Sitta on DOWANS payment: unanswered questions and painful

LAT

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
4,401
1,312
Minister for Eeast African Cooperation Hon. MP Samwel Sitta said the decison to pay DOWANS has not gone through the cabinet

Mr. Sitta Said he would seek explanations over the matter when the cabinet convenes, adding that there were some unanswered questions

He further explained and said it was "painful" to pay the amount

The minister said he believed Mr. Ngeleja and Attorney General F. Werema would have something to tell the cabinet since all the announcements they were making had not been discussed by the cabinet..... they will have to tell us it is very serious.. we have not discussed collectively and made a decision to pay up

The Citizen; today 8/01/2011
 
Bravo Sitta.
 
...Sitta vipi,unataka kutuharibia kitumbua chao!!! Mwenyewe RA anataka pesa zake mlizotengenezea mabango, kanga,fulana na kofia!!! wapeni tu hela zao.tumeyataka wenywewe
 
Minister for Eeast African Cooperation Hon. MP Samwel Sitta said the decison to pay DOWANS has not gone through the cabinet

Mr. Sitta Said he would seek explanations over the matter when the cabinet convenes, adding that there were some unanswered questions

He further explained and said it was "painful" to pay the amount

The minister said he believed Mr. Ngeleja and Attorney General F. Werema would have something to tell the cabinet since all the announcements they were making had not been discussed by the cabinet..... they will have to tell us it is very serious.. we have not discussed collectively and made a decision to pay up

The Citizen; today 8/01/2011

They are coming out now because they know the time to be counted is now or they will perish like flies.
 
mmh, huyu mzee naye? akiendelea hivi, siku zake kwenye cabineti zitaanza kuhesabika
 
Kwenye cabinet sio peponi, there is life even outside it! Maslahi ya nchi lazima yatetewe kwa gharama yoyote hata kama ni kuwatimua Bungeni kama walivyomtimua Zitto!
 
Sitta anaujasiri wa kufanya haya...?.... inamaana mpaka cabinet iridhie ndiyo malipo yatafanyika..? au sitta anatuweka sawa tu aonekane anapinga malipo hayo.... au anashinikiza ili nae apate mgao
 
Hahahaha sita hii racket unaijua au unatest zali. Ungejua RA ni nani ungefunga mdomo vingenevyo naona kama ahera inakuita. Hata hivyo nakumind sana kama mpiganaji INSIDER
 
Sitta anaujasiri wa kufanya haya...?.... inamaana mpaka cabinet iridhie ndiyo malipo yatafanyika..? au sitta anatuweka sawa tu aonekane anapinga malipo hayo.... au anashinikiza ili nae apate mgao

Sitta ni jasiri sana, afadhali alikomalie suala hili tuone mwisho wake!
 
mkuu..... naukubali ujasiri wa Sitta..... lakini hawa wanasiasa wetu wengi wapo after maslahi.... je wakimwahidi donge.... bora sisi tumchangie hata kitu kidogo apambane
 
Wachache sana wanauthubutu kama wa sitta ndani ya ccm, ama wanajua maovu yanayotendeka bt wataanzia wapi kuongea kama makamba na vibaraka wake hawajamfilisi kila sekta..
 
Jamani namuomba mzee 6 ajiangalie maana kutokana na hiyo statement, mafisadi wanaweza kumdhuru kabla hata ya kikao cha cabinet
 
By the look of things Sitta anaufahamu vzuri mchezo unaoendelea na possibly has a piece tht he believes will convince others kwamba anachokiongea ni more than correct in their own language kwani kwa lugha yetu wengine tunaonekana ni waongo na tunatafuta umaarufu.
 
Hivi tumezoea kunyonywa na kunyanyaswa eenh!mbona wengi wetu humu tunaanza kuogopa nguvu ya mafisadi kwa kumtahadharisha awe macho na uhai wake...tuache kumtia hofu,bali tuzidi kumtia ujasiri ili aiongoze vita hii hukohuko ndani ya cabinet na hatimaye tuje kuujua ukweli wote kupitia yeye.Sitta naamini wewe ni mtu makini na una uchungu na nchi hii,kaza buti hakuna kurudi nyuma utakumbukwa na historia!
 
HONGERA MZEE WETU 6, najua MAFISADI wanachukia sana kauli zako za UKWELI, MUNGU atazidi kukulinda. WEWE ni mjasiri kutoboa UKWELI ambao viongozi wengi ndani ya CCM hawana ujasiri wa aina yako.BIG UP!
 
Cabinet my foot,hata kama wangeambiwa anafikiri zaidi yake pengine na Mwakyembe na Magufuli nani mwingine angemuunga mkono kwenye suala la kuilipa dowans????asitu-enjoy sis,hawana mamlaka yeyote ya kubadili decision ya ICC.:playball:
 
Anasema hayo kwa sababu ana uchungu wa dhati au kwa sababu anatafuta mwanya wa kumegewa? Why did he and mwakyembe agree to join the cabinet in the first place?
 
if u cant fight them.. join them and fight them from within

ndicho mzee sitta anachofanya kwa sasa
 
Sitta anajua anachoongea. Nitamheshimu kama baada ya cabinet kubariki malipo hayo atamrudishia Kikwete uwaziri wake.
 
Back
Top Bottom