Sitta na kamati yake hoi Zanzibar

Kuna watu wanataka kuushona muungano kwa kamba za kudu, sasa wenyewe hawautaki!
Kama Zanzibar bado ni nchi hata baada ya Muungano, Muungano unasaidia nini!?

Siamini kama kweli hawautaki. Ingelikuwa hivyo, kuna njia nyingi za kufanya ili kujiondoa. Mbona hatujasikia hata kura za maoni zikiitishwa au hata kwenye baraza la wawakilishi wakilizungumzia hilo?
 
Hawa wenzetu wa visiwani nashindwa kuwaelewa. Wakati Lissu anasoma maoni na msimamo wa Chadema, wabunge wa Magamba akiwemo wa Zanzibar pamoja na CUF walimponda Lissu kuwa anataka kuvunja muungano. Huo ni unafiki mkubwa, wakiwa bara wanaunga yote na kupitisha magamba wanayotaka. Wakirudi visiwani wanagomea hata muungano. Sasa waeleweke vipi? Simameni muhesabiwe na kuacha unafiki.
 
Hawa wazanzibar wanachonikera ni unafiki mkubwa walionao.
Wakija huku wanauunga mkono muungano ili kuibishia cdm, wakiwa kwao wanawaunga mkono cdm.
Vigeugeu hawa. Kudadeki zao.
kilichobaki ni jiti tu magaddafini, ndipo watatia akili
 
Inamaana kwa habari hii Tundu alikuwa sahihi!! Hakupotosha Watanzania kwa mujibu wa spika!!?
 
Nawashangaa hawa wazee,ya nini kupiga ngoma ya masika watu wacheze kiangazi?suluhisho ni serikali mbili ya Tanganyika na Zanzibar muungano tukutane East Africa".
 
Back
Top Bottom