa mwamvuli wa chama.

Hamas ni freedom fighers wanao tetea ardhi yao ilio tekwa na waIsraeli.
 
A friend of mine told me to purchase CRGE
My question is what does everyone think about it ? i think i may buy 10,000 share , just not sure yet.

Please also comment about it.
 
hamasi ni wafilisti-descendants of Goliath, hawawezi kukaaa pamoja na descendants wa David. David alikata kichwa cha babu yao.
Abbas and westbank+jordan are edomites and amonites the descendants of Essau, a twin brother of Jackob-Israel. Ndiyo maana wana compromise
 
ivi suicide bomber in the midle of the market anaenda heaven ipi? maaana anaua wanawake na watoto kwani hao ndio waendaji sokoni, cud somebody explain this? kuna maandiko yoyote labda somewhere inayompa huyu mtu mamlaka ya kuua watu wasio na hatia na kudai anaenda heaven?
 
Wadau wote hapo juu kama mnaweza kupata kitabu kinaitwa THE SON OF HAMAS mtapata mwanga mzuri sana,hichi kitabu kimeandikwa na jamaa anaitwa Mosab Hassan Yousef ambaye alikuwa ni mtoto na right hand man wa mmoja wa top founders wa Hamas ambaye baadae alikuja kuwa spy wa Israel(Shin Bet),nadhani hapo mtakuwa mmepata picha.
 
Tubandikie hapa ndugu, kama utakuwa nacho!
 
ivi suicide bomber in the midle of the market anaenda heaven ipi? maaana anaua wanawake na watoto kwani hao ndio waendaji sokoni, cud somebody explain this? kuna maandiko yoyote labda somewhere inayompa huyu mtu mamlaka ya kuua watu wasio na hatia na kudai anaenda heaven?

Hapa ndio panapoleta maajabu, kwa mtu kwenda peponi baada ya kufanya mauaji ya watu wasio na hatia!
 
jile 79, Waisraeli ndio sababu ya problem hii si Uislamu, Waisraeli wanaendelea kujenga Makazi ya Walowezi huko West Bank! na wanaendelea kuitawala ardhi ya palestine kwa mabavu. hamna watu walaghai kama waisraeli, wanajifanya kama wao ndio wanaonewa kumbe wao ndio wakoloni.

kama kweli wanataka usalama wangetoka zamani katika inchi ya watu walio itawala kwa mabavu au wangewapa wapelestine uhuru wao.

Hivi watanzania waliouawa mwaka 1998 kwa mabomu ya magaidi ya kiislamu, Waisraeli wanahusikaje hapa?
 
Asante sana mkuu kwa post yako hii nzuri sana, yote ulio andika ni kweli kabisa ila kwenye red nadhani umekosea kidogo.

Hamas ni freedom fighers wanao tetea ardhi yao ilio tekwa na waIsraeli.

Na kuhusu Quran tukufu, Quran inawaamrisha waumini daima kusamehe na wanapo lipiza kisasi walipize vile vile kama walivyo tendewa bila kuzidisha kitu lakini wakisamehe ndio bora zaidi (wamepewa two options).

Jamaa wengi hawajui kuwa waPelestine wengi sana ni waKristo, waIsraeli si waKristo, waIsraeli ni Wayahudi na wengi hawautambui Ukristo kabisa.

Qur'an ina ndimi mbili ndugu yangu, yaani kuuma na kupulizia! Obama haelewi kwamba analea nyoka ndani ya nyumba! Akija kuanza kutoa sumu, hakutakuwa na Marekani tena!

6a0111685b4b71970c0120a5f645e8970c-800wi.jpg
 
kwa maana hiyo kila jeshi anaenda vitani haingi peponi?

Wao wanafundishwa kwamba wataenda peponi kwa kuua watu wasiokuwa wa dini yao!

"Hakika Mwenyezi Mungu amenunua kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwa kuwa wao watapata Pepo. Wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu - wanauwa na wanauwawa. Hii ni ahadi aliyo jilazimisha kwa Haki katika Taurati na Injili na Qur'ani. Na nani atimizae ahadi kuliko Mwenyezi Mungu? Basi furahini kwa biashara yenu mliyo fanya naye. Na huko ndiko kufuzu kukubwa." (Qur'an 9:111 = 9/11?).
 
kuleta hii picha, wapelekee tz daima waitoe ukurasa wa mbele

Kabla sijaipeleka huko niambie hoja yangu ni potofu kivipi? Kwa kuleta picha tu au kuna jingine? Acha jazba ndio tutaelewana!
 
wanaua watu wanaowapiga vita? umesikia mchina gani kenda kupigwa ? wanaua wanaowaua

Huko uchina subiri wakiwa wengi utaona wanaanza ooh waislamu tunaonewa, oooh...., mwisho wa siku mabomu yataanza kulipuliwa "kwa njia ya Allah!"
 
Back
Top Bottom