Sitta: Nitahama CCM wananchi wakitaka nichukue 'nafasi nyingine'

Hata hivyo Sitta siyo mtu makini kama watu baadhi na yeye mwenyewe anavyojinadi au kuwa hadaa watu,jamaa huyu ni mroho wa madaraka.Kama siyo,ataje mambo kumi ambayo yeye amesimamia kulitetea taifa na serikali ikampuuza na hatua alizo chukua baada ya kupuuzwa ili kudhihirisha uadilifu wake.Otherwise NO! Maana huyu jamaa anatia mashaka,mara CCJ,CHADEMA,CCM then where?
 
Naamini sita,magufuli hawapendwi ndani ya nyinyiemu na vile vile hawafai kuiongoza nchi hii hata wakiwa nje ya chama chatula!!!
 
kimata mbona kimya? changia walao kidogo, mawazo yako tunayategemea sana hapa!!!!!
 
Tanzania Daima ni gazeti la Chadema hilo kwahiyo inawezekana walimwelewa vibaya. Alichomaanisha Sitta ni kuwa hawezi kuhama CCM labda akiahidiwa nafasi nyingine na chama kingine.
sasa wamwemelewa vipi vibaya.Mbona unachokisema ndicho hicho.Labda mwandishi kaamua weka wananchi ili habari isifanane sana na kilichosemwa na Slaa kuwa huyu 6 alikuwa anataka apewe nafasi ya kugombea urais. Kazee kamechoka, sijui mpuuzi gani kakiambia kuwa kimekuwa lulu.
 
Back
Top Bottom