Sitta awasha moto mpya DOWANS

Sita you just a shit untill the day you dare to stand and TELL OPENLY the Tanzanians why do you know about kinachokupa Jeuri ya kuongea haya unayoongea

Tofauti na hapo huna tofauti na yule mjinga alitujia na kanzu akijidai ndie mwenye Dowans na kuachwa tu kama Chatu Dume kwa jibwa koko
 
Sita you just a shit untill the day you dare to stand and TELL OPENLY the Tanzanians why do you know about kinachokupa Jeuri ya kuongea haya unayoongea

Tofauti na hapo huna tofauti na yule mjinga alitujia na kanzu akijidai ndie mwenye Dowans na kuachwa tu kama Chatu Dume kwa jibwa koko
mhhhhhhhh? You mean me?
 
kweli kama kweli 6 ni mukweli na mzaledo apambane na maadui kutoka ukande wa pili uso kwa uso na siyo anavyopambana ubavu kwa ubavu
 
hawakumpa mgao nini??kwenye hilo dili alikuwepo sasa anataka kutueleza upupu gani huyo mwizi???hizo story akapige na wezi wenzie,mkapa?jk,na kile kimaza kinacho oongoza pale mjengoni,dem all magamba fans!!!
 
SITA ni mnafiki sana, huyu mtu mi simwamini hata kidogo, labda wamemnyima mgao ndo maana kaamua kuwachafulie wenzie hali ya hewa, au keshakamata cha kwake katia mfukoni kisha anajifanya mkali ili kuuwa soo..

sitakaa nimwamini sita, sijawai kuona akisimamia haki itendeke na sidhani kama anaweza hata akipewa fursa hiyo.
 
Wadau, wakati mwingine mtu anaweza kujidai mkali na mwenye hasira ya wazi lakini kumbe ni funika macho tu. Wa watu wa Ta-best (Tabora) nawaminia kwa unafiki na ubunifu wa maneno ya kupotezea potezea!! Hizo ni kauli za kupumbazisha tu.
 
Sitta ni adui wa maendeleo kuliko alivyo Lowassa
Ni bora Lowassa kuliko mnafiki Sitta.
Amenyimwa mgao sasa anapayukapayuka bila uelekeo
Sitta ni mpuuzi sana
 
Dah 6 kwa unafiki wewe namba 1 ungekuwa mzalendo wa kweli ungekwisha ondoka kwenye magamba hayo! Juzi bungeni cdm walipokuwa wanazungumzia posho ww kwa unafiki wko na kutaka sifa ukasema cdm wanafiki,wakati ww ndio mnafiki namba waheed kwenda hukooooo
 
Mi nawashangaa sana ninyi watu, sasa mnataka akae ili kimya hela zilipwe kwa hao dowans? at least yeye anajitokeza hadharani kupinga hayo malipo, ninyi mnaosema hajafanya kitu mmefanya nini, au mmeshakubali deni lilipwe? Mtu akisema kitu chenye manufaa, hata kama ni kwa kutafuta popularity anapaswa kuungwa mkono, maana mwisho wa siku tunachotaka ni maendeleo katika taifa letu.

Na ni nani kawaambia kwamba ukiwa CCM ni marafuku kukosoa makosa ya CCM? Ili tuendelee tupaswa kuondokana na hizi itikadi za kung'ang'ania vyama na tuangalie zaidi jititihada katika kuleta maendeleo, maanake sasa naona watu wanasahau udui yetu ni nani, siyo Sita mnaemshambulia, ni DOWANS wanaotaka kuiba pesa zetu.
 
hana mpya kila siku ye na dowans tu na sioni la maana analofanya.kama anawaju wanao piga si awataje tuwajue?au kama vipi ampe dr. slaa wa ukweli awalipue vinginevyo akae kimya manake anachoreka tu. nyambafu
 
@Mzee kipara, tafakari hii; Sita na akina mwakyembe wanajua walimuokoa nani kwa kuficha mambo muhimu ktk issue ya richmond, sita anawajua wenye dowans watakaolipwa hela hizo, sita anajua kuwa kama wakati ule wangelipasua jipu lote la richmond na kulitoa tusingeona huu utumbo wa sasa... Leo hii bila aibu anasema kila mzalendo 'alaani' tukishalaani ndo iweje???? Sita na wenzake wana deni kubwa kwa Taifa hili.. Atuwekee wazi siri walizotuficha wakati ule.
 
Huyu mzee mnafiki sana. Nilichojifunza kutoka kwake ni kwamba anapinga mafisadi ila haupingi ufisadi.
 
Huyu Sitta hata mie siumuelewi! haiwezekani Ngo'mbe akalala katikati ya Simba! hata kama simba hao wameshiba lazima watamlamba hata nywele! Hao wote wamoja tu! Hakuna mkweli yuko mpaka sasa CCM tena na Madaraka makubwa! Ajitoe huko then atueleze ukweli tutamuelewa Zaidi!
Ni rahisi sana, Dowans ikilipwa ajiuzulu kwa kuwa atakuwa amedhalilishwa kama spika aliyeishughulikia suala hilo. Ikiwa hivyo atakuwa mzalendo kisha tuingie tena kwenye kinyang'anyiro kingine.
 
Jamaa kumbe yupo..Da! Kweli Igunga iliwapoteza wengi,sasa tutaanza kuwapata hewani..Bado Mama Kilango...
 

huyu naye sita ni msanii tuu, kwa hatua hii tuliyofikia jahazi la tanzania yetu tuipewndayo linazidi kuzama!!!!!!!! Huo ni mgao wa watu fulani ndani ya uongozi wa nchi hii, wanafanya dhuruma lakini mwisho wa siku wataumbuka mungu wetu hawezi kuvumilia wezi!!!!!!!!!!

Yeye sita aliona mambo yote ya usanii wa richmond akiwa spika wa bunge mbona hakuweza kuzuia hii taflani ya hasara kwa taifa letu, anangojea tumeingia mkenge anaimba usanii wake, yeye ni maghamba pia!!!!!!
Mara hii mmesahau msimamo wa Sitta ulioibua mijadala mikali ya Richmond, EPA na mikataba mingine feki ktk bunge lake. Ama kweli "tenda mema..."
 
Jamaa kumbe yupo..Da! Kweli Igunga iliwapoteza wengi,sasa tutaanza kuwapata hewani..Bado Mama Kilango...

waliambiwa wawe wapole kwanza wapishe wadhamini wafanye mambo yao. Karibu sana.
 
Afadhali kumsikiliza Mtatiro wa CUF(mke) akisema CHADEMA ni chama cha ukabila na kifamilia utamuelewa maana utajua wazi katumwa na ccm (mume wao), sasa huyu mzee mimi simuelewi hivi alipokuwa spika si ndio ulikuwa muda wa kumaliza ilisakata akajifanya kulemba na kujiegemeza ktk chama chao kwa kulimaliza sakata la dowans kisanii, sasa analalama nini?

Uspika wamemtoa, na zigo la deni la Dowans atatupiwa yeye kwa kuelezwa kuwa ndie chanzo maana yeye na wenzake ndio walioshinikiza mkataba wa dowans na tanesco uvunjwe, asilalame si alijifanya chama kwanza tanzania baadae. Sisi tumesha shikwa makalio na mafisadi hela tutalipa tu yeye abishe hata hadi anye hela tutalipa, yeye keshaongwa uwaziri aendelee kula bata sisi wazalendo tunaendelea na mapambano ya kukitoa chama chake madarakani na wanafiki kama yeye ktk uongozi.

Igunga kapigwa stop asikanyage sasa kaona anasahaulika ktk siasa za bongo anajiuliza atoke vp ndipo anaibuka na CD ya Dowans, CD hiyo haiuzi tena sokoni yeye aendelee na unafiki wake sisi tunaendelea na mapambano, mwisho wa siku historia ndiyo itakuja kuhukumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom