Sitta: Waziri Simba kalikoroga

"Niliusoma, niliridhika na muswada wa Sheria ya Baraza la Usalama wa Taifa, Siwezi kuleta kitu ambacho sijaridhika nacho,"
alisema Waziri Simba.

Sofia Simba ambaye ameishadhihirisha ubovu wake kama kiongozi ana uwezo gani wa kuweza kusoma muswada wa Sheria hadi kuridhika nao? Sofia baada ya kutaka kupigana na Mama Kahama katika mchakato wa kugombea Uenyekiti wa UWT na matamshi ya kihuni aliyotoa mbele ya Kamati ya Mzee Mwinyi alishadhihirisha kwamba si kiongozi bora na hana uwezo wa kuongoza. Sofia Simba anao uwezo wa mipasho ya akina mama wa mitaani na si uwezo wa kusoma miswada ya Sheria!

Aliongeza kusema kuwa
"kuna tatizo sisi wahusika tuliliona, awali muswada huo haukupitia kamati husika ya Mambo ya nje Ulinzi na Usalama. Kuna tatizo... ofisi ya bunge, ilipaswa kuupeleka katika kamati hiyo ambayo ingepitia kwa pamoja na kamati ya bunge ya sheria na mambo ya katiba
."


Hii nayo ni yale yale ya kutotaka kukubali kwamba amekosea na ameshindwa kwa hiyo anatafuta scape goat wa kumsukumia balaa lake. Typical of an uneducated woman!
 
Mzee Sitta hivi ni kweli mama simba kama waziri ndiyo aliyetayarisha mswaada huo au ofisi yake????????
Nadhani majibu mazuri zaidi kuhusu suala hili yalitolewa na naibu spika.
Ukifananisha majibu ya spika na naibu wake utaona tatizo liko wapi na ndiyo maana hata kile kipindi cha masuala ya richmond bungeni [alipokuwa nje kikazi] alisema kuwa suala hilo ni lazima lijadiliwe yeye akiwepo kwani linataka umakini zaidi [implying kuwa naibu wake angevurunda]
Kwa maoni yangu Sitta anaweza kuwa ni wakili /mbunge mzuri lakini kwa uspika umemshinda kwa kuwa anashindwa kuwa spika[Jee spika anatakiwa kuwa mtu wa namna gani???-mwangalieni mama makinda]
 
Ofisi ya CAG inapofanya ukaguzi, wanaofika field ni wale watendaji wake wa chini. Lakini dhamana ya utoaji taarifa, kwamba ni nzuri au si nzuri hubakia mikononi mwake. Hata kama watendaji wengine wa serikali ndiyo walioandaa muswada, mtu mwenye dhamana ya kuwasilisha au kutokuwasilisha muswada ni waziri Sophia. Ni kweli amelikoroga, na alinyweeeeeeeeeeee!!!!!!!
 
i will be so puzzled, mwaka huu, huyu SS atakapo teuliwa kuwa waziri again.

I will be puzzled kama hatateuliwa. Na hata kama hatateuliwa itakuwa ni kuondoa bad blood tu na kuweka mvinyo ule ule wa zamani katika chupa mpya, some equally pathetic - if not even worse- airhead atateuliwa.

Kikwete hakuchaguliwa on the merit, Tanzania hatujawahi kuwa na meritocracy, tuna idiocracy na cronysm.Kwa hiyo as long as ana represent interests za Kikwete - which included bungling this bill- ataendelea kupeta.

Hii thinking kwamba serikali ina madhumuni ya kweli ya ku surrender presidential powers iko misguided.Sophia Simba amepewa kazi hii kwa sababu maalum, serikali haitaki muswada upite, so give the bill to the funky lady who cannot sing the alphabet while walking.She will be met with die hard courtiers, defenders of the faith, ombudsmen, oldguards and plain old stupids watakaompiga kabali ambazo atahitaji divine intervention kuzielewa, let alone kuji unlock.

Bill itashindwa (tena), watu watakuwa obsessed on the pixelations of Sophia Simba instead of focusing on the bigger picture, mchezo unaendelea kama kawaida. Wiki mbili watasahau, baada ya miezi michache uchaguzi, Kikwete atamaliza terms zake na kumpasia mwingine, mchezo umekwisha.

Delay, delay, delay and pass the baton. Nothing will be done, mark my words.
 
Ofisi ya CAG inapofanya ukaguzi, wanaofika field ni wale watendaji wake wa chini. Lakini dhamana ya utoaji taarifa, kwamba ni nzuri au si nzuri hubakia mikononi mwake. Hata kama watendaji wengine wa serikali ndiyo walioandaa muswada, mtu mwenye dhamana ya kuwasilisha au kutokuwasilisha muswada ni waziri Sophia. Ni kweli amelikoroga, na alinyweeeeeeeeeeee!!!!!!!

Tatizo huyu mama anakiherehere na ndio kilichomponza.
 
Nampongeza Mama Simba, AG, na wote waliohusika na muswada huo. Actually, muswada umechelewa kupitishwa!

It is high time nchi ikawa na Baraza la Usalama wa Taifa.

Kama baraza hilo lingekuwepo, huenda Tanzania isingedumbukizwa EAC...

Keep it up Mama Simba!

Note: Ni kazi ya Wabunge kutunga sheria. Wangekuja na alternative bill.... wao siku zote wanasubiri miswada ya serikali...?
 
Hivi unashindwa hata kufikiri kidogo?? au chuki yako kwa huyu mama inakufanya ushindwe kutumia logic??? Kitu kimeletwa na wizara halafu wabunge aidha kwenye kamati au bungeni wakatoa michango yao kuboresha sasa kama wizara [waziri] akauondoa mswaada huo ili ku-incorporate maoni mapya in uzembe?????
 
Back
Top Bottom