Sitta: Siogopi kushtakiwa kwa kumtetea Mwakyembe

Sitta kapata njia ya mkato kujitafutia umaarufu wa kisiasa.
 
Naichukia sana Polisi na TISS kwa jinsi wanavyonyofoa roho za watu wasiokuwa na hatia huku wakiwalinda mafisadi na maharamia wanao pora mali zetu usiku na mchana.Lakini wajue kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho,na siku zote mwisho wa ubaya ni aibu. ILAANIWE CCM, ILAANIWE TISS LILAANIWE JESHI LA POLISI.
 
Napata hasira sana.huyu Manumba baada ya kupeleka mafisad mahakamani,ambao wanaleta umaskin,anajitumumua kwa mambo madogo,haya akikutwa na atia,inapunguzaje umaskin
shame of them

jalada la chenge halieleweki mpaka leo na ushahidi wa kutosha.
 
Sita anakosea sana kusema Mwakyembe kalishwa sumu.Ana uhakika kuwa kalishwa.BORA aseme chanzo cha maradhi ni SUMU.But how ilifikaje mwilini ni ngumu kujua.Only walompa ndo wanajua.
 
Amekwambia ana ushahidi wa kutosha. Mtu mzima na mwanasheria kama yeye hawezi kuwa anaropoka.
 
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amesema haogopi kupelekwa mahakamani kutokana na kutamka kuwa Dk Harrison Mwakyembe amelishwa sumu, kwak sababu ana ushahidi wa kutosha.

Kauli hiyo ni mwendelezo wa mjadala mzito unaotikisa nchi kwa sasa baada ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba, kusema polisi wameandaa jalada la kumpeleka mahakamani waziri huyo kutokana na madai hayo.

Akizungumza kwa njia ya simu jana, Wwaziri Sitta alisema kama Dk Mwakyembe amedai kuwa, ripoti ya daktari wake inaonyesha kuna kitu kwenye ndani ya mifupa kinachochea hali aliyonayo, yeye anapelekwa mahakamani kwa kosa lipi.

Tayari, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hadji Mponda, amemruka Manumba akisema hatambui ripoti ambayo aliitoa kwa waandishi, ambayo inaonyesha Dk Mwakyembe hakunyweshwa sumu.

Sitta akisisitizia kwamba Dk Mwakyembe kapewa sumu, alisema kutokana na hali hiyo yupo tayari kwa lolote katika hilo na kwamba, anasubiri jalada hilo lipelekwe mahakamani ambako ndiko kwenye uamuzi wa kisheria.
Nimeipenda sana hii kwa kweli,NA NINAOMBA WAKUPELEKE MAHAKAMANI MZEE Sitta ili ukaongee ukweli na siku hiyo ukiongea ukweli huo mm nitakuunga mkono maana utakuwa mkweli kuliko kuwa msiri ktk kundi la wauaji,NITAKUWA TAYARI KUWA MGOMBEA BINAFSI JIMBONI KWANGU NA WEWE UWE MGOMBEA BINAFSI WA URAIS KWA KATIBA IJAYO.NIMEKUPA HII MOVE KWA SABABU CCM INAFUJO KUBWA INAKUJA KULIKO ZILE ZILIZOWAHI KUTOKEA HUKO NYUMA AMBAZO ZITAKWENDA SAMBAMBA NA KUTOANA ROHO,JIONDOKEE MAPEMA LAKINI BAADA YA KESI HIYO.PIA USIKUBALI KUWA WA KWANZA KUNAWA!
 
Hii nchi haitakaa iendelee kwa sababu kila kitu tumegeuza siasa, Mwakyembe na Sitta nao wamegeuza ugonjwa mtaji wa kisiasa, kwa nini kama ni sumu wasiseme ni sumu gani? na kwa nini watuhumu kikundi cha watu ambao wao wamekibrand kuwa ni mafisadi, wamekuwa polisi?
 
Sita anakosea sana kusema Mwakyembe kalishwa sumu.Ana uhakika kuwa kalishwa.BORA aseme chanzo cha maradhi ni SUMU.But how ilifikaje mwilini ni ngumu kujua.Only walompa ndo wanajua.

hollo, hapo ndipo utata unapokuja, lakini nina uhakika kwa mkono mrefu wa serikali wanauwezo wa kujua pumba na mchele ni vipi!! Tatizo hawana utashi tu...

Hizi ni allegation mbaya na kubwa, na mbaya zaidi zinaonekana kutengeneza mzimu ktk serikali, kwa nini wasifuatilie? Kupishana maneno ni dalili, they are all falling apart internally...
 
Amekwambia ana ushahidi wa kutosha. Mtu mzima na mwanasheria kama yeye hawezi kuwa anaropoka.

Sitta ni mwanasheria wa kusomea lakini ni mwanasiasa kwa maisha, na siasa ni mchezo mchafu, na yeye anaucheza kichafu, kama kweli kapewa sumu kwa nini apige kelele kwenye vyombo vya habari?
 
Sita anaweza akawa jembe ila tatizo lina lima wapi na linamlimia nani?
 
Kwa namna tukio lenyewe lilivyomsibu Mwakyembe, pengine Manumba ana hakika ushahidi hauwezi kupatikana ndio maana ya ujasiri wa tamko lake.
 
Huu sasa ni sawa na mchezo wa mpira kipa Manumba anamrushia sita, sita anapasia mwakyembe mwakembe anampa Mponda, mpondaaa heee anafunga golini kwake dah.
My take acha wamalizane huenda ni mpango wa Mungu kuwasambaratisha b4 2015 ninaimani yeyote mwenye bifu na Manumba 2015 hatapewa ulinzi wa kusaidia kuchakachua kura watamchinjia kwenye maji kama Laurence Masha.
 
Hii ndio tanzania zaidi ya huijuavyo...........and i guess all these happen only in tanzania!!
 
MH sitta una chuki ya asili.unaipotosha jamii.tutajie basi huyo alompa sumu,sasa unapong'ang'ania ivo af hutuambii mhusika unataka tufanyeje sisi wanakijiji tuohangaika na kuuza mchicha ili watoto wetu wapate kula.
si kazi ya sitta kutaja au kumtafuta mtuhumiwa,aliyeupotosha umma ni huyu aliyepingana na report ya madaktari wakati yeye si daktari!kaa uchemshe akili utapata jawabu!nani yuko sahihi kati ya anayesema ni sumu inayomsumbua dr mwakyembe ambayo ni sawa na report ya madaktari au yule anaekinzana na report ya madaktari na kusema kua si simu wakati yeye si daktari?
 
Sitta ni mwanasheria wa kusomea lakini ni mwanasiasa kwa maisha, na siasa ni mchezo mchafu, na yeye anaucheza kichafu, kama kweli kapewa sumu kwa nini apige kelele kwenye vyombo vya habari?

Kwa hiyo ulitaka akapigie kelele wapi kama polisi wanaochunguza na kupeleka mahakamani makosa ya jinai wanasema si sumu?unafikiri sitta ana uwezo wa kulipeleka mahakamani mwenyewe?hii si civil ni criminal
 
Back
Top Bottom