Sitta: Nitahama CCM wananchi wakitaka nichukue 'nafasi nyingine'

Sitta tayari ameshajitengenezea mazingira ya kuhama CCM and the most likely destination ni CDM.
Hivyo angalieni CDM msije kula matapishi yenu kama CCM na Rostamu walivyofanya huko Igunga.
Sitta amejiapiza kama Lusinde alivyojiapiza kwamba CCM ikishindwa Igunga atakunywa sumu. Sitta
amesema kwamba ataendelea kupinga malipo ya downs kwa nguvu zake zote.

Sasa imagine kama baraza la mawaziri likaridhia kuilipa downs which is most likely decision kwa sababu ndiyo
mkakati wa EL, RA from the word go. Je Sitta ataendelea kupinga malipo ya Downs?

Remember collective responsibility, ubashiri wangu ni kwamba Sitta ataendelea kupinga, hivyo aidha atafukuzwa
na JK, lakini kama ni smart unlike Mrema atajiuzuru uwaziri na kupinga malipo Downs. Mwisho wake atafukuzwa CCM
na hapo ndipo atakapoangukia CDM kwa ahadi ya kugombea urais 2015, Kama Mrema na Chavda na NCCR-Mageuzi 1995.

Swali la kujiuliza Je ni nani CCM ataweza kupambana na Sitta wa CDM 2015? Be the juror yourself! Najua CCM hawataki
kusikia kabisa kitu hiki, kwani watalazimika kumsimamisha Magufuli ambaye sio changuo la JK na Ridhwani.

Hata akija CDM ajiandae kuwa mwanachama wa kawaida kama ni huruma basi tutampa agombee jimbo lake lakini otherwise urais asahau kabisa....kama aliwauza kina Mpendazoe atashindwa kutuuza CDM, washabiki wake na raia wema/wazalendo wote? CDM hatuchukui majeruhi hata siku moja orijinos ziko kibao kwanini tuchukue rejects....Not now it was then when the powerhand was not change now that the powerhand is changed abakie tu huko huko kumalizia uzee wake vizuri.
 
Tanzania daima sio gazeti la chadema ni gazeti la mbowe binafsi.kuhusu kufanya mazungumzo sita na chadema kuhusu sita kuhamia chadema na kugombea urais hayaja anza leo toka mwaka jana sita alikubali kugombea urais lakini kwa sharti la kua kwanza mwenyekiti wa chadema na hapo ndio mbowe akakataa akimaanisha hawezi kumpa nafasi ya kugombea na ampe na uenyekiti wa kampuni yake alio achiwa na mkwe wake chaga development manifesto.inawezekana labda amebadilisha term of agreement
 
Zaidi ya wiki moja iliyopita nilichangia hoja fulani humu kwa kusema Sitta ana mahesabu ya kugombea urais 2015 kupitia chama ambacho si CCM na ninakumbuka kuna mtu alinibishia.
Nadhani sasa wingu la mvua limeanza kutanda kuelekea kuthibitisha nilichosema. Huyu bwana ana kila dalili ya kujijengea mazingira ya kuenguliwa CCM ili aonekane mpenda nchi lakini wananchi tukae naye chonjo, ni mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo.
 
Zaidi ya wiki moja iliyopita nilichangia hoja fulani humu kwa kusema Sitta ana mahesabu ya kugombea urais 2015 kupitia chama ambacho si CCM na ninakumbuka kuna mtu alinibishia.
Nadhani sasa wingu la mvua limeanza kutanda kuelekea kuthibitisha nilichosema. Huyu bwana ana kila dalili ya kujijengea mazingira ya kuenguliwa CCM ili aonekane mpenda nchi lakini wananchi tukae naye chonjo, ni mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo.

Ni kweli Massenberg, ni vigumu sana kumwamini huyu jamaa. Anaonekana kuwa na tamaa fulani hivi. Sasa kwa kiongozi makini, uroho wa madaraka si mzuri.
 
nimemuelewa ni lz1 mtoto warais ambaye baba yake anapitishia fedha za walipakod
 
kibanda.jpg

Huyu jamaa yangu naye katumwa kwani anaingilia Vita asiyoijua au kwa lengo la kumtetea Rostam na Lowassa mwacheni atunge hicho kitabu chake BOFYA HAPA na mtaona humu thread zake zote ni kuwatetea mafisadi tu
 
Back
Top Bottom