Siwaelewi Hamas!

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Mara nyingi Hamas, kikundi cha wapiganaji wa Palestina, wamekuwa wakitaka washirikishwe kwenye mazungumzo ya amani na Israeli, lakini hawaitambui Israeli kama taifa halali! Juzi juzi wakati mazungumzo ya amani kati ya Mahamoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Palestina na Binyamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israeli yanaendelea, Hamas walirusha makombora ndani ya Israeli na Israeli wakajibu mashambulizi na kuua Wapalestina wawili!

Anyway, hawa Hamas wahusishweje kwenye mazungumzo ya amani wakati wanakataa kuitambua Israeli kama walivyofanya Jordan na Misri hata wakatiliana mikataba ya amani na Waisraeli?

Hawa jamaa kwa kweli hawaeleweki, ndio maana Waisraeli wanaendelea na kujenga Makazi ya Walowezi huko West Bank!

20109510656444580_20.jpg

Saturday's violence came just two days after the start of Israeli-Palestinian peace talks [AFP] Source: Aljazeera.
 
Huu uislamu jamani...................ni dini ya chuki wakati wote..............ua wengi ndugu zako wapate faida kweli dini inafundisha na kuagiza watu kuua hovyo?...dunia bila uislamu ingekuwa salama sana
 
Sasa kama wanataka kuzipiga si waseme tu ili kuondoa tofauti zao, kama inawezekana, badala ya kuwa na double standard: Hamas Political Wing + Hamas Terrorism Wing?
 
Tatizo ni huyu jamaa aliyevaa kibaraghashia, Ismail Haniya baada ya kuuawa yule mzee wao kilema, Yasin!

2010959711705580_20.jpg

Will there ever be a seat at the negotiating table for Ismail Haniya?
Source: Aljazeera.
 
Mkuu,
Hamas is the devil at work. Tangu lini shetani akataka amani? Wako kutimiza masharti ya baba yao Ibilisi, jini mkuu na mwanzilishi wa uislamu.
 
Huyu naye siku zake zinahesabika. Hatachukua raundi, itakuwa historia kuwa alikuwepo duniani.
 
Mkuu,
Hamas is the devil at work. Tangu lini shetani akataka amani? Wako kutimiza masharti ya baba yao Ibilisi, jini mkuu na mwanzilishi wa uislamu.

Unajua ni contadiction, unataka kukaa na mtu mezani ambaye unadai hastahili kuwepo duniani, unapanga kummaliza siku zote!
 
Mkuu,
Hamas is the devil at work. Tangu lini shetani akataka amani? Wako kutimiza masharti ya baba yao Ibilisi, jini mkuu na mwanzilishi wa uislamu.

Don't you think you are inviting the wrath of moslems?
 
Hapa wanatafuta huruma, public sympathy!

2010952255215734_20.jpg

Palestinian medical and security officials said at least three people were injured in the Israeli attacks [AFP] Source: Aljazeera.
 
Mara nyingi Hamas, kikundi cha wapiganaji wa Palestina, wamekuwa wakitaka washirikishwe kwenye mazungumzo ya amani na Israeli, lakini hawaitambui Israeli kama taifa halali! Juzi juzi wakati mazungumzo ya amani kati ya Mahamoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Palestina na Binyamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israeli yanaendelea, Hamas walirusha makombora ndani ya Israeli na Israeli wakajibu mashambulizi na kuua Wapalestina wawili!

Anyway, hawa Hamas wahusishweje kwenye mazungumzo ya amani wakati wanakataa kuitambua Israeli kama walivyofanya Jordan na Misri hata wakatiliana mikataba ya amani na Waisraeli?

Hawa jamaa kwa kweli hawaeleweki, ndio maana Waisraeli wanaendelea na kujenga Makazi ya Walowezi huko West Bank!

20109510656444580_20.jpg

Saturday's violence came just two days after the start of Israeli-Palestinian peace talks [AFP] Source: Aljazeera.

hela yao, kula yao inakuja kama kuna instability middle east. Hapo ndiyo shida ilipo.
 
hao wamechukuliwa akili, na shetani anafanya nao kazi dhidi ya taifa teule la Mungu. hawatakuja wapate wanacholilia kwasababu wanapenda kuukataa ukweli.
 
(They Kill in the name of freedom, they kill in the name of democracy they kill "suicide" in the name of God... what is this when will this end!? )!! last week somebody made suicide @ the middle of market in Pakistan killd hundreds of women,men & children and he was expecting to go straight to paradise after that! is that a joke!...

P.S uislam ama islam "peace" ni dini ya amani aikudangaye mtu! uelewa na uroho wa madaraka watu wanakuwa brain washed ndio wanafanya mambo ya ajabu..
Kuhusu swala la palestina halina ubishi! gaza ni ya wapalestina na inakaliwa kwa mabavu hata UN wanajuwa hilo. ni kwamba magaidi wanatumia nafasi hiyo kufanya uhalifu na kujinufaisha kisiasa!

nawatakia ead njema! Do your home work before hajakashfu dini ya mwenzako.
 
Religion of Pieces!
 
what ever mimi najaribu kukulewesha wewe umekaa kubishana!... mind yako na wewe ishakuwa corrupted :smile-big: KWA HERI
 
Wakuu swala ya Middle East ni tete sana.Sisi inakuwa vigumu sana kuwaelewa hawa ndugu wa Mashariki ya Kati.
Kwanza hawa wote ni ndugu wa asili moja na itikadi zinazolingana.Tusijejidanganya kuwa waIsraeli ni waKristo na waPalestina ni waislamu ndio maana wanapigana la hasha.
Kwanza waIsraeli ni Wayahudi na wengi hawautambui Ukkristo.
Pili suala la Uyahudi, Ukristo na Uislamu usichanganywe, kwa kuliona suala la mashariki ya kati.
Tatizo kubwa pale ni ARDHI, pure and simple.
Wayahudi waliondoka Israeli miaka mingi iliyopita, wakarudishwa pale baada ya vita kuu ya pili. Waingereza wakifikiri wanawahurumia sana wakawarudisha pale kwa wingi.
Hapo mahala hapakuwepo ombwe, walikuwepo waPalestina, wakafukuzwa-sasa hawa waende wapi?
Wapalestina wamekuwa katika makambi ya ukimbizi nchini mwao na katika nchi ya Jordan na Syria.Kosa lao nini.Mbaya zaidi baada ya vita ya 1967 ardhi zaidi ya waarabu ikatekwa ingawaje Misri iliingia mkataba kurudishiana ardhi hiyo.
Masikini waPalestina hawana mtetezi, Israel inayo Marekani.
Hvi vitimbi vya Hamas ni vya mtu aliyechanganyikiwa maana hata nchi hana, sana sana sehemu ndogo ya kujidai ambayo haitambuliwi kama Taifa.
Deep frustration na resentment ya jumuiya hizi mbili ndicho kinachoonekana sasa.
Hizi jamii zote mbili waIsraeli na waPalestina ni watu wa visasi, watu wa jino kwa jino.
Tusisahau kuwa Kurani na Torati(karibu sawa na Agano la Kale) ni vitabu vinavyolingana sana.
Jamaa zetu hawa hakuna kitakacho wasuluhisha , pengine mpaka Yesu arudi tena!
 
Back
Top Bottom