Sitta: Nyota iliyong'aa na Kuzimwa na Mafisadi

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,452
3,065
Waziri wa EA wa Tz aling'aa sana tena kwa muda mfupi tu, nyota yake imezima ghafla kwa mbinu na njama za mafsadi.

Kosa la Sitta ni nini ktk siasa za TZ na uchumi wa TZ??
1. Kusema ukweli nusu nusu (kuilinda serikali dhaifu)
2. Kutosoma alama za nyakati, alipaswa awe nje ya ccm siku nyingi sana
3. Baadhi ya maadui wa nchi kuwa ni maadui zake ndani ya chama
4. kumrudishia Dr. Slaa nyaraka zake za mafisadi wakati akiwa spika, sijui kama siasa ya TZ itamsamehe haraka
5. Kukubali Uwaziri ili hali rais hamtaki, (rais ndo alitia saini zengwe la spika awe lady), kushindwa pia kupima mambo
6.
7.
8.
9
10.
 
Sitta ni fisadi kama walivyo akina Lowasa, rosta, Kikwete na wengine tofauti yao ni kiwango cha kuwaimbia wa Tanzania..
 
Sitta kama anataka kuwasaidia kweli watanzania inabidi aachane na CCM haraka. Hii ya kujifanya anawakerwa na ufisadi wa CCM wakati anaendelea kuwa miongoni mwao na wakati mwingine anawaponda wapinzani, mimi naona hayuko serious na maisha ya watanzania. Kwanza hawezi kupitishwa na CCM kugombea Urais. Kama ni mpiganaji kweli akihame chama. Afanye maamuzi magumu na ya ujasiri. Hata akifanikiwa kuwa Rais ndani ya CCM (kitu ambacho ni kigumu mno) bado atakuwa Controlled na Chama cha Mafisadi hicho hicho. Hana jinsi ya kuwaepuka kabisa akiwa humo.
 
Sitta ni fisadi kama walivyo akina Lowasa, rosta, Kikwete na wengine tofauti yao ni kiwango cha kuwaimbia wa Tanzania..

Kama ambavyo wewe nawe ulivyo fisadi.
The unseen is illustrated by the seen.
 
sitta si nyota wala mbalamwezi... sitta ni frustrated old man aliyetumikia system na kuaminishwa kwamba atafikia kilele ya msonge wa kisiasa

huwezi kuwa mwanasiasa shupavu halafu unaiba dawa kwa risiti za kuchongewa na mkweo

he is an old fart who deserves a nursing home to lick his wounds
 
Sitta hakuwahi kuwa msafi hata kidogo. Ni Sitta, Lowassa, Rostam na Chenge ndio waliokuwa mstari wa mbele kupanga na kufanikisha safari ya Kikwete kuingia Ikulu tena wakitumia kila mbinu chafu kuanzia Rushwa, Ubaguzi, Uzushi nk. Ni vipi tena leo Sitta awe msafi.

Ni mafisadi hao hao waliompandisha chat Sitta na mafisadi hao hao waliomtupa chini Sitta.
 
Too late, too little, too bad, preach what you do. Sioni reflection Kati ya picha na uhalisia. Time for other people to lead, hawa wazee wa toka Uhuru ifike mahali itoshe waachie era nyingine. Kulialia kule kule miaka yote do u really expect changes?
 
ni aibu raia kupigwa namna ile kama vile serikali haipo harafu hakuna mtu anakamatwa vile amefanya kosa hilo. Sitta vile mkongwe ana kauli gani juu ya hilo?? au pumzi hana tena mzee wa kupinga rushwa kubwa kubwa??
 
sitta si nyota wala mbalamwezi... sitta ni frustrated old man aliyetumikia system na kuaminishwa kwamba atafikia kilele ya msonge wa kisiasa

huwezi kuwa mwanasiasa shupavu halafu unaiba dawa kwa risiti za kuchongewa na mkweo

he is an old fart who deserves a nursing home to lick his wounds
lol ("an old fart who deserves a nursing home to lick his wounds")
 
Sitta kama anataka kuwasaidia kweli watanzania inabidi aachane na CCM haraka. Hii ya kujifanya anawakerwa na ufisadi wa CCM wakati anaendelea kuwa miongoni mwao na wakati mwingine anawaponda wapinzani, mimi naona hayuko serious na maisha ya watanzania. Kwanza hawezi kupitishwa na CCM kugombea Urais. Kama ni mpiganaji kweli akihame chama. Afanye maamuzi magumu na ya ujasiri. Hata akifanikiwa kuwa Rais ndani ya CCM (kitu ambacho ni kigumu mno) bado atakuwa Controlled na Chama cha Mafisadi hicho hicho. Hana jinsi ya kuwaepuka kabisa akiwa humo.

Amechelewa. Sitta ni opportunist. Ni mpenda madaraka pia. La sivyo asingeondoka CCJ chama alichokianzisha mwenyewe kwa kudanganywa angeendelea kuwa spika. Swali kwa Sitta. Kwa nini alihitimisha mjadala wa Richmond kihuni? Yeye na Mwakyembe hawasafishiki.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom