Sitta awashukia maadui wake: Amwita mmoja "Mhalifu sugu"!

HIZI NI CHOKOCHOKO TU ZA GAZETI LINALOTUMIWA NA MAFISADI LA TANZANIA DAIMA.

Ukitaka kujua waraka wowote wenye majungu angalia flow yake na jinsi unavyoingilia personal issues.

Tti spika mzinzi? tukifuatilia viongozi wa juu kuhusu uzinzi nani atapona? Yaani nayedumu katika ndoa ya mke mmoja au wake halali? Au tufungue thread na kuanza kutoa list za wakora?

Absolom Kibanda, Mkuu wa wahariri, nashangaa aliamua kuliandika hili kama kashfa kwa spika wakati taarifa zake zipo wazi akiwa ni mzinzi wa kutupa na kama mnataka kujua ukweli nendeni ofisini kwake muulize katembea na wafanyakazi wake wangapi. Wame mbrand kama "mchuja nafaka"

Wanawake na sisi tuwe makini na hawa mibaba viongozi
 
Kwahiyo shangazi unataka tuamini kuwa ni haki na busara kwa kiongozi yeyote kufanya uzinzi na wanawake wengi kwa kuwa tu na wengine nao hufanya hivyo hivyo??
Kama spika anafanya uzinzi wacha aandikwe tu na kama huyo kibanda naye ni mziznzi msemeni vilevile. Lakini haiingii akilini hata kidogo kumtetea mtu anayetumia madaraka yake kufanya uzinzi. Na kinachonisikitisha zaidi ni pale unapotetea hali hiyo ya uzinzi ilihali nawe ni mwanamke, ndio kusema unafurahia kuona wanawake wenzio wakibadilishwa kama mitumba ya soko la ilala???
kweli hapa kazi ipo!!!
 
Kweli Sitta alisema anama adui wengi, hata JFwapo kibao! Mzee Sitta songa mbele nchi hii haifai. Umenifanya nasikiliza bunge siku hizi, tofauti na wakati wa Msekwa aliyekubali kukandamizwa the Nkapa...akafanya bunge likawa bogus kweli.

Aluta continua mheshimiwa spika....
 
Mfumo wa siasa Tanzania ndani ya Bunge ni lazima ubadilike.

Kwa kuanzia ni kuona kwamba spika wa bunge (ambae anatoka CCM), anabadilishwa na kuwekwa yule ambae anatoka ndani ya upinzani.

Kwa njia hio, mfumo ambao umekuwa siku zote unapitisha mambo bila kuwa "scrutinized" unakuwa unapoozwa kwa ajenda, au hoja muhimu zinasikilizwa.

Kitendo cha kubadilisha spika ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwanza kitaonekana ni kipya lakini ndio mwanzo wa mabadiliko ambayo wale tunaoona kwamba Bunge kwa miaka ya hivi karibuni pamekuwa ni mahala pa kuchezacheza linarudisha heshima na maana yake.
 
mkuu unaboa bana kila mahali unachoomekea udini. Kwa hiyo wewe unaungana na wanaosema Muungwana anagawa vyeo kwa kuangalia ile alama nyeusi usoni??

JK juzi juzi kachagua wakuu wa wilaya 15 wapya ambapo waislam walikuwa watatu tu.

majaji wameteuliwa juzi waislam watatu kwenye watu zaidi ya kumi.baraza la mawaziri,makatibu wakuu wengi ni wakristu hata THOMAS KASHILILLAH kachaguliwa na JK jee ana alama nyeusi usoni? licha ya wafanyakazi wa BUNGE kusema kuwa hana uwezo wa kazi.

ajira za bunge chini ya Kashilillah na NOMBO wanapewa wakristu tu bungeni. mjadala uko hapa hapa kama una hoja au Kashilillah kakutuma mwambie ajibu kule kwanza.

tena hii habari ya kusema wana imani nae itakuwa kaandika yeye Kashilillah then akamlipa mfanyakazi mmoja atumike kwa niaba yake.
 
Wanabodi,
Kuna Waraka huu ambao imenibidi niuweke hapa baada ya kusoma mada hii..nawaomba muupitie na tujadili kama ni majungu au ndio UKWELI ulosimama!
Kuna ukweli kiasi gani, mimi sifahamu labda kutokana na kutoamini kuwa hii ni Aprilfools crap! imenibidi niuweke hapa tupate kujadilaiana..

Waraka wa wazi wa Ufisadi ndani ya Bunge

Ndugu zetu
Watanzania. Sisi ni wafanyakazi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunapenda kutumia nafasi hii kuwafikishia ujumbe huu muhimu kupitia waraka wetu huu wazi kwenu.

Tunaomba ifahamike kuwa, haikuwa nia yetu hata kidogo kutumia njia hii kueleza mambo ya siri sana yanayofanyika ndani ya Ofisi za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania . Tumelazimika kuchukua hatua hii baada ya jitihada zetu za kufikisha taarifa hizi pamoja na malalamiko yetu ngazi husika kutokufanikiwa. Aidha, mbali na hayo hata juhudi za ziada tulizochukua kuwasiliana na vyombo mbalimbali vya habari
hapa nchini kueleza uvundo ulio katika taasisi hii hazikufanikiwa kutokana na nguvu ya pesa iliyotumika na ofisi ya bunge kuwafunga midomo waandishi wa habari na wahariri wao.
Lakini kikubwa zaidi kilichotusukuma kuandika waraka huu kwa Watanzania wote ni baada ya kubaini kuwepo kwa njama za kuchoma moto ofisi ya uhasibu ya bunge ili
kupoteza kumbukumbu muhimu kabisa za matumizi mabaya ya mabilioni ya shilingi ya ofisi ya bunge yaliyofanywa Spika pamoja na marafiki zake.

Tunaomba watanzania waelewe kuwa kuanzia sasa ofisi hizo zitaungua moto
wakati wowote. Na kama jambo hili litatokea watanzania wote hasa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ndivyo vinavyopaswa kulaumiwa zaidi kwa kushindwa kubaini ufisadi wa kutisha katika ofisi hii hadi njama za kuchoma moto ofisi.

Ndugu zetu
Watanzania, tunapenda kuwafahamisha kuwa Ofisi ya Bunge, katika kipindi cha miaka mitatu na ushee, imekuwa ikikaliwa na mafisadi wanaojificha katika jina la vinara wa mapambano dhidi ya ufisadi, na kiongozi wao wa Mkuu ni Spika wa Bunge, Samuel Sitta.
Tunajua kuwa wapo baadhi ya Watanzania wenzetu wanaoweza kuona kuwa tunasema mambo ya uongo au tusiyo kuwa na uhakika nayo. Kwa kuthibitisha haya tunayoyasema, tunaomba tueleze mambo machache machafu ya kifisadi yanayofanywa na Spika Sitta pamoja na wabunge kadhaa walio karibuni naye, wakisaidiwa na badhii ya watendaji wenye nyadhifa kubwa katika Ofisi ya Bunge.

*Tangu Spika alipoingia madarakani amekuwa akiiongoza ofisi ya bunge kidikteta. Analazimisha kupatiwa fedha kutoka katika ofisi ya bunge anapokuwa katika ziara zake binafsi katika Jimbo lake la Urambo Mashariki. Ushahidi wa haya upo katika vocha za malipo haya. Tunaomba wakaguzi waje wakague watakuta haya.

*Spika Sitta amekua akilazimisha kukiukwa kwa kanuni za bunge ili tu kuwapa nafasi wabunge wenzaki walio katika kambi moja kuisulubu serikali ili kuwaaminisha wananchi serikali ni ya hovyo bali yeye na wabunge hao ndiyo wana uchungu wa kweli na taifa hili.
*Spika Sitta hafuati taratibu za uchukuaji fedha za ofisi. Huwa anaamrisha apewe hata fedha za kununua vifaa muhimu vya ofisi akiwa hana fedha na anapokuwa akizihitaji. Fedha zilizopotea kwa njia ni mabilioni, lakini hakuna anayemuhoji.

*Spika Sitta hata siku moja tangu aliposhika wadhfa huo, amekuwa hafuati taratibu za kawaida za sheria ya manunuzi umma katika mambo mengi hapa bungeni. Yota haya ushahidi wake upo ofisi ya uhasibu lakini analindwa na kundi la wabunge
wanaodai kuwa wanapoambana na ufisadi kwa sababua anakula nao.

*Spika Sitta ameshinikiza kukodishiwa nyumba ya gharama kubwa. Dola za Marekani 8,000 kwa mwezi wakati alikuwa amepewa nyumba nzuri tu ya serikali huko Oysterbay. Baada ya kukodishiwa Nyumba hii, alilazimisha pia Ofisi ya Bunge itoe sh milioni 250 kwa ajili ya kununua samani za ndani alizodai kuwa ndizo zinazolingana na hadhi yake ya Spika.

*Spika Sitta ambaye baada tu ya kuingia katika wadhfa wake alinunuliwa gari jipya aina ya benz. Sasa amelichoka likiwa hata halijamaliza miaka mitatu, anataka
kununuliwa jingine na amekwishamuarua Katibu wa Bunge, Thomas Kahililah
ambaye ni swahiba wake mkubwa kwa sababu wanakula pamoja kutoa kiasi cha
sh milioni 367 kwa ajili ya kununulia gari hilo . Tayari zimekwishalipwa sh milioni
270. wakati haya yakifanywa na Spika, anajua fika kuwa taifa liko katika hali mbaya kifedha na bunge liko katika hali mbaya zaidi kiasi kwamba vikao vyake vinakatishwa.

*Spika Sitta ana sifa mbaya ya ukware. Tangu ameshika wadhfa huo ameekwisha tembea na wabunge wanawake wa bunge la Jamhuri ya Muunagni ambao ni wake za watu zaidi 12 na ushahidi wa hili upo kwao wenyewe wabunge. Akikanusha hili tunaomba watumwe maofisa usalama waje wafanye uchunguzi kwa siri, watabaini jinsi
anavyofanya ufirauni na wake za watu ambao ni wabunge. Anatembea mpaka na
wabunge wa upinzani halafu anajitapa kuwa ni Spika wa wote hivyo lazima
awalee. Ni aibu lakini huo ndio ukweli.
*Ni mtu anayevidhalilisha vyombo vya ulinzi na usalama kwa sababu amekuwa akisema wazi kuwa hakuna chombo chenye nguvu za kumchunguza yeye na bunge kwa sababu bunge ni dola. Na ukweli sasa umeanza kubainika kwa sababu ni
dhahili kuwa serikali inamuogopa Spika na timu ya wabunge wake. Ndiyo maana licha ma malalamiko na ushahidi mwingi tuliokwishatoa toa kuhusu ufisadi wake, si TAKUKURU, polisi waka usalama wa taifa waliothubutu hata kumuhoji.

*Spika amewagawa wafanyakazi wa Bunge wa Idara ya Uhasibu. Wapo ambao amewateua kuwa watu wake ambao wanashughulika na malipo yake yeye, makamishina wa tume ya huduma ya bunge ambao wanakula naye pamoja, pamoja na wabunge kadhaa ambao uchunguzi wa kina ukifanyika watafahamika.

*Wahasibu hawa pamoja na Kashililah ndiyo wanaolipwa mishahara mikubwa, wanalipwa posho hata kama hawakufanya kazi za ziada na wanasafiri na Spika kila anapokwenda nchi za nje. Watumishi hao ni kama ifuatavyo hapa chini.

1-Evance Nkanta-
Huyu ni muhudumu wa idara ya uhasibu. Ni mtu wa karibu sana na Spika Sitta pamoja na Mhasibu Mkuu wa Bunge, Bwana Kombe. Cha kushangaza hakifanyi kazi za bunge kama inavyotakiwa, kazi kubwa ni kupeleka fedha katika akaunti ya Spika na Kombe au kupeleka fedha katika miradi yao.
Nkata ana miradi mingi na utajiri mkubwa wa kutisha. Anamiliki taksi nyingi mjini
Dodoma na Dar es Salaam , ana nyumba za kifahali Dar na Dodoma na anamilioni
ya fedha katika benki kadhaa hapa nchini. Ana sauti kubwa kuliko hata baadhi ya maofisa wa ngazi za juu wa bunge. Akataka ufukuzwe kazi anamwambia tu Spika au Kashilalah kuwa kuna matu anafuatilia nyendo zao, kesho mtu huyo anafukuzwa kazi. Hii ndio maana Spika na tume yake ya huduma za bunge imepipitisha sheria mpya tofauti na ile iliyosainiwa ya rais inayompa Spika Sitta na tume hiyo madaraka makubwa ya kuajiri au kufukuza mtumishi yoyote, jambo ambalo ni kinyume na sheria za utumishi wa Umma.

2-Rose Mlalase-
Huyu ameajiliwa hivi karibuni bila kufanyiwa usaili. Ana uhusiano wa kingoni na Spika Siita. Ndiye mshika mikoba yenye nyaraka za siri za Spika Sitta. Huwa hatumwi na mtu mwingine zaidi ya Spika mwenyewe katika masuala ya kihasibu. Katika muda mfupi usiozidi mwaka mmoja kazini amekwishapa mali nyingi zikiwemo nyumba
kadhaa na magari.
Huwa analipwa posho za vikao na safari za nje bila kufanya kazi yoyote au kusafiri kwa maelekezo ya Spika mwenyewe.

Mhasibu Mkuu,
Bwana Kombe. Ana mabilioni ya shulindi katika benki za CRDB, NMB na NBC. Amejenga hotel ya kisasa inafahamika kwa jina la African Dream, mjini Dodoma kwa kutumia fedha za bunge. Hana sifa za kuwa mhasibu mkuu wa bunge kwa sababu ana cheti cha chini kabisa cha uhasibu badala ya NAD. Amefanya mitihani kadhaa ya uhasibu lakini anashindwa.
Bwana Kombe, akitaka pesa kwa ajili ya kupeleka kwenye miradi yake huwa anajiidhinishia hadi milioni 100. ndiye anatoa fedha za bunge kwa ajili ya shughuli binafsi za Spika. Anahusika kulipa yeye mwenyewe malipo yoyote kwa mbunge ambaye Spika ataamuru alipwe bila maelezo yoyote kuhusu kutolewa kwa fedha hizo.

3-Hassan Mohamed-Alifeli diploma ya uhasibu mwaka 2005 katika chuo cha uhasibu
Arusha. Hivi sasa anasoma IFM. Yuko chuoni lakini ndiyo msimamizi mkuu wa masuala ya fedha katika ofisi ndogo ya bunge mjini Dar es Salaam. Naye ana utajiri wa kutisha ambao haulingana hata kidogo na kipato chake na umri wake kazini.

4- John Joel-
Ni mhasibu lakini kwa sasa amehamishiwa katika ofisi ya utawala. Mdiyo msiri mkuu wa Kashililah kiasi kwamba akisafiri ofisi huwa anaiacha mikononi mwake. Ameteuliwa hajamaliza kata miezi minne lakini sasa anawazifdi hata walio na miaka 10 kazini.

5-Bwana Mtenda-
Huyu alichukuliwa na Spika mwenyewe na kuwekwa uhasibu pasipo kwa sababu ambazo mpaka sasa haziko wazi. Lakini ndi miongoni mwa watu wanaohusika
kushughulikia vocha za malipo ya Spika, makamishina na Tume ya huduma za bunge na kundi la wabunge marafiki wa Spika Sitta.
Mtenda ana historia mbaya katika utumishi wa umma lakini inashangaza kuona Spika Sitta akiwa amemng'ang'ani katika kufanya kazi ofisi ya bunge. Alikuwa mtumishi wa
idara ya ustawishaji makao makuu Dodoma (CDA) ambako aliondolewa kutokana
na kuandamwa na kesi lukuki ambazo almanusura zimpeleke gerezani.

Kila mara huwa anachukua fedha kwa ajili ya kwenda semina nje ya nchi lakini huwa
anaishia Dar es Salaam kuponda na baadaye kurudi Dodoma . Haifahamiki ni kwanini anafanyiwa hivi na wakubwa.

6- Bwana Ndalo-
Huyu ndiye anayechukua masurufu yote ya Spika Sitta. Anahusika kuwalipa wote
walio katika orodha ya kulipwa na Spika, iwe wanasiasa au watu binafsi. Ni kama kichwa cha Spika. Huwa anavchukua masurufu mengi hadi anashindwa kurudisha.

Kwa ufupi sana hii ndiyo timu ya Spika Sitta hapa bungeni. Timu ambayo inashirikiana nayo kujitajilisha kupitia bunge.

Tunawaomba Watanzania mfahamu kuwa Serikali inamuogopa Spika Sitta kwa sababu
amefanikiwa kuwa na nguvu kubwa ya wabunge wenye uwezo mkubwa wa kuongea
na kujenga hoja zao. Inafahamu fika ufisadi unaofanyika hapa kuwa ni mkubwa kuliko hata ule wa Richmond lakini kamwe haiwezi kuthubutu kumgusa Spika Sitta kwa vile anaweza kuiangusha. Hivyo kwenu Watanzania wote kama tunaamua kukaa kimya huku haya yakiendelea sawa au tuchukue hatua ya kushinikiza uchunguzi huru
kufanyika.

Kama wafanyakazi wa kawaida, kwa kizingatia baadhi ya wabunge akiwemo Spika
wanavyohuburi vita dhidi ya ufisadi na mambo yanayofanyika hapa tumeona bi
bora kuyaweka wazi ili watanzania waamke na kushinikiza kuundwa tume huru
ya kuchunguza ufisadi ndani ya ofisi ya Spika.

Waraka huu tunaomba ukikufikia upeleke kwa mtanzania mwenzako ili sote tujue jinsi wakubwa wetu tuliowachagua kwa kura zetu wanavyoishi maisha ya utukufu huku
wakituhadaa kuwa wanapambana na wanatumia jasho letu kihiana kuishi maisha
ya utukufu. Tuwezalo tumefanya kwa faida ya taifa letu. Mungu ni shahidi yetu.

Huu ndio ujumbe wetu.

Asanteni sana .

Mungu Ibariki Tanzania
 
mhhmhhh,
ni ngumu sana kuamini yote haya...kwa jinsi hiyo inaonekana spika ana muda mwingi sana kushiriki michakato yote ya kuajiri hata wafanyakazi wadogo....hii vita ni kubwa sana kama mr 6 alivyosema bungeni....mbaya sana wanaoendesha vita hii ni watu wanaoshikilia uchumi wa nchi....hii ni hatari they can buy anybody as days goes victims of this saga are increasing...siku zote wanaporeffer mtandaoni wanamaanisha jamii forum....sitashangaa hata watu ambao nawaheshimu sana humu ndani wakawa victimised...Naomba Mungu atusaidie kuujua ukweli....no one is bigger than a country...TANZANIA is big than anybody...it will stand no matter what....kipindi hiki kitapita na mafisadi watapita....Tanzania ya Neema itabaki
Mungu ibariki Tanzania.
 
Mwee, huo waraka si waliiandika wenyewe. Mchana wanajifanya wana imani naye; usiku hawana, na wanatuletea hizo dossier!

Tangu tujue kuwa Spika anatumia hela za walipa kodi kukodisha nyumba kwa $8000, na yeye mwenye kukiri kuwa ni kweli pamoja na kwamba alipunguza amount kuwa ni $7000, mimi binafsi nilikwisha kumtoa katika orodha ya watu wanaochukizwa na kupinga ufisadi. Kwa revelation hii, inawezekana pengine sio fisadi, lakini pia sio miongoni mwa wapiganaji dhidi ya wafisadi.
 
Mkuu,

Nakuomba ufafanue unafikiri ni watu wa aina gani ambao ndio wanashikilia uchumi wa nchi.

Pili, unasema siku zote wanaposema mtandaoni wanamaanisha JF ni nani hao na kwanini iwe JF tu?

Tatu, unasema hutashangaa kama watu unaowaheshimu huju JF watakuwa "victimised" je unamaanisha kwamba labda watawindwa juu ya maisha yao?

Ukinijibu maswali hayo matatu pia ntakuomba uniambie ni kwanini Mheshimiwa Samwel Sitta asijiuzulu kwa kushindwa kuendesha Bunge kiufanisi?
 
Kitila kwanini unafikiri kiasi cha dola 7000 ni kingi sana?
 
Mkuu,

Nakuomba ufafanue unafikiri ni watu wa aina gani ambao ndio wanashikilia uchumi wa nchi.

Pili, unasema siku zote wanaposema mtandaoni wanamaanisha JF ni nani hao na kwanini iwe JF tu?

Tatu, unasema hutashangaa kama watu unaowaheshimu huju JF watakuwa "victimised" je unamaanisha kwamba labda watawindwa juu ya maisha yao?

Ukinijibu maswali hayo matatu pia ntakuomba uniambie ni kwanini Mheshimiwa Samwel Sitta asijiuzulu kwa kushindwa kuendesha Bunge kiufanisi?

1.wanaoshikilia uchumi wa nchi wengi ni mafisadi i.e wenye kushika tenda kubwa za serikali na kwenye majeshi yetu,wenye biashara kubwakubwa either ni mafisadi au ni masupporter wakubwa wa mafisadi kwa kuwa mafisadi wengi pia wana madaraka.
2.ni dhahiri kuwa kuwa mambo mengi yanaibuliwa hapa jamvini na hata watu wanaotembelea kwa siku si haba ukilinganisha na mitandao mingine...at least kitu kikiongelewa kipo kwenye mtandao lazima utakikuta hapa jamvini.
3.simaanishi watawindwa maisha yao, nina maana kuna watu hapa wakirusha thread watu wengi wanairukia kuisoma...watafuatwa na mafisadi kuwa bias to their favour na kuwapa fedha walizofisadi...ndo maana naomba watu tumuombe Mungu kuujua ukweli.
4. Sioni sababu ya mr 6 kujiuzulu kwa sasa.....nimeanza kufuatilia bunge kuanzia la spika Msekwa....comparing these two...mr 6 is far better regardless of whatever is going on now...Roma haikujengwa siku moja akiendelea na improvement hii tutafika pazuri kidogo.....kwa yote yanayoongelewa kuhusu mr 6 kama ni ya kweli ni mapungufu ya kiutendaji ambayo watz wengi wanayo...siku yanaongelewa magari yake ya kazi,nyumba,posho ambavyo vyote vinakuwa audited....wameenda mbali na kusema ana nyumba ndogo ambavyo ni very personal.....tumlinganishe na mafisadi wa makampuni feki? hapana!!!tumlinganishe na manunuzi hewa ya mabilioni ya fedha yafanywayo na mafisadi?hapana!!!mbona yote haya yameanza kusikika baada ya kusimamia kijasiri mikataba hewa bungeni????
 
Mwee, huo waraka si waliiandika wenyewe. Mchana wanajifanya wana imani naye; usiku hawana, na wanatuletea hizo dossier!

Tangu tujue kuwa Spika anatumia hela za walipa kodi kukodisha nyumba kwa $8000, na yeye mwenye kukiri kuwa ni kweli pamoja na kwamba alipunguza amount kuwa ni $7000, mimi binafsi nilikwisha kumtoa katika orodha ya watu wanaochukizwa na kupinga ufisadi. Kwa revelation hii, inawezekana pengine sio fisadi, lakini pia sio miongoni mwa wapiganaji dhidi ya wafisadi.

hapana mkuu itakuwa kuna makundi mawili moja linakula na spika na lingine halipati kitu kwa spika.

kama walivyo wana mtandao kuna mtandao maslahi na mtandao matumaini. tusubiri tutaona Mengi.
 
1.wanaoshikilia uchumi wa nchi wengi ni mafisadi i.e wenye kushika tenda kubwa za serikali na kwenye majeshi yetu,wenye biashara kubwakubwa either ni mafisadi au ni masupporter wakubwa wa mafisadi kwa kuwa mafisadi wengi pia wana madaraka.
2.ni dhahiri kuwa kuwa mambo mengi yanaibuliwa hapa jamvini na hata watu wanaotembelea kwa siku si haba ukilinganisha na mitandao mingine...at least kitu kikiongelewa kipo kwenye mtandao lazima utakikuta hapa jamvini.
3.simaanishi watawindwa maisha yao, nina maana kuna watu hapa wakirusha thread watu wengi wanairukia kuisoma...watafuatwa na mafisadi kuwa bias to their favour na kuwapa fedha walizofisadi...ndo maana naomba watu tumuombe Mungu kuujua ukweli.
4. Sioni sababu ya mr 6 kujiuzulu kwa sasa.....nimeanza kufuatilia bunge kuanzia la spika Msekwa....comparing these two...mr 6 is far better regardless of whatever is going on now...Roma haikujengwa siku moja akiendelea na improvement hii tutafika pazuri kidogo.....kwa yote yanayoongelewa kuhusu mr 6 kama ni ya kweli ni mapungufu ya kiutendaji ambayo watz wengi wanayo...siku yanaongelewa magari yake ya kazi,nyumba,posho ambavyo vyote vinakuwa audited....wameenda mbali na kusema ana nyumba ndogo ambavyo ni very personal.....tumlinganishe na mafisadi wa makampuni feki? hapana!!!tumlinganishe na manunuzi hewa ya mabilioni ya fedha yafanywayo na mafisadi?hapana!!!mbona yote haya yameanza kusikika baada ya kusimamia kijasiri mikataba hewa bungeni????

Nimekupata.

Ila point yako ya nne inahitaji kurekebishwa.

Mheshimiwa Samwel Sitta kama atashindwa kueleza ni jinsi gani fwedha ya walipa kodi wa Tanzania inachezewa itabidi apishe mtu mwingine.

Mheshimiwa Sitta ameshindwa kuwapa nafasi wananchi kupitia Bungeni kujua ukweli wa mambo kuhusu mambo mengi tu -BOT, Tangold, Meremeta na mengine mengi tu.

Sasa ni kwanini asijiuzulu?
 
akiendelea kupata support ya wabunge wengi atayaruhusu mjengoni for sure,shida ni wabunge wanakosa ujasiri wa kuinitiate move.....hata hivyo la richmonduli ndo hilo serikali inapata kigugumizi...kiwira ndo hayo tena ....wakiiongezea na mengine si itasambaratika kabisa .....ngoja tuongeze wabunge wenye ujasiri mwakani ndo serikali itajua kuwa ule mjengo ni noma
 
sasa wewe ndio sitta mwenyewe?
 
Wanabodi,
Kuna Waraka huu ambao imenibidi niuweke hapa baada ya kusoma mada hii..nawaomba muupitie na tujadili kama ni majungu au ndio UKWELI ulosimama!
Kuna ukweli kiasi gani, mimi sifahamu labda kutokana na kutoamini kuwa hii ni Aprilfools crap! imenibidi niuweke hapa tupate kujadilaiana..

Waraka wa wazi wa Ufisadi ndani ya Bunge

Ndugu zetu
Watanzania. Sisi ni wafanyakazi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunapenda kutumia nafasi hii kuwafikishia ujumbe huu muhimu kupitia waraka wetu huu wazi kwenu.

Tunaomba ifahamike kuwa, haikuwa nia yetu hata kidogo kutumia njia hii kueleza mambo ya siri sana yanayofanyika ndani ya Ofisi za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania . Tumelazimika kuchukua hatua hii baada ya jitihada zetu za kufikisha taarifa hizi pamoja na malalamiko yetu ngazi husika kutokufanikiwa. Aidha, mbali na hayo hata juhudi za ziada tulizochukua kuwasiliana na vyombo mbalimbali vya habari
hapa nchini kueleza uvundo ulio katika taasisi hii hazikufanikiwa kutokana na nguvu ya pesa iliyotumika na ofisi ya bunge kuwafunga midomo waandishi wa habari na wahariri wao.
Lakini kikubwa zaidi kilichotusukuma kuandika waraka huu kwa Watanzania wote ni baada ya kubaini kuwepo kwa njama za kuchoma moto ofisi ya uhasibu ya bunge ili
kupoteza kumbukumbu muhimu kabisa za matumizi mabaya ya mabilioni ya shilingi ya ofisi ya bunge yaliyofanywa Spika pamoja na marafiki zake.

Tunaomba watanzania waelewe kuwa kuanzia sasa ofisi hizo zitaungua moto
wakati wowote. Na kama jambo hili litatokea watanzania wote hasa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ndivyo vinavyopaswa kulaumiwa zaidi kwa kushindwa kubaini ufisadi wa kutisha katika ofisi hii hadi njama za kuchoma moto ofisi.

Ndugu zetu
Watanzania, tunapenda kuwafahamisha kuwa Ofisi ya Bunge, katika kipindi cha miaka mitatu na ushee, imekuwa ikikaliwa na mafisadi wanaojificha katika jina la vinara wa mapambano dhidi ya ufisadi, na kiongozi wao wa Mkuu ni Spika wa Bunge, Samuel Sitta.
Tunajua kuwa wapo baadhi ya Watanzania wenzetu wanaoweza kuona kuwa tunasema mambo ya uongo au tusiyo kuwa na uhakika nayo. Kwa kuthibitisha haya tunayoyasema, tunaomba tueleze mambo machache machafu ya kifisadi yanayofanywa na Spika Sitta pamoja na wabunge kadhaa walio karibuni naye, wakisaidiwa na badhii ya watendaji wenye nyadhifa kubwa katika Ofisi ya Bunge.

*Tangu Spika alipoingia madarakani amekuwa akiiongoza ofisi ya bunge kidikteta. Analazimisha kupatiwa fedha kutoka katika ofisi ya bunge anapokuwa katika ziara zake binafsi katika Jimbo lake la Urambo Mashariki. Ushahidi wa haya upo katika vocha za malipo haya. Tunaomba wakaguzi waje wakague watakuta haya.

*Spika Sitta amekua akilazimisha kukiukwa kwa kanuni za bunge ili tu kuwapa nafasi wabunge wenzaki walio katika kambi moja kuisulubu serikali ili kuwaaminisha wananchi serikali ni ya hovyo bali yeye na wabunge hao ndiyo wana uchungu wa kweli na taifa hili.
*Spika Sitta hafuati taratibu za uchukuaji fedha za ofisi. Huwa anaamrisha apewe hata fedha za kununua vifaa muhimu vya ofisi akiwa hana fedha na anapokuwa akizihitaji. Fedha zilizopotea kwa njia ni mabilioni, lakini hakuna anayemuhoji.

*Spika Sitta hata siku moja tangu aliposhika wadhfa huo, amekuwa hafuati taratibu za kawaida za sheria ya manunuzi umma katika mambo mengi hapa bungeni. Yota haya ushahidi wake upo ofisi ya uhasibu lakini analindwa na kundi la wabunge
wanaodai kuwa wanapoambana na ufisadi kwa sababua anakula nao.

*Spika Sitta ameshinikiza kukodishiwa nyumba ya gharama kubwa. Dola za Marekani 8,000 kwa mwezi wakati alikuwa amepewa nyumba nzuri tu ya serikali huko Oysterbay. Baada ya kukodishiwa Nyumba hii, alilazimisha pia Ofisi ya Bunge itoe sh milioni 250 kwa ajili ya kununua samani za ndani alizodai kuwa ndizo zinazolingana na hadhi yake ya Spika.

*Spika Sitta ambaye baada tu ya kuingia katika wadhfa wake alinunuliwa gari jipya aina ya benz. Sasa amelichoka likiwa hata halijamaliza miaka mitatu, anataka
kununuliwa jingine na amekwishamuarua Katibu wa Bunge, Thomas Kahililah
ambaye ni swahiba wake mkubwa kwa sababu wanakula pamoja kutoa kiasi cha
sh milioni 367 kwa ajili ya kununulia gari hilo . Tayari zimekwishalipwa sh milioni
270. wakati haya yakifanywa na Spika, anajua fika kuwa taifa liko katika hali mbaya kifedha na bunge liko katika hali mbaya zaidi kiasi kwamba vikao vyake vinakatishwa.

*Spika Sitta ana sifa mbaya ya ukware. Tangu ameshika wadhfa huo ameekwisha tembea na wabunge wanawake wa bunge la Jamhuri ya Muunagni ambao ni wake za watu zaidi 12 na ushahidi wa hili upo kwao wenyewe wabunge. Akikanusha hili tunaomba watumwe maofisa usalama waje wafanye uchunguzi kwa siri, watabaini jinsi
anavyofanya ufirauni na wake za watu ambao ni wabunge. Anatembea mpaka na
wabunge wa upinzani halafu anajitapa kuwa ni Spika wa wote hivyo lazima
awalee. Ni aibu lakini huo ndio ukweli.
*Ni mtu anayevidhalilisha vyombo vya ulinzi na usalama kwa sababu amekuwa akisema wazi kuwa hakuna chombo chenye nguvu za kumchunguza yeye na bunge kwa sababu bunge ni dola. Na ukweli sasa umeanza kubainika kwa sababu ni
dhahili kuwa serikali inamuogopa Spika na timu ya wabunge wake. Ndiyo maana licha ma malalamiko na ushahidi mwingi tuliokwishatoa toa kuhusu ufisadi wake, si TAKUKURU, polisi waka usalama wa taifa waliothubutu hata kumuhoji.

*Spika amewagawa wafanyakazi wa Bunge wa Idara ya Uhasibu. Wapo ambao amewateua kuwa watu wake ambao wanashughulika na malipo yake yeye, makamishina wa tume ya huduma ya bunge ambao wanakula naye pamoja, pamoja na wabunge kadhaa ambao uchunguzi wa kina ukifanyika watafahamika.

*Wahasibu hawa pamoja na Kashililah ndiyo wanaolipwa mishahara mikubwa, wanalipwa posho hata kama hawakufanya kazi za ziada na wanasafiri na Spika kila anapokwenda nchi za nje. Watumishi hao ni kama ifuatavyo hapa chini.

1-Evance Nkanta-
Huyu ni muhudumu wa idara ya uhasibu. Ni mtu wa karibu sana na Spika Sitta pamoja na Mhasibu Mkuu wa Bunge, Bwana Kombe. Cha kushangaza hakifanyi kazi za bunge kama inavyotakiwa, kazi kubwa ni kupeleka fedha katika akaunti ya Spika na Kombe au kupeleka fedha katika miradi yao.
Nkata ana miradi mingi na utajiri mkubwa wa kutisha. Anamiliki taksi nyingi mjini
Dodoma na Dar es Salaam , ana nyumba za kifahali Dar na Dodoma na anamilioni
ya fedha katika benki kadhaa hapa nchini. Ana sauti kubwa kuliko hata baadhi ya maofisa wa ngazi za juu wa bunge. Akataka ufukuzwe kazi anamwambia tu Spika au Kashilalah kuwa kuna matu anafuatilia nyendo zao, kesho mtu huyo anafukuzwa kazi. Hii ndio maana Spika na tume yake ya huduma za bunge imepipitisha sheria mpya tofauti na ile iliyosainiwa ya rais inayompa Spika Sitta na tume hiyo madaraka makubwa ya kuajiri au kufukuza mtumishi yoyote, jambo ambalo ni kinyume na sheria za utumishi wa Umma.

2-Rose Mlalase-
Huyu ameajiliwa hivi karibuni bila kufanyiwa usaili. Ana uhusiano wa kingoni na Spika Siita. Ndiye mshika mikoba yenye nyaraka za siri za Spika Sitta. Huwa hatumwi na mtu mwingine zaidi ya Spika mwenyewe katika masuala ya kihasibu. Katika muda mfupi usiozidi mwaka mmoja kazini amekwishapa mali nyingi zikiwemo nyumba
kadhaa na magari.
Huwa analipwa posho za vikao na safari za nje bila kufanya kazi yoyote au kusafiri kwa maelekezo ya Spika mwenyewe.

Mhasibu Mkuu,
Bwana Kombe. Ana mabilioni ya shulindi katika benki za CRDB, NMB na NBC. Amejenga hotel ya kisasa inafahamika kwa jina la African Dream, mjini Dodoma kwa kutumia fedha za bunge. Hana sifa za kuwa mhasibu mkuu wa bunge kwa sababu ana cheti cha chini kabisa cha uhasibu badala ya NAD. Amefanya mitihani kadhaa ya uhasibu lakini anashindwa.
Bwana Kombe, akitaka pesa kwa ajili ya kupeleka kwenye miradi yake huwa anajiidhinishia hadi milioni 100. ndiye anatoa fedha za bunge kwa ajili ya shughuli binafsi za Spika. Anahusika kulipa yeye mwenyewe malipo yoyote kwa mbunge ambaye Spika ataamuru alipwe bila maelezo yoyote kuhusu kutolewa kwa fedha hizo.

3-Hassan Mohamed-Alifeli diploma ya uhasibu mwaka 2005 katika chuo cha uhasibu
Arusha. Hivi sasa anasoma IFM. Yuko chuoni lakini ndiyo msimamizi mkuu wa masuala ya fedha katika ofisi ndogo ya bunge mjini Dar es Salaam. Naye ana utajiri wa kutisha ambao haulingana hata kidogo na kipato chake na umri wake kazini.

4- John Joel-
Ni mhasibu lakini kwa sasa amehamishiwa katika ofisi ya utawala. Mdiyo msiri mkuu wa Kashililah kiasi kwamba akisafiri ofisi huwa anaiacha mikononi mwake. Ameteuliwa hajamaliza kata miezi minne lakini sasa anawazifdi hata walio na miaka 10 kazini.

5-Bwana Mtenda-
Huyu alichukuliwa na Spika mwenyewe na kuwekwa uhasibu pasipo kwa sababu ambazo mpaka sasa haziko wazi. Lakini ndi miongoni mwa watu wanaohusika
kushughulikia vocha za malipo ya Spika, makamishina na Tume ya huduma za bunge na kundi la wabunge marafiki wa Spika Sitta.
Mtenda ana historia mbaya katika utumishi wa umma lakini inashangaza kuona Spika Sitta akiwa amemng'ang'ani katika kufanya kazi ofisi ya bunge. Alikuwa mtumishi wa
idara ya ustawishaji makao makuu Dodoma (CDA) ambako aliondolewa kutokana
na kuandamwa na kesi lukuki ambazo almanusura zimpeleke gerezani.

Kila mara huwa anachukua fedha kwa ajili ya kwenda semina nje ya nchi lakini huwa
anaishia Dar es Salaam kuponda na baadaye kurudi Dodoma . Haifahamiki ni kwanini anafanyiwa hivi na wakubwa.

6- Bwana Ndalo-
Huyu ndiye anayechukua masurufu yote ya Spika Sitta. Anahusika kuwalipa wote
walio katika orodha ya kulipwa na Spika, iwe wanasiasa au watu binafsi. Ni kama kichwa cha Spika. Huwa anavchukua masurufu mengi hadi anashindwa kurudisha.

Kwa ufupi sana hii ndiyo timu ya Spika Sitta hapa bungeni. Timu ambayo inashirikiana nayo kujitajilisha kupitia bunge.

Tunawaomba Watanzania mfahamu kuwa Serikali inamuogopa Spika Sitta kwa sababu
amefanikiwa kuwa na nguvu kubwa ya wabunge wenye uwezo mkubwa wa kuongea
na kujenga hoja zao. Inafahamu fika ufisadi unaofanyika hapa kuwa ni mkubwa kuliko hata ule wa Richmond lakini kamwe haiwezi kuthubutu kumgusa Spika Sitta kwa vile anaweza kuiangusha. Hivyo kwenu Watanzania wote kama tunaamua kukaa kimya huku haya yakiendelea sawa au tuchukue hatua ya kushinikiza uchunguzi huru
kufanyika.

Kama wafanyakazi wa kawaida, kwa kizingatia baadhi ya wabunge akiwemo Spika
wanavyohuburi vita dhidi ya ufisadi na mambo yanayofanyika hapa tumeona bi
bora kuyaweka wazi ili watanzania waamke na kushinikiza kuundwa tume huru
ya kuchunguza ufisadi ndani ya ofisi ya Spika.

Waraka huu tunaomba ukikufikia upeleke kwa mtanzania mwenzako ili sote tujue jinsi wakubwa wetu tuliowachagua kwa kura zetu wanavyoishi maisha ya utukufu huku
wakituhadaa kuwa wanapambana na wanatumia jasho letu kihiana kuishi maisha
ya utukufu. Tuwezalo tumefanya kwa faida ya taifa letu. Mungu ni shahidi yetu.

Huu ndio ujumbe wetu.

Asanteni sana .

Mungu Ibariki Tanzania
Waraka huu upelekwe kwa michuzi Blog ili wasomaji wawe na picha mbili za habari.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom