Sitta: Sisubiri ruhusa ya mtu yeyote, nani asiyejua kuwa Chenge ni mtuhumiwa?

Jamani Benson Bana (Siwezi kumuita Dr maana ana mawazo mgando na njaa inamsumbua) ni lazima aseme hivyo anavyosema maana ni mchumia tumbo na anatumika na wanasiasa so ameashaamua kuichimbia elimu yake (ambayo nina shaka nayo) kwa manufaa ya mafisadi wa rasilimali za watanzania
Mimi inanishangaza sana huyu mwalimu huwa anawaambia nini wanafunzi wake darasani maana ni lazima kama mwalimu unachofundisha kiendane na ukweli wa unachokisema kwenye jamii otherwise ni mnafiki wa kutupwa
 
Mwenyekiti wake( Sitta) ameshasema njia ni nyeupe kwa wasioridhika na mambo yanavyokwenda ndani ya CCM kuondoka. Bahati mbaya tu Sitta wetu hana pa kwenda.
Kwa kuwa ni msaliti, kaharibu kote, aliwasaliti CCJ, akawatosha Chadema, CUF hawezi kwenda kwa kuwa 'hana sifa' ya kuwa mwanachama wa hicho chama, so ni kweli hana pa kwenda labda aanzishe cha kwake.
 
ukiona mtu mwenye PhD akitamka maneno ya wababe wa bus stand kwamba chama cha siasa ni chama dume wakati akijua kina wanawake na yeye mama yake Si mwanaume,hapo utajua kwamba taifa hili linahitaji matengenezo makubwa-reformation kubwa.Kumbe CCM NI MLEZI WA MFUMO DUME?KUMBE WANAWAKE NI KUNDI DHAIFU?
 
Benson Bana yuko kundi gani? kwani anaonyesha wazi hapa kwamba hata yeye ni gamba linalonufaika na matunda ya ufisadi kutoka kundi fulani; most likely la EL!!

nashindwa kuelewa udsm political science kuna wahadhiri wengi wenye uzoefu itakuaje kila siku hili lijinga Bana? mtu anayeongelea mambo obvious, how do u call this **** expert and analytical stuff from a top political scientist? how? its like unaongea na watoto wa form 2 au umeenda vijijini ambako hilo gazeti halifiki.

Then why is this guy has to act like he's advising CCM? is he a political pundit for CCM ? if so utumishi wako wapi kumfuta kazi pale public institution?

huyu jinsi anavyojipendekeza na anavyoongea siyo rahisi kujificha yuko upande gani unaomfadhili....
 
hivi Bana ni msemaji wa CCM? amekuwa Nape 2
hivi hii source ya hii habari ni ipi? nimechoka na huyu Bana hivi hakuna mtaalamu mwingine wa siasa nchi hii?kila siku reference ni huyu jamaa? Hivi kwa nini Sita na Kaduma = wahukumiwe kwa kukosoa chama chao wakati ni maoni yao ambayo wanayaona ni sawa kabisa?
Sitta: hivi ufisadi kupita bila kupingwa, kama ndio maana yake, inawezekana Mama Mwanaisha na Mwanaye - Riz1 naona angewatamka hivyo! au anaogopa
 
Sitta,mziki wa LOWASA HUWEZI,nawewe kama ungekuwa haujasoma lazima ungekuwa mwanga uzeeni, unachosema sicho cha moyoni mwako,na maneno ya Slaa kuwa we ni muoga nikweli,endelea kulalamika.
 
Yan katika Watu ndani ya CCM ninaowakubali mmoja wao ni Samwel Sitta jamaa huyui si mnafiki ndomana aliweza kuwapa uhuru wabunge ndani ya Bunge na kutoka siri nyinyi za Ufisadi kinyume na huyo Demu aliyemtumwa wa CCM SITTA ni kidume asiyeogopa kusema kweli palipo na ukweli jamaa safi sana Hongera Samwel Sitta Dr. Bana anatafuta Ulaji ndani ya CCM na kifo chao chaja
 
Samahani wadau, hivi huyu Bana huwa anawapigia simu waandishi wa habari wakamhoji ili atoe comment zake juu ya kinachotokea au kilichotokea au huwa ni msukumo na utashi tu wa waandishi wa habari kumfuata na kumhoji? Sijawahi kumkubali huyu jamaa maana yuko kimaslahi zaidi na ninafahamu ni pro-ccm hivyo huwa sisomi comment zake kabisa maana najua atasema nini hata kabla hajasema! Ni mtizamo wangu tu lakini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom