Situation ya CCM by this time

mwakabana

Member
Dec 15, 2010
31
7
let thanks God for bringing such potential leaders who are from ruling party who definitely are weak. It was God plan to put them on power so that things that were hidden for long time are exposured now so let we use the opportunity that we have to study our county wel. Tim for revolution is now during this easy time than it was.
 
Mwaka huu naona utakuwa wa mapinduzi katika nchi mbalimbali: tumeyasikia ya Tunisia; sasa hivi kuna moto unawaka huko Albania. Tusubiri ya hapa kwetu. Naaminii yanakuja. Aluta continua!
 
Dalili za mvua ni mawingu!!!!!!!!!! Ufalme wa shetani lazima uanguke tuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kazeni buti wananchi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wenye nchi ni wachache-hawawezi kukabili nguvu ya pipooooooooos hata siku moja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Viongozi wenye busara duniani ni wale ambao wanajua kusoma nyakati!!!!!!!!!!!!!!!!! Kinchowaangusha ni nguvu ya Mungu-si ya mwanadamu, msidanganyike!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mwaka huu naona utakuwa wa mapinduzi katika nchi mbalimbali: tumeyasikia ya Tunisia; sasa hivi kuna moto unawaka huko Albania. Tusubiri ya hapa kwetu. Naaminii yanakuja. Aluta continua!

Nami nimeona ni mwaka wa mapinduzi kwa mamlaka dhalimu.
 
Pia kuna pale Morocco panafukuta na SAHARA MAGHARIBI kutaka kujitenga,
 
Back
Top Bottom