Elections 2010 SITTA Might be CCM Strongest Presidential Candidate 2015

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,355
Due to sympathy votes and all that, lakini sababu ya ufisadi na mengineyo najua hawawezi kumtumia hopefully atajoin upinzani
 
Due to sympathy votes and all that, lakini sababu ya ufisadi na mengineyo najua hawawezi kumtumia hopefully atajoin upinzani

Mkuu hili wazo siku nyingi ninaliwaza!! Huyu Mr. 6 ndiye pekee ninaona ana nguvu ya kuidindosha SSM. Ila SSM wameshamshtukiwa na kuamua kumwondolea uspika ili nguvu ya kuondoka SSM ipungue. Anyway, na umri wake umeshayoyoma hivyo atapumzika tu baada ya miaka hii mitano tena kwa heshima asithubutu kugombea ubunge 2015 maana watamweka pembeni kama mzee wetu wa Mtera. Kama kuna mtu ssm wana hasira naye basi ni Mr. 6 na ninafikiri wanamtafutia jungu la kummaliza. He must be very carefully and smart!!

Kwa umri alio nao 6 ningefurahi kama angepumzika mara tu bunge la 10 litakapovunjwa.
 
Ni ngumu kwa CCM ya sasa kumsimamisha mtu yeyote alieko kwenye system hii atakuwa mchafu tu. CCm ili ipate ushindi mwaka 2015 mgombea anatakiwa atoke nje ya System ama nje ya nchi au machakani kabisa asiwe ana hudika kwa lolote na mambo yanayojili kwasasa WATASHINDA vinginevyo no no no no noooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Due to sympathy votes and all that, lakini sababu ya ufisadi na mengineyo najua hawawezi kumtumia hopefully atajoin upinzani

SITTA a.k.a mpigania haki will be the right candidate for presidency in 2015 kwa chama mbadala
 
Unajua Sita alikuwa anakosea anapopambana na watu kama kina Slaa huku akidhani wale wenzake watamsaidia sasa wako wapi maemning'iniza mzee wa watu.

Mafisadi ni wabaya sana Tuunganishe nguvu zetu na tuiunge chadema na uhakika baada ya muda wataisha tumeanza na Nyamagana, Ilemela tukaenda Rombo, Ubungo, kilimanjaro ect.

Tuzidi kuelimisha wananchi wawakatae maana wakiwa viongozi ni vigumu zaidi.
 
Ni ngumu kwa CCM ya sasa kumsimamisha mtu yeyote alieko kwenye system hii atakuwa mchafu tu. CCm ili ipate ushindi mwaka 2015 mgombea anatakiwa atoke nje ya System ama nje ya nchi au machakani kabisa asiwe ana hudika kwa lolote na mambo yanayojili kwasasa WATASHINDA vinginevyo no no no no noooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ukisema nje ya nchi una maana "Foreign Expert" au toka kwenye balozi zetu? Kama ni kwenye balozi bado sina uhakika kama nao ni wasafi, si unakumbuka kesi ya Mahalu?
 
Ni vigumu kusema kuwa Sita anafaa kuwa rais au la. kusema kweli mimi simwelewi vizuri hasa. kikubwa nachoelewa kwake ni nali yake ya kupenda Demokrasia hasa awapo bungeni. kule kusema mafisadi isiwe ni njia pekee ya kumtathimini. wapo wengi wanapinga ufisadi kumshinda yeye.lakini hawazungumziwi kufaa urais. labda tutafakari amefanya nini hasa, anaamini nini katika maedeleo ya sasa. lakini tukumbuke pia umri pia unaenda
 
Mkuu hili wazo siku nyingi ninaliwaza!! Huyu Mr. 6 ndiye pekee ninaona ana nguvu ya kuidindosha SSM. Ila SSM wameshamshtukiwa na kuamua kumwondolea uspika ili nguvu ya kuondoka SSM ipungue. Anyway, na umri wake umeshayoyoma hivyo atapumzika tu baada ya miaka hii mitano tena kwa heshima asithubutu kugombea ubunge 2015 maana watamweka pembeni kama mzee wetu wa Mtera. Kama kuna mtu ssm wana hasira naye basi ni Mr. 6 na ninafikiri wanamtafutia jungu la kummaliza. He must be very carefully and smart!!
Kuna wakati walikuwa wanchimba risiti zake ofisi ya bunge labda wanaweza kuendeleza ili wakimpata wamfanye kama Hassy Kitine
 
Only one simple description befits Sitta....an opportunist and a power monger.
He's one of many in CCM.

Hajawahi kutokea (na kwa kizazi hiki cha CCM anaweza asitokee kabisa) mwana-CCM ambaye ni mpinzani wa dhati akiwa ndani ya CCM isipokuwa Mwl Nyerere.

Mlinganisho mmoja mdogo tu....wakati Sitta alitetemeka sana alipotishiwa kufukuzwa uanachama wa CCM, kinyume chake Nyerere anakumbukwa kwa kauli yake maarufu ya "CCM si baba wala mama yangu".
What a world apart between Nyerere and the rest of the park (CCMists)!!
 
Ssm wanaweza kumleta asha rose migiro kugombe 2015. Lakini hawa ndani bado wana kazi kubwa ya kujisafisha. Ngoja tuone miaka hii 5 tulioanza.
 
Upinzania pia wanatakiwa kukaa vizuri. Wanaweza kuinuka sana wa wanaweza kumalizwa kabisa. Sijui siasa hizi. Lakini lazima wawe fit.
 
Sisi yemu yapaswa kumpa magufuli wizara ya mambo ya kigeni apate andaliwa kwa uraisi 2015-la sivyooooooooooooo!
 
Kwa umri alio nao 6 ningefurahi kama angepumzika mara tu bunge la 10 litakapovunjwa.

Nilikuwepo Urambo wakati JK Alipokuwa anatafuta kura, Six alitangaza kustaafu siasa baada ya bunge la kumi kumaliza mda wake, na hata ktk kampeni zake alisisitiza sana hilo.
 
Ni ngumu kwa CCM ya sasa kumsimamisha mtu yeyote alieko kwenye system hii atakuwa mchafu tu. CCm ili ipate ushindi mwaka 2015 mgombea anatakiwa atoke nje ya System ama nje ya nchi au machakani kabisa asiwe ana hudika kwa lolote na mambo yanayojili kwasasa WATASHINDA vinginevyo no no no no noooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Baba Junjo, mbona unazunguka zunguka badala ya kuwa Straight tu kuwa unampigia jalamba Asha Rose!!
 
Back
Top Bottom