Sitta ni Mwongo na Mnafiki, Jiuzulu mara moja

Hata wakisema amedhurika na sumu hamna msaada wowote!
Mmekalia majungu tu, si bora aseme siyo sumu inayomdhuru ili kuondoa mjadala huu!
Huwezi kumuita sitta mnafiki wakati yeye alizungumza alichoambiwa na mgonjwa mwenyewe!
Na kama upo hapa kwa ajili mtu fulani umechemka.
 
Kama Sitta ni mwongo tume ya Nahodha inachunguza nini? Si tusubiri ripoti ya tume ndio tujue kama Sitta ni mwongo? Hivi ni vigumu kuelewa mambo haya!
 
Huyu jamaa haeleweki yaani tunaweza kumuita vuguvugu anakaa na 6 anaongea hivi akija kwa waandishi wa habari anasema vingine ukweli anaujua ila anaigopa serikali yake na kama kweli bado ana hofu huko ufufuo na uzima sijui alifuata nini
kwani mwakyembe si alishawah kutamka kwa mdomo wake mwenyewe akiwa na sitta na anna kilango kuwa amelishwa sumu? There's something wrong mahali,
 
kwani mwakyembe si alishawah kutamka kwa mdomo wake mwenyewe akiwa na sitta na anna kilango kuwa amelishwa sumu? There's something wrong mahali,

Yote tisa Hata thread moja iliwekwa hapa wakati Mwakyembe anakwenda India ambayo inaonekana ilinukuliwa kutoka kwa taarifa aliyoisambaza magazetini na kwa rafiki zake wa karibu akisisitiza kwamba kulishwa sumu si lazima ipite mdomoni. Alinawia sabuni na kujifutia kitaulo anachodhani kilikua na "*****"
 
Kumbe ilikuwa stahili yake atukanwe na Jussa. Mnafik sana huyu Mzee Sitta.
 
msimtukane Sitta bila sababu, yeye Mwakyembe kwani kasema sio sumu?!! acheni ulozi wenu,,,kasema ugonjwa unaomsumbua ila hajataja chanzo chake nini..mf ukiugua malaria si unaambiwa mbu ndio chanzo sasa nyie mnakurupuka tu mnasema mnafiki nyie magamba tu...subirini kwanza waseme...
 
Manumba alichunguza pia ndiye anachunguza tume hii.
Wewe unategemea majibu gani tofauti.

Imekuwaje ghafla sitta hataki kuongea tena. Mnafiki mkubwa
 
Jenifa, mbona mimi sijaona sehemu yoyote kwenye hayo maelezo ya Mwakyembe akitamka kwamba hajalishwa sumu? Nafikiri ni suala la kuvuta subira tu ili kuona huo mwisho wake utakuwaje. Si vyema kuanza kumrushia mzee Six madongo kiasi hicho kwani hili suala ndo kwanza bado bichi. Ukiangalia vizuri maelezo ya Mwakyembe yana ujumbe mzito sana uliofichika ndani yake na nadhani tutaelewa zaidi kutokana na maelezo atakayoyatoa ambayo nayo, naamini yatategemea ripoti ya mh. Nahodha.
 
Msiweke hitimisho kuwa Sitta muongo bila kufanya utafiti,subirini majibu ya India ndo muweke hitimisho,mtakuwa wavivu wa kufiri angalieni!!!!!!!!!!
 
Kuna uchunguzi unaendelea. Nyie mlitegemea mwakyembe atasema nimelishwa sumu!!??? Pia mfahamu kulishwa sumu si ugonjwa. Ila kunapelekea ugonjwa. Hivyo nothing is proved wright or wrong.
 
scleroderma, information about scleroderma



most cases of scleroderma occur with no recognizable initiating event. Some cases, however, have been traced to poisonous (toxic) exposures. For example,coal miners and gold miners (both of whom have a lot of exposure to silica dust) have higher than normal rates of scleroderma. Other types of chemicals that have been associated with scleroderma include polyvinyl chloride, benzine,toluene, and epoxy resins. In 1981, 20,000 people in spain were stricken with a syndrome similar to scleroderma when a toxic substance accidentally contaminated cooking oil. Some claims of a scleroderma-like illness have been madeby women with silicone breast implants.


hapo kwenye red ndipo majibu yalipo. Watu wengi humu jf ni wasindikizaji tu wanafuata upepo uliko hawawezi muda mwingine kujiuliza maswali magumu kwanini ilitokea hivyo kwa mwakyembe? Nini hasa chanzo chake? Je wanahistoria ya huo ugonjwa katika kizazi chao ? Kama hamna yeye kapata wapi? Je huo ugonjwa unarithishwa au la kama ndivyo chanzo nini ? Kwa nini wakati huu na siyo mwingine? Kama chanzo ni sumu je ni sumu ya aina gani ina tabia za kujibanza kwenye bone marrow? Je hicho kilichosababisha kimejulikama kama ndiyo kiliingiaje mwilini mwa mwakyembe?

NI MAPEMA KUSEMA SITTA NI MWONGO MAANA BAADAYE UCHUNGUZI UTALETWA HALAFU TUTAKIMBIANA HAPA JF. WANAJF TUWE NA SUBIRA WAKATI MWINGINE.
 
Kuna uchunguzi unaendelea. Nyie mlitegemea mwakyembe atasema nimelishwa sumu!!??? Pia mfahamu kulishwa sumu si ugonjwa. Ila kunapelekea ugonjwa. Hivyo nothing is proved wright or wrong.
Hao wanao eneza uongo ni wanafiki wenyewe na sio SITTA umewapatia,wasubirini majibu kutoka APOLO
 
Huyu ndo wa kushitakiwa kabisa. Kumbe riport ya Manumba ilikua ya kweli kwa mtindo huu. kwa sababu tunaamini anayejua ukweli wa ugonjwa ni Mwakyembe mwenyewe na tayari ameshafunguka kwamba hamna sumu ni ugonjwa tu mwingine ambao chanzo chake hakieleweki.

CHANZO CHAKE HAKIELEWEKI? Get real Dude! Chanzo chake ni Ukosefu wa Kinga MWIlini (UKIMWI)
 
sitta umedanganya nchi kuhusu ugonjwa wa rafiki yako Mwakiembe. sasa amekuruka na kukuacha uchi, jiuzulu mara moja kwa faida ya nchi.

hatutaki viongozi wanafiki na waongo!

Ajiuzulu wakati Adam Malima bado anadunda?
Why Sita?
 
sitta umedanganya nchi kuhusu ugonjwa wa rafiki yako Mwakiembe. sasa amekuruka na kukuacha uchi, jiuzulu mara moja kwa faida ya nchi.

hatutaki viongozi wanafiki na waongo!

Umethibitisha kuwa tatizo la Mwakyembe halitokani na sumu? Mwakyembe amekanusha tuhuma za kupewa sumu?
Naona kama vile umekurupuka maana DCI alipotoa taarifa ya Polisi kuwa Mwakyembe hajapewa sumu, Mwakyembe mwenyewe alimrukia DCI akiungana na madai ya Sitta.
 
dah sijaamin kama mwakyembe mwisho wa siku angetoa jibu km ilo mwanzon alijishaua kuwa police including manumba wana uelewa mdogo sijui coz ye ana dr ya sheria au vp then leo anadai mjadala umefungwa yeye mwenye uelewa mkubwa si angesema sasa alikuwa anaumwa nini? Huu ni unafki nilikua nakukubali sana lakin nishakupotezea
 
Back
Top Bottom